Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania is a sh*t-hole country. Niliwaambia huu mradi wa JNHPP ni white elephant na mkapinga. Sasa mradi wenyewe ambao ulikuwa ukamilike mwezi ujao sasa umesongezwa hadi 2024. Nilijua tu kwamba yule mzee wa kuzindua zindua tu miradi bila kujali kama Tanzania ina uwezo wa kukamilisha hizo miradi atawaletea hasara kubwa. Sasa mradi wa SGR Dar - Moro ambayo ilikuwa ikamilike November 2019 hadi sasa May 2022 bado haijazinduliwa. Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa mbele kutoka June 2022 hadi mwaka wa 2024.


Iziz ndio zile blablablaaa...
 
Sema mfumo wetu wa kupatia watu uraia ni wa hatari ......tatizo serikali ya ccm ni mafiii hao raia tayari wanaweza kujiingiza kwenye siasa mara tu baada ya kupatiwa uraia tena wengine unaweza wakuta tayari walisha jiingiza kwenye siasa za nchi yetu kabla ya hata kuwa na uraia hasa kwa kupitia chama cha ccm , ndiyo maana tunashangaa Nchi imekosa uzalendo serikalini na kisiasa kumbe kuna raia wa michongo mafisadi wanao nufaika na ufisadi na kuufadhili kwa kuunda mifumo kabisa na kuwa system kamili ya kifisadi , nikama mradi wa bandari ya bagamoyo umeshupaliwa kama nini ..wakati inajulikana wazi kuwa bandari kumilikiwa na wageni ni kuharibu ulinzi wa taifa na mipaka yaka " jwtz" ni zaidi ya viwanja vya ndege vya kibinafsi vilivyokuwa ninatumika kutorosha madini yetu yenye thamani kubwa na kuyapeleka kenya , kwa ndege zao hao mafisadi wawekezaji.
Sasa kama tunashindwa kudhibiti rasilimali zetu kutoroshwa kipindi ichi ambapo mipaka na bandari zipo chini ya serikali itakuwaje kipindi watu wa nje watamiliki mpaka wa bandari kuingiza na kutoa vitu tz ?.....KWENYE SWALA LA URAIA INATAKIWA TUWE NA URAIA WA AINA 3 AU ZAIDI NA UWE NA LEVEL 3 ili kuweka mipaka tofauti baina ya uraia na majukumu ,mfano
1) hao raia waliopewa uraia hapo walitakiwa uraia wao usiusiane na uongozi wa kiserikali pamoja na mambo ya kisiasa mpaka kizazi cha 3.
Yaani wasiruhusiwe
a) Kupiga kura
b) kuwa wana siasa
c) kuwa wanachama wa vyama vya siasa
d) kuwa kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama kama polisi ,jwtz nk

2) Aina nyingine ya uraia ni uraia wa mtanzania kuchukua uraia pacha wa nchi ya pili hawa ilitakiwa wawe na uraia maalumu wa kutojiusisha na siasa isipokuwa wawe na uhuru wa kupiga kura na wasi ruhusiwe kuwa na vyeo vya juu vya kiserikali ili kulinda usalama wa taifa hii itasaidia kuleta pesa na maendeleo kwa watz walio chukua uraia wa nchi nyingine tofauti na sasa ambapo wanalazimika kupoteza uraia wao wa tz na kushindwa kuisaidia tz kimaendeleo vizuri au kufanya maendeleo kwa upana hapa nchini,
Hivyo inabidi tusipambanue swala la uraia katika fungu moja ni kosa kubwa.kama sasa hivi serikali ya tz inachelewesha kuwatambua watz walio chukua uraia wa nchi zingine na kusababisha usumbufu na hasara kwa taifa.
Hasa hapo kwenye kujiingiza kwenye siasa ndio patiliwe mkazo kwasababu mtu atajifanya ni raia wa Tanzania anapewa hela nje anazimwaga na hivi Watanzania wasivyo wazalendo kama usemavyo jina lake linapita mara ameshakuwa rais nini kitatokea kama siyo kutawaliwa kutokea nje tunajikuta hatuna maamuzi na dira ya kitaifa.

Kumbuka huko nyuma kuna kanchi kalileta watu wake kibao mpaka wakawa madiwani, wenyeviti wa serikali za mitaa, wengine wakaanza harakati za kuwa wabunge, hii yote ni kwasababu ya kupend rushwa ikawapofusha macho wakawa wanapitishwa na vikao vya ngazi ya maamuzi mpaka wanakuwa viongozi.

Sasa hivi nchi ilipofikia inatakiwa kuwafanyia vetting na screening viongozi wote kuanzia kwenye chama na serikali hata kama ni wajumbe wa nyumba kumi, wasitumie kigezo cha huyu anapendwa sana na wananchi au ana ushawishi mwingi, tena kinachopendwa zaidi ni hiki huyu anaunga sera za kiongozi aliyepo madarakani.

Hii si sawa tutapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, watatusifia kumbe wana lengo Lao la kutugawa halafu watutawale kwa maslahi yao ambayo siyo ya faida kwa Watanzania.

Nchi yetu ni nzuri sana inatamaniwa na wengi, viongozi wetu kuweni Wazalendo. Ile security inteligency ya Mwalimu irudi msiokoteze watu huko barabarani na kuwakabidhi madaraka au sehemu nyeti watu wajinga wajinga wasiojitambua wanakuja kutengeneza magenge ya uhalifu kuiibia nchi rasilimali zake kwa mgongo wa mamlaka.

Acheni hizo, hiki ni cha mzee usiguse, hii ni ya mtoto wa fulani, kile ni cha yule aliyewahi kuwa fulani. Hatufiki huko tuendako kwa kujimilikisha mali za umma.

.
 
Kula albino tz ilikuwa biashara ya kiongozi mmoja mkubwa hapa tz na team yake ya wanasiasa anajulikana kama mzee wa msoga ila baada ya mzalendo JPM kuchukua nchi hiyo biasdara ikakoma.
Mambo mengi na mazoea walikoma ila la mzee wa msoga kula albino mimi silijui. Ila ujinga mwingi ulikoma kweli kweli mpaka wakaanza kumchukia.
 
I am fluent Kiswahili, my dialect is different from yours but I'm very fluent. Meanwhile, you're so poor in English you're always misinterpreting what people who are good in English type.
Weee wacha kuongea pumba, akuna mkunya anae ongea kiswahili vyema hata moja, anae jitaidi kuungaunga ni Tony, nyie wengine tunawavumilia tu.
 
Tatizo yenyu wabongo nikingereza Sisi sio level yenyu ni venye....chenye Sisi tunayo....tafuta dictionary !
View attachment 2216248View attachment 2216249View attachment 2216250
Sasa tofauti ya punda na hawa watu ni nini? Maana punda na mbwa wakiwa kwenye joto wanategeshea sehemu y wazi yenye mkusanyiko wa watu wanaanza kupandana, watu wakijifanya hawana habari nao wanaanza kubweka na kupiga kelele hata uwachape hawaachi inabidi ujiondokee tu, maan mila za kitanzania huu ni kama uchuro na itokee uko na watu wazima na heshima zao ndio kabisaaa. Halafu hawa wanajiita wana maendeleo ujinga mtupu.
 
Na kushobokea kote kingereza kumbe ni asilimia 2 tu ndo mnajua!
Uzuri bongo hatushoboki nacho.
Hawana lugha yoyote waliyo nayo.Sisi hata kama tuna kiswahili tunakiongea, kukiandika na kukisikia kwa ufasaha. Watanzania wengi wanajua Kiingereza ila hawana mzuka nacho tena cha kuandika wakenya hawawagusi kabisaaa.
 
Issue hapa sio phrase but Nala company is a Tanzanian Company Kenyans wanasema ni ya kenya kwenye twitter. Ushamba umewazidi mkiona kiswahili tuu huko nje mnafikiri ni juhudi za Kenya you always think about yourselves first very selfish hii ndio ilipelekea the first EA community kufa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hii kali kwamba NALA ni Kenyan kampani wakati ni mtanzania anaitwa Benjamin Fernandez mtoto wa Bishop Fernandez wa Agape Ministry, huyu kijana alikuwa anafanya kazi nchini Marekani kwa Bill Gates akaamua kuja kuwekeza nyumbani.

Kweli wakenya wamesomea kupika data na upotoshaji.
 
Inaonekana ili washinde battle humu inawabidi wapotoshe na kudanganya.
Hivi hivi hawawezi.
Kabisa.Sera yao ya elimu nadhani iko hivyo simply because they have nothing to write home about, no resources, infertile land,poor leadership, non vionanary leaders mostly of them are basing on corrupting and embezzlement of public funds,What do you expect.?
 
Peaceful
20220509_150356.jpg
 
Daaah!!! Corona ni ugonjwa mbaya sana.alikuwa anafikilia corora ni chadema
Kwahiyo kama alikufa kwa corona ni big deal hapo kenya kiasi kwamba mumuongelee kila siku ?

Halafu wakenya mlikuwa mnawashwa washwa nini mpaka kila kitu tz hawatangazi idadi ya wagonjwa, tz inaficha taarifa, mara tz vifo vinatokea hawasemi, kesho tena utasikia watz hawavai barakoa, mara hawajifungii ndani.

Mama kasema anayetaka kuvaa ruksa asiyetaka kimya, Waziri wa afya akawatangazia kidogo tu, kimya mpaka leo hamsemi semi.

Wazungu hawavai tena hayo makitu. Lakini nyinyi kihere here sana hatuwezi kufanana na nyinyi hata siku moja. Nyinyi mkishasikia wazungu wamesema kitu macho na masikio kodo utadhani mjusi kabanwa na mlango.

Magufuli alikufa kwa kuwa Mungu alitaka iwe hivyo ila si kwa corona.Mlitaka kupanda kupitia corona hizo pesa ziliwasaidia nini zaidi ya kuingia kwenye mifuko ya wachche?

Acheni kushoboka na Tanzania, sisi ni kama sisi siyo mafisi kama nyinyi.
 
Kwahiyo kama alikufa kwa corona ni big deal hapo kenya kiasi kwamba mumuongelee kila siku ?

Halafu wakenya mlikuwa mnawashwa washwa nini mpaka kila kitu tz hawatangazi idadi ya wagonjwa, tz inaficha taarifa, mara tz vifo vinatokea hawasemi, kesho tena utasikia watz hawavai barakoa, mara hawajifungii ndani.

Mama kasema anayetaka kuvaa ruksa asiyetaka kimya, Waziri wa afya akawatangazia kidogo tu, kimya mpaka leo hamsemi semi.

Wazungu hawavai tena hayo makitu. Lakini nyinyi kihere here sana hatuwezi kufanana na nyinyi hata siku moja. Nyinyi mkishasikia wazungu wamesema kitu macho na masikio kodo utadhani mjusi kabanwa na mlango.

Magufuli alikufa kwa kuwa Mungu alitaka iwe hivyo ila si kwa corona.Mlitaka kupanda kupitia corona hizo pesa ziliwasaidia nini zaidi ya kuingia kwenye mifuko ya wachche?

Acheni kushoboka na Tanzania, sisi ni kama sisi siyo mafisi kama nyinyi.
Wanashoboka na Tzn wakati kwao wajanja wanawapiga pesa na kufisadi Nchi👇

Screenshot_20220509-140426.png
 
Kiongozi wa kwanza kwenda na maji kutokana na Ugumu wa maisha na kupanda Kwa bei ya vitu kwa sababu ya mafuta nk.

Huyu bwana kama yake ndio Rais wa Sri Lanka so kawasilisha barua ya kujiuzulu kwa kaka yake 👇

Screenshot_20220509-145738.png
 
Sasa tofauti ya punda na hawa watu ni nini? Maana punda na mbwa wakiwa kwenye joto wanategeshea sehemu y wazi yenye mkusanyiko wa watu wanaanza kupandana, watu wakijifanya hawana habari nao wanaanza kubweka na kupiga kelele hata uwachape hawaachi inabidi ujiondokee tu, maan mila za kitanzania huu ni kama uchuro na itokee uko na watu wazima na heshima zao ndio kabisaaa. Halafu hawa wanajiita wana maendeleo ujinga mtupu.
Hawa ndo civilized nation 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Don't take it personal, we have been wasted by our leaders ,With all resources that we have,it doesn't make any sense that we r in this lower category of middle income economy few steps from ldc...we should've been an upper middle income like Botswana, Namibia or South Africa simply because we have everything.Inauma sana
Mambo ambayo Mwenyezi Mungu kwa busara yake aliwapa nyinyi na sisi tukakosa. Aliyekupa kiti ndiye aliyenipa kumbi. Haya mambo yote ambayo nitayataja nyie mnayo na sisi hatuna.
Nyie mna:
1.Gesi
2. Dhababu
3. Diamond (almasi)
4. Madini ya Chuma (iron ore)
5. Tanzanite
6. Lithium
7. Nickel
8. Cobalt
9. Silver
10. graphite
11. Uranium
12. Shamba kubwa yenye rutuba
13. Mnapokea mvua nchi nzima na hamna maeneo kame.
14. Mna watu wengi yaani mna nguvu kazi ya kutosha (watu 60 million na zaidi ya watu 20 million wana umri wa kufanya kazi).
15. Mnamiliki 49% ya Lake Victoria.
16. Mnamiliki asilimia kubwa ya Lake Tanganyika.
17. Urefu wa ufuo wa bahari wa Tanzania ni zaidi ya 800 km.
18. Mumezungukwa na majirani wanane mnaoweza kufanya nao biashara.
19. Mna amani hamjawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.



Kenya tuna matatizo haya:
1. Hatuna madini kwa wingi isipokuwa soda ash na titanium.
2. Maeneo ya magharibi na kati ya Kenya ndio huwa yanapokea mvua ya kutosha. Maeneo ya Kaskazini hayapokei mvua yoyote hata tone. Mashariki inapokea mvua kidogo sana na hao watu huwa na shida ya ukame pia.
3. 25% ya ardhi ya Kenya ndio ina rutuba. 75% ya ardhi ya Kenya haina rutuba na mimea haimei vizuri kwenye ardhi hio au haimei kabisa.
4. Kenya ina watu 50 million wakati Tanzania ina watu 60 million. Kwa hivyo Tanzania ina nguvu kazi kubwa kushinda Kenya.
5. Kenya inamiliki 6% pekee ya Lake Victoria.
6. Kenya ina majirani watano pekee.
7. Ufuo wa bahari wa Kenya ni 500 kilometres pekee.
8. Kenya tuna amani lakini hatufikii amani ya Tanzania kwa maana sisi tumewahi kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mara kadhaa kwa mfano mwaka wa 1992 na 2007.

Lakini cha kushangaza ni kwamba licha ya matatizo ya Kenya, bado Kenya ina gdp, gni per capita na hdi kubwa kushinda Tanzania.
 
Back
Top Bottom