Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes hamna institution ipo juu ya TAEC in the region na more accredited na IAEA !
Prove that Kenya ilikua kwa hio trainning wacha maneno mingi.

If you are more accredited, then why is Kenya the major player in the region on nuclear regulation.

We mzee punguza kupayuka.🤣 🤣 🤣 🤣

1657314685275.png



Mbona sioni bongo kwa hii list.🤣🤣🤣



Pia kwa hii list ya nchi ambazo zime contribute at IAEA labs hamko.

 
Tatizo majadiliano yanakuwa mengi na yanachukua muda mrefu. Hapa mzee baba ndipo alipokuwa akiweza, akisema kitu unaona ndani ya muda mfupi kazi zinaanza kufanyika.

Mradi wa ujenzi wa daraja la Jangwani na mto Msimbazi vipi mbona hatuoni muendelezo?Shida ni pesa au mkandarasi hajapatikana
tunarudi hapo hapo , hili jipu ni jipu la taifa viongozi wengi wenye dhamana hawana haraka ya maendeleo vitu vipo on paper wanavivundika for nothing
 
I think i overheard kwenye budget ya mwaka huu fedha zimetengwa.
mkuu hakuna kilichotengwa wangezungumzia pale kulingana na jinsi viongozi walivyo slow kimaamuzi inaweza kuvhukua mda mrefu au tukabakia nayo kwenye karatasi
 
Huyu Muhindi (British of Indian decent) anayeitwa Rishi Sunak anagombea kuwa prime minister wa UK. Yeye ndio alikuwa minister of finance (chancellor of the exchequer). Sijui kama MPs wa conservative party watamchagua? Wacha tutaona. Ila Wahindi wamedominate politics ya UK sana. Kulikuwa na Wahindi watano kwenye cabinet ya Boris Johnson.

wacha kuwa na mawazo ya kibaguzi ni ujinga ,huyo ni Muingereza kama wengine hiyo nature colour yake usiijudge.

wakenya mnamatatizo sana,nendeni na nyie mkadominate basi tuwaite kenyabritish
 
You said only the government provides factual data about population in the country, not some foreign bodies. There's nowhere the government of Kenya said Kibera's population is 2.5m people.

That figure is from NGOs that inflate the figures for their own monetary benefits from donors. Have you asked yourself why there are varied reports regarding Kibera population? While some say 2.5m, other state 2m people, others 1.5m people while others say 700k people. So kati ya hizi data zote, which one is true?
Can you please show us the data from GoK?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwaambia kwamba census ya 2019 ilionyesha kwamba idadi ya Wakenya ni 49 million pekee akina chongchung coodip1 na The best 007 huwa wanapinga vikali. Kwanza mmoja wao nadhani ilikuwa chongchung alisema kwamba Wakenya tupo 57 million. Ukiwaambia wao wanazaana kama panya hawataki kusikia. Hii Uganda hata naona itakuja kupita population ya Kenya soon coz wao bado wanazaana kama panya. Fertility rate ya Uganda bado ipo juu ukiilinganisha na ya Kenya. Nchi masikini huwa zina fertility rate kubwa na nchi tajiri huwa zina fertility rate ndogo

Uganda = 4.82 births per woman. Tanzania= 4.83 births per woman (hatari sana). Kenya = 3.42 births per woman. Ukiwaambia wanazaana kama panya wanakasirika, wanaona kama unawatukana kumbe ni ukweli.

Uganda
View attachment 2284421
Tanzania
View attachment 2284422
Kenya
View attachment 2284423

Cc tuusan
joto la jiwe
Hivi unapata wapi ujasiri wa kuita Kenya ni nchi tajiri, nchi ambayo raia wake hawana uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku, waziri anajaribu kubembeleza nchi jirani ili iwatengee chakula chenu kwasababu hamna uwezo wa kupambana ili chakula kisiende South Sudan badala yake muendelee kuuziwa ninyi "at cheaper price", hiyo ndiyo nchi tajiri?.

Kwahiyo utajiri wa Kenya ni "theoretical and verbal only" lakini hausaidii wananchi Wala hauonekani popote "physically?"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Prove that Kenya ilikua kwa hio trainning wacha maneno mingi.

If you are more accredited, then why is Kenya the major player in the region on nuclear regulation.

We mzee punguza kupayuka.

View attachment 2284847


Mbona sioni bongo kwa hii list.



Pia kwa hii list ya nchi ambazo zime contribute at IAEA labs hamko.

Sasa mbona unazungumzia Mambo mawili tofauti, Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo is accredited, wakati ninyi mumechangia lakini bado hamjawa accredited, may be hiyo michango na kushiriki kwenu ndio kutasaidia na ninyi muwe accredited on the future.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya hatukubali manufactured goods kutoka Uganda au Tanzania. Endeleeni kutuuzia raw materials tutanunua. Kaulize Lato milk ya Uganda tulichowafanyia.
White dent, Mo & Azam Energy drinks, Whine, Konyagi, Transforma za umeme, Tiles, Ceramics, toka Tanzania zimejaa Kenya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wamezoea biashara ya mchongo mchongo hapo tunaachia market forces ziwe on play ndio principles za kiuchumi.
Kwanini msipambane na South Sudan mnataka kupitia milango ya nyuma?. Hatukubali hii ni free market, mwenye Bei kubwa ndiye atakayepata mahindi, kwanini msiende Mexico?
Tony254
dyfre
Don YF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenya hatukubali manufactured goods kutoka Uganda au Tanzania. Endeleeni kutuuzia raw materials tutanunua. Kaulize Lato milk ya Uganda tulichowafanyia.
We jamaa huwa taahira kweli, hujui hata trading protocol za EAC, Huwezi kusema hutaki manufactured goods kutoka kwenye member state halafu unataka kupeleka zako huko, ukiona kuna certain goods in Tanzania from kunyaland the same goods could be traded back ili mradi ikidhi vigezo! Na ndio maana tunaongoza kuwauzia bidhaa nyingi tu finished mpaka kesho!
 
Back
Top Bottom