dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Bichwa mkate . Kumbe hivi shapeless mode of transportation mmeanza kutumia kitamboTBT NairobiView attachment 2285070
Bichwa mkate . Kumbe hivi shapeless mode of transportation mmeanza kutumia kitamboTBT NairobiView attachment 2285070
tena kuna baadhi ya resorts zilikuwa nje ya Mombasa yaani coast zimefungwa! Hazikuimili mikiki ya corona lockdown!Onyesha Kama Kuna mabadilika ndani ya hiyo miaka 5
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya has the biggest beverage industry and market in the region. Products za Azam hata 1 % of the market share hazipati.Sasa unataka kuona kila kitu kilichopo Kenya kwa macho yako ndio uamini?, Kwani ulishawahi kuiona njaa huko Kenya?, Lakini mbona inasumbua na watu wenu wanaokufa?.
Azama food products and Energy drinks are widely available in Kenya, especially in Mombasa are household goods like Bongo music
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mombasa gani hiyo manake sijawai zionaSasa unataka kuona kila kitu kilichopo Kenya kwa macho yako ndio uamini?, Kwani ulishawahi kuiona njaa huko Kenya?, Lakini mbona inasumbua na watu wenu wanaokufa?.
Azama food products and Energy drinks are widely available in Kenya, especially in Mombasa are household goods like Bongo music
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app



Kama unajua alisema hivyo si ulete hiyo taarifa hapa kama ushahidi? Wewe ni bongolala tuHahahaha, unataka kupingana na CS wenu wa kilimo "Munya" aliyesema hivyo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Those are concoctionsHuyo aliye tweet ni Mkenya mwenzako ambaye amekubali mziki wa Azam
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hio 1% ume-over estimate, hata 0.001 hawa gusi.Kenya has the biggest beverage industry and market in the region. Products za Azam hata 1 % of the market share hazipati.
Levels huwezi kupata in the whole of kunyalandWhiteSands Hotel, where the conference was taking place is a 7*star hotel, for your information, let alone English Point, Serena beach hotel, Tamarind just to mention but a fraction
So hamna jengo mmenjengewa na wachina as a donation hapo UDOMYa kwetu inajengwa na Suma JKT !
Ruai ikona mpaka lami everywhere nowadays inakaa membley estate![]()
![]()
![]()
Yule fukara atoe hiyo hela wapi?
Yani jamaa anaamini kabisa eti Ruai ni slum
Hajui kwamba hiyo Ruai inashinda mitaa mingi za upperincome earners kule Dar
Hahaha. Wajamaa wanaogolea kwenye swimming pool ya ikulu. Madikteta wa Afrika kama akina Museveni watazame hii video kwa masikini, wao ndio next.









Next watasema Ruto ameiba colors za yangaand what is CCM in the first place.! aah!.
ruto amepata inspiration toka afrika kusini, anasema anaiga mfano mzuri wa nelson mandela ndo sababu akachukua rangi za ANCView attachment 2285082View attachment 2285080
Ruto's UDA Party colorsView attachment 2285090View attachment 2285091
Tunasafisha dhahabu Geitathen i hear this German based company, NIVEA in nairobi, manufactures all Nivea products for the entire continent of africa!...
tanganyika kufika hizi level, ni ndoto ya 2075!
View attachment 2285098View attachment 2285097