eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Nairobi kuna baridi kali sana kupindukia. This year sijui weather ya Nairobi nini mbaya nayo? Ni kama tunaishi ndani ya fridge.
Kunyweni maziwa fresh yenye high fat content.
Nairobi kuna baridi kali sana kupindukia. This year sijui weather ya Nairobi nini mbaya nayo? Ni kama tunaishi ndani ya fridge.
Kwani mnatupea mahindi, mchele, nyanya, vitunguu free ama tunanunuaKwani ni chao, wangekua wanamiliki hizo products wanazouza ulaya , wangetumia hela wanazopata kununua chakula, too bad their products are not their products 😎 . Wanamiliki tu data hapo na sifa.
cash crops lazima tuuze ulaya in my family we have tea, coffee, avocados not haas tho and macadamias for export lakini chakula tunanunua supermarket na sokoni
Kwani political promises are they not entrenched in party policies? Policies ndio zinazokuwa implemented baada ya kupata mandate ya kuongoza serikali na ndio utendaji hupimwa hapo.Those were political promises. Magu aliwadanganya kuhusu utendakazi wake. These two are very different things!
Kuongelea kuhusu shida ya chakula in the 21st century ni aibu sana kama taifa. GDP muscle inapaswa kulibeba taifa lisiabike kama ambavyo nchi nyingine ambazo hazina kilimo na ziko jangwani zinavyofanya. They simply utilise their financial muscle kama ambavyo inavyo correlate na GDP to buy enough food stocks for its citizens.Kunyaland mpaka kesho wanafanya bilateral discussions kuhusu chakula, highest quality of poverty minded nation!
Haya majibu hakika yemefanyiwa reseach ya kutosha hadi siku ya mtihani mwanafunzi akaingia na desa likajibu mtihani wote![]()



Mpemba effectAkili kubwa ya mtanzania inaichanganya dunia mpaka leo!
Ninaona hivyo mkuu maana hawa watu wanashindana ni nani atawale na kutawaliwa kati ya Tutsi na Hutu, Tutsi ni wachache wanajiita watawala huku Hutu ni wengi nao hawataki kutawaliwa wakisema waende kwenye sanduku la kura Tutsi hawana chao.U want to say the peace and stability Rwanda currently has ni juu ya dictatorship, Kagame akitoka wahutu na tutsi will be back at it?
🤣🤣🤣 Jamaa wanamiliki data tu alafu msosi kwaajili yao wanOmba msaada 🤣🤣🤣Kwani ni chao, wangekua wanamiliki hizo products wanazouza ulaya , wangetumia hela wanazopata kununua chakula, too bad their products are not their products 😎 . Wanamiliki tu data hapo na sifa.
Fala kweli ww, kila siku Dar inawekwa humu na huijui no unaishia kupost picha zile mwaka wa tatu sasa, tangu lini wilaya tofauti zikawa sehemu moja? Hizo ulizotaja zote ni independent districts.Temeke, Kigamboni, Ubungo and Ilala zote zipo Kinondoni na zote ni uswazi.
Tuliwaambia ka Nairobi hakawezi hata kukaribia Dar as far as green spaces is concerned.
Sisi unakosea,mtaje aliekua anaficha,sema fulani alikua anaficha takwimu,ukisema sisi ni kwamba unatulazimisha sasaSisi kila kitu tulianika wazi. We did not deny its existence or its effects tofauti na nyinyi
Sikulingana na hoja zenu zakipuuziSasa wewe umesema twende huko and i showed you we already have representatives there, umeishiwa tu hoja kubali
Kama hautumii bidhaa za azam ni wewe prsonal ila wakenya wenzako wengine wanatumia kwa hiyo utulie uwe mpole tuTweet ya 2015![]()
![]()
by the hii product hata sijawai kuiona. The only Azam product ambayo inajaribu Kenya ni ile energy drink ya blue, which is facing very stiff competition from local and international products.
Kagame anagombea tena hukoHahaha. Wajamaa wanaogolea kwenye swimming pool ya ikulu. Madikteta wa Afrika kama akina Museveni watazame hii video kwa masikini, wao ndio next.
Hakuna mzeeSo hamna jengo mmenjengewa na wachina as a donation hapo UDOM
Kama hamjui, leo mjue Lugha ya kiswahili mwenye hati miliki ya hiyo Lugha ni Tanzania hivyo Kenya mtabaki kuwa chawa tu mileleKiswahili ni lugha yetu kwaivo any positive or negative news it concerns us directly.



Anko rwanda ni bomu linalosubiri kulipuka tuu cku kagame akiaga utaniambia mkuuU want to say the peace and stability Rwanda currently has ni juu ya dictatorship, Kagame akitoka wahutu na tutsi will be back at it?
Aliyekuambia Kenya ni Nairobi tu ni nani? Maendeleo tuomeonyesha humu hadi huko northern Kenya kunakotatizika na ukameMbona kila siku huwa ninawaambia kwamba mradi wa Galana Kulalu ndio mradi Bora ambao wakenya mnapaswa kuuzingatia zaidi, huo ndio utakaotoa ajira nyingi kwa wakenya na kumaliza matatizo ya msingi hapo Kenya.
Tatizo lenu ninyi mnadhani Kenya ni Nairobi pekee na kwamba watu wa vijijini na huko upcountry hawana nafasi kabisa ya kuahiriki katika uchumi wenu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app