Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

White dent, Mo & Azam Energy drinks, Whine, Konyagi, Transforma za umeme, Tiles, Ceramics, toka Tanzania zimejaa Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa hizi ujinga zote umetaja, Mo & Azam energy drink ndio nini? Lazima iwe ni some low class sub-standard drink. Konyagi sio common Kenya. Huku ni Tusker beer. Kwenye spirits tunakunywa spirits za kampuni inayoitwa KWAL.
 
Nafikiri hufahamu mambo mengi sana kuhusu uchumi wa EAC....ipo hivi,bei tunayowauzia nyie chakula au bidhaa yoyote ile ni tofauti na tutakayouza kwa nchi nyingine ambae sio member wa EAC
Ndio maana ata South Sudan au Congo walijiunga na EAC ili tuweze kuwasaidia kama tunavyo wasaidia nyie makapuku,mapompipo,mazoba na mafukara wakubwa hapa Africa
Mjinga sana wewe kondoo, ukienda kununa bidhaa supermarket unasaidiwa, unatumia kichwa kama hanger ya meno toka vijiweni kwanza nincompoop
 
Halafu ukiangalia bidhaa yao kubwa huku labda panadol,vitu vingi tulivyokua tunachukua kwao sasa hivi vinatengenezwa hapa hapa TZ,kikubwa nachofikiria serikali ingerudisha NMC iwe inanunua mazao kwa wakulima halafu hawa wakunya tuwauzie unga,sukari,maharage n.k vikiwa kwenye vifungashio
Kama kuna kitu Kenya hatuwezi kununua kutoka Tanzania ni unga wa Mahindi. Magufuli alijaribu kutulazimisha kununua unga wa mahindi badala ya mahindi yenyewe. Tulipokataa akaamua kukataa kutuuzia mahindi. Tukaamua kununua mahindi kutoka Mexico.
 
Wajapan waliwatawala wachina, na waliwatesa sana. Hivyo si ajabu Kwa haya.

Ni chuki za toka mababu zao.

Huwa napenda kuwazingua sana.. Mchina namuita mjapani.. Anapata moto anaongeaa lugha zote.
Wee mtagombana ukimuita hvyo, kuna yule aliyejenga flyover ya mfugale pale tazara Sumitomo kama sijakosea mtanirekebisha alikuwa bila hata kuulizwa alikuwa akijitofautisha na wachina anasema kabisa wao sio wachina hivyo basi wamejenga kitu quality. Yani mjapani umuite Mchina weee, tena hawana story kabisa hata wakikutana wapi iwe Airpot iwe wapi
 
Hahaha wakenya tunapenda mbwembwe.

Image

Image
Naona Ruto ameiga rangi ya CCM, naona anataka kuwalaghai Wakenya wamchukulie kama Magufuli, najua wagombea wengi wa Kenya watatumia sn jina la Magufuli kushinda uchaguzi.
 
Naona Ruto ameiga rangi ya CCM, naona anataka kuwalaghai Wakenya wamchukulie kama Magufuli, najua wagombea wengi wa Kenya watatumia sn jina la Magufuli kushinda uchaguzi.
Rangi ya chama cha Ruto ni manjano. Rangi ya CCM ni kijani kibichi. Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni kipofu.
 
Hii picha utaizungusha hapa hadi uchoke. Hapo Ruai huwezi afford hata kiwanja cha kujenga nyumba.
Screenshot_20220620-174712~2.png

Githurai ni planned na ni apartments everywhere. You can't compare with your disorganized uswazi sprawls

Githurai
Screenshot_20220622-060915.png

maxresdefault (3).jpg

Uthiru ukifika utadharau hizo uswazi zenu
Screenshot_20220620-224530~2.png

Riruta sijui unawezalinganisha na uswazi gani hapo kwenu
images - 2022-07-09T102302.957.jpeg

images - 2022-07-09T102343.448.jpeg
 
The population of Kibra constituency (Sub-county) in which Kibera slum lies is 181,000 people as per 2019 census.
View attachment 2284987
You can read the whole report here

Sasa Kama the whole consituency ndio ina watu 181k, how many do you think reside in Kibera slum alone considering that Kibera is part of Kibra constituency? Of course less than 181k.
Sasa kwnn liwe ni li slum no 1 duniani, unataka kuniambia hao waliolipea hiyo number hawaijui Google earth? Unaumizwa sn na uwepo wa ma slums ya Kenya lkn ndio hivyo tena kuyatoa huwezi, boresheni maisha ya Wakenya mpunguze ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima
 
Rangi ya chama cha Ruto ni manjano. Rangi ya CCM ni kijani kibichi. Umedhihirisha wazi kwamba wewe ni kipofu.
Achana na huyo mjinga. Yeye akina kila kitu Kenya eti tumewaiga. Did sisiemu patent the green color?
 
Hii picha utaizungusha hapa hadi uchoke. Hapo Ruai huwezi afford hata kiwanja cha kujenga nyumba.
View attachment 2285026

Githurai ni planned na ni apartments everywhere. You can't compare with your disorganized uswazi sprawls

Githurai
View attachment 2285029
View attachment 2285024

Uthiru ukifika utadharau hizo uswazi zenu
View attachment 2285061

Riruta sijui unawezalinganisha na uswazi gani hapo kwenu
View attachment 2285063
View attachment 2285064
Kama anataka land Ruai akuje nimuuzie moja 100 X 100 at usd.110,000
 
Sasa kwnn liwe ni li slum no 1 duniani, unataka kuniambia hao waliolipea hiyo number hawaijui Google earth? Unaumizwa sn na uwepo wa ma slums ya Kenya lkn ndio hivyo tena kuyatoa huwezi, boresheni maisha ya Wakenya mpunguze ma slums yaliyotapakaa Kenya nzima
Nilikuwa najadiliana na mwenzako who is sober than you are. Thanks for poking your nose but you are not welcome. Wewe weka population ya Kibera iwe hata milionini 20 ukipenda ujifurahishe
 
Nilikuwa najadiliana na mwenzako who is sober than you are. Thanks for poking your nose but you are not welcome. Wewe weka population ya Kibera iwe hata milionini 20 ukipenda ujifurahishe
Sio milioni 20 wacha hasira ni over 2.5 milion.
 
Kama anataka land Ruai akuje nimuuzie moja 100 X 100 at usd.110,000
😂 😂 😂
Yule fukara atoe hiyo hela wapi?
Yani jamaa anaamini kabisa eti Ruai ni slum 😃😃😃
Hajui kwamba hiyo Ruai inashinda mitaa mingi za upperincome earners kule Dar
 
Back
Top Bottom