KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Ile juice ilikua inatrend sana kenya that was introduced by a Tanzanian ni masafi but originally from dubai hii azam hamna kitu kenyaSasa unataka kuona kila kitu kilichopo Kenya kwa macho yako ndio uamini?, Kwani ulishawahi kuiona njaa huko Kenya?, Lakini mbona inasumbua na watu wenu wanaokufa?.
Azama food products and Energy drinks are widely available in Kenya, especially in Mombasa are household goods like Bongo music
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app




