Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did you get the gdp formula I gave you when calculating the gdp. Stop being nincompoops everything is explained .wewe huwez nifundisha Mimi kuhusu bank sababu hata simple economics huzijui.
Kwahiyo ukiambiwa gdp yenu ni mikopo unategemea mtu binafsi akakope, serikali ikikopa kufanya matumizi kama invyoelezwa kuwa 70% ya forex reserve imebebwa na remittance na loans ni sawa na kukuambia serikali imekopa kwa niaba yako ili ukikulipe salary ukafanye matumizi
🚮 🚮
You're an idiot. Not worth my time.
 
Sema nini huu uwanja wakimaliza kuuezeka hakuna takataka yoyote ya kutia pia hapa, ukanda mzima huu. 👇🏾
IMG_4075.jpeg
IMG_4076.jpeg
IMG_4077.jpeg
washaanza kuezeka. Ndani ya mwezi mmoya mzigo utakua na maganda yake, na hapo tutakua tumewakata ngebe wakunya. Mana hiyo exterior design ya huu uwanja ni out of this continent of Africa.
 
Back
Top Bottom