The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 911
- 1,827
Hii covid inayozungumziwa tz sijawahi kuielewa kamwe...hivi kumbe kuna sehemu watu bado wanawaza covid Tanzania hii..!!!!
Hii covid inayozungumziwa tz sijawahi kuielewa kamwe...hivi kumbe kuna sehemu watu bado wanawaza covid Tanzania hii..!!!!
Covid haijaisha chukua tahadhari na inazidi kupamba moto Africa yote..Hii covid inayozungumziwa tz sijawahi kuielewa kamwe...hivi kumbe kuna sehemu watu bado wanawaza covid Tanzania hii..!!!!
Ipo wapi? Unadhani wakisema tutawakopesha unadhani ni kwenda kuchukua tuu kama kuchota maji kwenye mtungi?Unahisi mm fala mpka kama wewe unayewaza makamasi mchana
.BRT Phase 3 and 4 hela ipo kutoka WB fwatilia...miradi yote hapo hela ni loans btw
.Nini kinasababisha iende slow
Basi kumbe huenda hii covid wanai-overrate maana tangu nianze kuisikia hadi hii leo nikitathmini jinsi tunavyoishi huku niliko,sisi tungekuwa marehemu kitambo sanaCovid haijaisha chukua tahadhari na inazidi kupamba moto Africa yote..
Ina mild effects ukanda wa joto wa Africa lakini hukwepi athari zake kiuchumi hasa wanapoathiriwa wakubwa..Basi kumbe huenda hii covid wanai-overrate maana tangu nianze kuisikia hadi hii leo nikitathmini jinsi tunavyoishi huku niliko,sisi tungekuwa marehemu kitambo sana
Tony254, hivi huyu jamaa unamuelewa?, huyu ni miongoni mwa viongozi Kenya ambao ninawafuatlia Sana, inaonekana anayumba Sana, au ni mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi tu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tony254, hivi huyu jamaa unamuelewa?, huyu ni miongoni mwa viongozi Kenya ambao ninawafuatlia Sana, inaonekana anayumba Sana, au ni mtu mwenye kujali maslahi yake binafsi tu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Siasa za Kenya huwa interesting in a way. Inaweza kuwa Mutua amewindwa na Kenya Kwanza ama ni uamuzi wake binafsi kulingana na yale mambo amabayo umeyataja ama hata yaweza kuwa ni kwa hayo mambo ambayo aliyataja kwa hio press conference.Anajijali. Siasa ni mchezo wa kujijali. Ni kweli ametendea watu wake wa Machakos mambo makubwa upande wa maendeleo ila ameshakuwa governor for 2 terms. Kikatiba hawezi kuchaguliwa kuwa governor tena kwa hivyo analazimika kumuwachia mtu mwingine kiti hicho na yeye kuwania nafasi nyingine au kuwachana na siasa kabisa. Sasa yeye badala ya kuwacha siasa ameamua kujiunga na Azimio akitegemea kupewa nafasi fulani ila nadhani amekosa hilo nafasi na sasa ameamua kugura na kuelekea mrengo wa pili.
Hapa Kenya governors waliochagulia mara mbili hawaruhusiwi kugombea tena kwa mara ya tatu. Tatizo ni kwamba mtu akishachaguliwa kuwa governor,baada ya muda wake kukamilika, wengi wao hawapendi kugombea viti vya ubunge kwa maana wanaona viti hivyo ni vidogo sana kwao. Sasa huyu jamaa anatafuta tu nafasi kwa maana hawezi gombea tena ugavana na ana kiburi na hataki kugombea kiti cha ubunge japo anaweza kuchaguliwa kama mbunge virahisi sana kwa maana watu wanampenda ila kiburi chake kitamponza.
Wanasiasa wanajijali wenyewe japo huyu jamaa alijali maslahi ya wananchi kwa kiasi fulani alipokuwa governor lakini kwa sasa anajijali na anajitafutia riziki ya siku za usoni. Lakini naona akipoteza. Angekubali kuwania ubunge au useneta. Alitaka kuwa running mate wa Raila ila ameambulia patupu.
hapana... ni nyinyi ndo mnaliwaza na kujisumbua na jirani wenu kila kukicha..We don't give a ***😀 what you think of us nyie ndo huwa mnajipendekeza kwetu au nasema uongo😀?
Hapana hii ni kwasababu za kisiasa tu.2025 ni uchaguzi mkuu wa hapa nchini. Target ni kupata wapiga kura wengi kwahiyo wakizindua 2024 nchi itakuwa na umeme mwingi utauzwa kwa bei ya chini ambao utaleta afueni kwa wananchi, hivyo machungu yatapoa na kuamini nchi inafanya kazi kweli kweli.Sasa uzinduzi wa JNHPP umesongezwa kutoka mwaka wa 2022 hadi 2024 halafu unashangaa nini mradi huu unapoitwa white elephant? Hio 2024 itasongezwa tena hadi 2025 subiri tu utaona.
Hata SGR kilomita 200 imewashinda kumaliza miaka mitatu baada ya tarehe ya uzinduzi wa November 2019.
Sitashangaa ikiwa treni yenu ya umeme itakosa umeme wa kuiendesha hii August wakati wa uzinduzi.
Mradi wowote ambao unakua financed by gov delays ni kawaida, Magu mbona hadi anatwaliwa hakumaliza Sgr dar moro? Wewe unaposikia serikali imetenga 800b kwaajili ya bwawa hapo ukute mkandarasi anahitaji hata 2trill amalize kazi sema kapu hilohilo ndio linatakiwa lilipe salary..lijenge barabara kulipa wazabuni wengine nk...tuliopo huku serikalini tunaelewa vizuri haya mamboHapana hii ni kwasababu za kisiasa tu.2025 ni uchaguzi mkuu wa hapa nchini. Target ni kupata wapiga kura wengi kwahiyo wakizindua 2024 nchi itakuwa na umeme mwingi utauzwa kwa bei ya chini ambao utaleta afueni kwa wananchi, hivyo machungu yatapoa na kuamini nchi inafanya kazi kweli kweli.
Ingekuwa ni kipindi cha Magu ungeisha lakini Rais aliyepo anatarget 2025.Hivyo basi utegemee mambo mengi kusikia kwa mtindo huo, lakini nikuhakikishie bwana Tony kila kitu kitakamilika kama kilivyopangwa na tutawauzia umeme na gesi maan tutakuwa nao mwingi.
Kumbuka ule wa Singida to Namanga miundombinu iko njiani inakuijieni kwenu.
2024 it's for political purposes to gain momentum in 2025.
I agree.Siasa za Kenya huwa interesting in a way. Inaweza kuwa Mutua amewindwa na Kenya Kwanza ama ni uamuzi wake binafsi kulingana na yale mambo amabayo umeyataja ama hata yaweza kuwa ni kwa hayo mambo ambayo aliyataja kwa hio press conference.
Kusema kweli Dr Mutua hawezi kuwania ubunge tena, kama tu vile Kalonzo Musyoka anataka kiti ya naibu wa rais pekee kwa sababu ya status yake ya kisiasa. Mutua ni heri aka retire kwa politics kuliko atafute kiti cha ubunge na since hataki ku retire basi ni uhuru wake kuongoza watu wake na kuamua chama chake kitajiunga na mrengo upi wa kisiasa...
Don't take it personal, we have been wasted by our leaders ,With all resources that we have,it doesn't make any sense that we r in this lower category of middle income economy few steps from ldc...we should've been an upper middle income like Botswana, Namibia or South Africa simply because we have everything.Inauma sanahapana... ni nyinyi ndo mnaliwaza na kujisumbua na jirani wenu kila kukicha..
most tanzanians knows alot bout kenya, including politics, pple, places and towns, tribes,
nb:
THE MAIN CAUSE OF BEEF BY TANZANIA TOWARDS KENYA
now the fact tht we are the immediate neighbours, then kenya seems to be ahead in almost all fronts, but yet tanganyika being even bigger and larger with many resources, good climate, more populous.. most tanganyikas feel tht tz has what it takes to be ahead in the EA region, but still however find that kenya; a smaller country, 30%arable land, no minerals, a smaller population, but still has the agility that outsmart all the other states in this bloc; has a larger gdp and attracting all major int'l companies to set base in its soil.
In Conclusion:
this has been a great puzzles for most tzs, thus making them want to dig deep and to know more about this small mysterious country known as 'Kenya'.. in the process, this has helped spur a state of cold bloodless bwtn these two states. note tht all this started during jakwaya kikwete era. if their is a country very dangerous for kenyans (in particular) to go rightnw, its not even somalia but tanzania itself. kenyans are being harassed, starting from JPM the father of all this mess to date..
Nadhani ni reasonable...kuliko kuanza kuminyana na kodi za wananchi...mfano kwa nchi kama BurundiNchi tatu kuazima hela ndogo kama iyo ji fedheha
Ndg yangu tuusan ebu tuseme ukweli, tuache ushabiki na mahaba. Mtu anayepata mshahara 1,000,000/= akatumia 950,000/= na kusave 50,000/= kwa mwezi, haya ni matumizi ya kawaida kabisa mfano chakula, maji, umeme, usafiri.Kwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate