Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo si nani kapewa bali ni usimamizi kupitia sheria za mikataba! Wewe unadhani hata Yapi Merkezi hawawezi kufanya huu upuuzi?
Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.

Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
 
Hata niwe mimi siwezi Baki kwa Mchina,huwa ni wapuuzi fulani wanalipa kidogo Sana kuliko Mzungu..

Bora wamesepa,Mchina analipa kidogo mno na usumbufu juu..

Mkandarasi atoe way forward sio swala la kusingizia wafanyakazi kusepa,kwani wameisha sokoni?
 
Haya Mambo ndiyo yanayoipoteza Kenya. The only billionaire in East and Central Africa doesn't own a helicopter, the second and third richest men (Rostam Aziz and Bakhresa)in the region, don't have their own helicopters, but politicians in Kenya do own helicopters, where do they get money?. Hiyo ndio sababu "ratio ya debt to GDP Kenya ni 80%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.
 
Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.

Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
Sasa nadhani unaelewa kwamba wale wakenya waliopo huko Ulaya na bara la Amerika wengi ni wale wenye skills za hali ya juu ambao hata Kenya wanahitajika Sana, hao waliobaki japo Kenya wanalalamika kukosa ajira, wengi ni wale wenye skills za chini Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.
Yes, he is very clever not like you Kunyans, why should we spend too much money to buy something which you need it for only two months?, We are much smarter than you guys.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unablame Mkandarasi kwa jambo la kawaida kabisa katika labour market. Hao Watanzania waliotafuta ajira upande wa pili walikuwa wanafuata mapato mazuri zaidi. Hio ni kawaida sana na utakuta hao wafanyakazi 35 ni wale ambao wana experience ya juu na ndio maana wamepata ajira kule kwa maana skills zao zinahitajika kule.

Sasa solution ni Mkandarasi kuandika wafanyakazi wengine 35 kuziba pengo lililoachwa na hawa experts 35. Lakini huwezi kuzuia wafanyikazi wenye skills za juu kuhama kutoka kazi moja hadi nyingine. Hio ni kawaida sana katika kila profession, watu wenye skills za hali ya juu wanatafutwa sana na waajiri wapo tayari kuwalipa pesa nyingi.
mimi na-blame consultant (kama yupo maana mjuaji JPM alikuwa haamini Consultants wanahitajika) ambaye anapaswa kumlazimisha mkandarasi kufanya replacement!
 
Guys hivi Samia anafanya nini
Ni Rais wa JMT

Ubaya ni watu washamkariri nchi mmemshinda.. hata akifanya mema/mazuri..watu hawatayaona hayo mazuri.. wataona pale palipovurugika tu..

What i pray for ni aanzishe miradi yake yote before 2025..kama zile arenas mbili na miradi mingine na hii ya sasa kama SGR, JNHPP etc aikamilishe yote
 
Hivi una habari ujenzi wa meli hauna consultancy sasa jiulize kwa hali kama hiyo kwann mkandarasi asijaribu ku-maximize profit gain?
Your blaming kila kitu kwa JPM..its been a year ..kwani awamu ya 6 hawajawai kukagua mradi toka JPM avute, Kwann wasiweke consultant..?

Kumekuwa na usimamizi usioridhisha kwneye miradi..mbali mbali..

BRT phase 3and 4 haijaanza

Pangani Bridge haijaanza

Msimbazi River Basin Project haijaanza

What about those projects ??

JPM alikuwa na mapungufu yake..lakini wao kwann hawaja correct the issues?
 
Umetoa pesa ya kujengea au unadhani wanajengea makamasi yako?
 
Guys hivi Samia anafanya nini
Yuko kazini Ikulu,wewe unaona anafanya nini?👇

Screenshot_20220509-123523.png

Screenshot_20220509-123137.png
 
Back
Top Bottom