joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Biashara Kati ya Kenya na Tanzania haijawahi kusimama, kila kitu kinajulikana, iweje ghafla mnataka mazungumzo ya Bei?, Wacha nguvu ya soko ndio iamue Bei ya chakula, sio mazungumzoWewe ni mjinga sana. Hivi, ukienda kwa duka pale Tandale unapoishi unaingia tu hadi ndani na kuchukuwa unachotaka bila kuuliza kama muuzaji yupo na bei ya ile kitu unataka?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app