Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida yako ni ujinga na ujuaji na hujui kitu.
Eti managing director!
Najua unaogopa ukweli but the truth will be there for everybody to see. Kama huyo jamaa sio manager then tuambie manager was hiyo complex ni nani. Wewe ni hasara tu Kwa familia yako 😂😂
 
Morogoro unamwachi nani?
Iringa unamwachia nani?
Kilimanjaro unamwachia nani?
Dodoma unamwachia nani?
Kagera unamwachia nani?
Zanzibar unamwachia nani?
Rukwa unamwachia nani?

Nangoja cku mjichanganye tuanze battle ya miji mingine tutoe Dar na ka Nairobi afu muone kichapo mtakachokula na ndiyo cku hiyo hiyo mtajua why we are ranked as the most urbanized country in East and Central Africa.
Most urbanized indeed. Mbeya City😂👇

20220401_172728.jpg
 
Chama kimoja kutawala haijawahi kuwa ni tatizo duniani, China, Urusi, Cuba, South Africa, Denmark, Germany(kwa zaidi ya miaka 20), Angola, Namibia, Msumbiji, na nchi nyingi duniani zimetawaliwa na chama kimoja na zimepiga hatua kubwa za maendeleo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa shida Tanzania haijapiga hatua yoyote kimaendeleo😂😂😂

IMG_20210712_220639.jpg
 
Najua unaogopa ukweli but the truth will be there for everybody to see. Kama huyo jamaa sio manager then tuambie manager was hiyo complex ni nani. Wewe ni hasara tu Kwa familia yako

Nilivyo kuumbua inaonekana umeumia sana.
Yaani wewe kazi yako humu ni kupotosha na kudanganya tu!
Yaani hampendi kabisa kukutana na vikwazo mnavyo danganya na kupotosha.
Utawadanganya wakunya wenzako ila sio Watanzania.

Eti managing director ni mkunya!

IMG_1526.jpg
 
View attachment 2216291
Hata huelewi kitu umeunderline.😂😂😂.
 
Morogoro unamwachi nani?
Iringa unamwachia nani?
Kilimanjaro unamwachia nani?
Dodoma unamwachia nani?
Kagera unamwachia nani?
Zanzibar unamwachia nani?
Rukwa unamwachia nani?

Nangoja cku mjichanganye tuanze battle ya miji mingine tutoe Dar na ka Nairobi afu muone kichapo mtakachokula na ndiyo cku hiyo hiyo mtajua why we are ranked as the most urbanized country in East and Central Africa.
Nimestudy Wakunya humu miji ya Dodoma na Zanzibar wameamua waachane nayo kabisa, miji yote mikubwa Tanzania wameshaishindanisha na vijiji vyao ila hii miwili hata kuigusa hawaigusi

Hivyo tuna wachezaji machachari wawili wa akiba bench 😅😅😅
 
Sasa shida Tanzania haijapiga hatua yoyote kimaendeleo

View attachment 2216289
Unajua maana ya maendeleo?
1)Political stability
2)Peace
3)Unity
4)Non racial/tribe or any type of segregation
5) Equal society
6) Togetherness

These parameters form big part of development, nor country can reach sustainable development without these.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nilivyo kuumbua inaonekana umeumia sana.
Yaani wewe kazi yako humu ni kupotosha na kudanganya tu!
Yaani hampendi kabisa kukutana na vikwazo mnavyo danganya na kupotosha.
Utawadanganya wakunya wenzako ila sio Watanzania.

Eti managing director ni mkunya!

View attachment 2216291
Wajinga Sana haya majamaa, kupenda kujikweza wakati hawana wanachojua

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimestudy Wakunya humu miji ya Dodoma na Zanzibar wameamua waachane nayo kabisa, miji yote mikubwa Tanzania wameshaishindanisha na vijiji vyao ila hii miwili hata kuigusa hawaigusi

Hivyo tuna wachezaji machachari wawili wa akiba bench 😅😅😅
Are you talking about the same Zanzibar which Lamu gave thorough beatings?
 
Wivu na inferiority complex. Yani majamaa wapo hapo wameng'ang'ana vile phrase pia iko Tz na hivyo ndio vitasa eti.
Issue hapa sio phrase but Nala company is a Tanzanian Company Kenyans wanasema ni ya kenya kwenye twitter. Ushamba umewazidi mkiona kiswahili tuu huko nje mnafikiri ni juhudi za Kenya you always think about yourselves first very selfish hii ndio ilipelekea the first EA community kufa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom