Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ethiopia-Sudan SGR, lamu port itakuwaje sasa
Ww hujui chochote kuhusu geopolitics na inaonyesha wazi. Relationship ya ethiopia na sudan ni kama ya North na south korea. Last week ethiopia ili execute wanajeshi 7 wa sudan live barabarani. Ambassador wa ethiopia amefkuzwa khartum na wa sudan ameondoka addis. Alafu kuna ile conflict ya GERD, hizi nchi mbili ni za kujenga reli pamoja kweli??
 
Leta ushahidi kuwa mradi fulani alisema pesa za ndani huku akiwa amekopa.
Miradi aliyokopa alikuwa anasema na miradi ya pesa za ndani alikuwa anasema.
Weka ushahidi hapa maana huwa unajifanya kenge husikii hadi damu ikutoke.
Nadhani unaelewa maana ya ushahidi.
Mama alikuja akafichua uwongo zake zote 😂
1651668374260~3.jpg
 
Uhaba wa chakula sio poverty bongolala. Tungekosa hela za kununua hiyo mahindi tuje kutembeza bakuli ndio hapo ingekuwa poverty. Lakini tunakuja na hela zetu
Mbona hamtaki kupambana na nchi zingine Kama South Sudan ambako Uganda wameamua kupeleka mahindi kutokana na Bei nzuri badala yake mnataka kupewa "special favour?".

Hamuhitaji kufanya mazungumzo na sisi, ninyi tangazeni Bei nzuri zaidi ya South Sudan na DRC muoni Kama Uganda watapeleka mahindi South Sudan, ninyi ni mafukara Sana, wakenya hawana uwezo wa kula Milo mitatu kwa Sasa kwa sababu ya umasikini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
kila kukicha wataongea nikama wanatupa msaada wa chakula... hakuna cha msaada hapa, tuko biashra! it's a given and take deal... 'what have u got and what do I have....'
Why do you want to discuss with us?, Just come and buy our food the way other countries do, we don't need any discussion, it is free market.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nani kakudanganya kuwa wataoajiriwa ni wakenya tuu unaijua vizuri recruitment system ya WHO.
Hata wakiamua kuandika 100% foreigners bado tutafaidika kwa sababu hio mishahara yao itaingia kwa sectors mbali mbali za uchumi wetu.
 
Why do you want to discuss with us?, Just come and buy our food the way other countries do, we don't need any discussion, it is free market.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mjinga sana. Hivi, ukienda kwa duka pale Tandale unapoishi unaingia tu hadi ndani na kuchukuwa unachotaka bila kuuliza kama muuzaji yupo na bei ya ile kitu unataka?
 
We huijui dar ila ongeza bidii ipo siku utafka tu ongeza bidii
Mimi mwenyeji wa mikocheni b, wacha dar propaganda boy nimezunguka tz, dodoma,morogoro, tanga,arusha,loliondo, serengeti,ngorongoro,mpaka vijijini mimi si wewe mpuuzi wa kuokota mapicha
 
Lazima nchi ipokee misaada ta chakula ndio iwe na idadi ya juu ya watu masikini? Hivyo ndivyo ulifundishwa pale Saint Kayumba?
Yes!, chakula ndio kipimo cha kwanza kabisa cha kupima umasikini duniani, Kama mtu hawezi hata kupata chakula, huyo maana yake hawezi kupata kitu chochote duniani zaidi ya kupumua "free oxygen"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yes!, chakula ndio kipimo cha kwanza kabisa cha kupima umasikini duniani, Kama mtu hawezi hata kupata chakula, huyo maana yake hawezi kupata kitu chochote duniani zaidi ya kupumua "free oxygen"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Narudia tena, hivyo ndivyo mlifundishwa kwenye hayo mashule yenu?
 
Mimi mwenyeji wa mikocheni b, wacha dar propaganda boy nimezunguka tz, dodoma,morogoro, tanga,arusha,loliondo, serengeti,ngorongoro,mpaka vijijini mimi si wewe mpuuzi wa kuokota mapicha
Huyu ndio yule jamaa aliokota picha Google na kuzipost hapa eti yupo Nairobi? 😃😃😃
 
Nikajua utaweka kuwa mradi fulani umejengwa na mkopo kiasi fulani na mkopo umetoka nchi fulani.
Mfano ujenzi wa SGR phase two Morogoro Makutopora JPM alichukua mkopo wa T3.3 kutoka STANDARD CHARTERED.

Wewe unashindwa nini kutaja hiyo mikopo!
I can't know better than your President who is the head of state
 
Back
Top Bottom