Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio nikasema mna inferiority complex. Ni kawaida mtu akiona phrase ya kwako ughaibuni atakuwa excited - same way nimeona wengi wenu wakiposti posti picha ya neno Dar es Salaam kule Germany. Sasa ukiona mtu akiwa excited of such a phrase alafu uanze matusi eti ooh pia kwetu ipo hiyo ni inferiority complex.

Endelea kulia lia ila next time hatorudia upumbav tena.
 
Kwahiyo umajifanya unajua sana mambo ya Tz while huku ndani mnajifanya hamfuatilii mambo ya Tanzania .

Ngoja nikupe reality check kidogo infact that investment is owned by Somalian President under the name of another Somalian business man.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Give us the name of that Somali we see how dump you are. For your information, that project got my interest because first, it's managed by a Kenyan then second KCB bank participated in its existence. Ama unataka nikuambie pia ati imekuwa designed by a Kenyan?😂😂😂
 
Acha upuuzi nakupa za ndani it is owned by Somalian President under the guise of a Somalian business man period.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mambo ya midomo kama kawaida yenu bila supporting facts, you should go and argue with Ghanians kule Nairaland. They are just like you juu they also hate facts 😂😂😂.
 
Hawa mkuu tulikuwa tunawaambia humu kila kitu mmeweka Nairobi wakawa wanakataa sasa wameanza kuweka mashinani pia eti wanashangaa maendeleo wakati sisi tulianza kitambo since 1972.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wapumbavu sana, mtu wa Rukwa ana maisha mazuri mara 1000 ya Lodwar ndio ujue masikini wa mwisho Tanzania ni tajiri Kunyaland

Hapo bado Rukwa ina miradi mingi hata Mombasa haina, namsubiri ajibu nifungulie nyuki 😄
 
Haya......usisahau kujifunza Kiingereza

Anza kuwaambia wakunya wenzako kwanza wajifunze.

IMG_1525.jpg
 
Heehee, toa Dar nitoe Nairobi.

Mwanza vs Mombasa
Arusha vs Kisumu
Mbeya vs Nakuru
Eldoret vs Tanga

Unaona gani iko juu? Heehee
Morogoro unamwachi nani?
Iringa unamwachia nani?
Kilimanjaro unamwachia nani?
Dodoma unamwachia nani?
Kagera unamwachia nani?
Zanzibar unamwachia nani?
Rukwa unamwachia nani?

Nangoja cku mjichanganye tuanze battle ya miji mingine tutoe Dar na ka Nairobi afu muone kichapo mtakachokula na ndiyo cku hiyo hiyo mtajua why we are ranked as the most urbanized country in East and Central Africa.
 
Tz chama kilekile mambo yaleyale
Chama kimoja kutawala haijawahi kuwa ni tatizo duniani, China, Urusi, Cuba, South Africa, Denmark, Germany(kwa zaidi ya miaka 20), Angola, Namibia, Msumbiji, na nchi nyingi duniani zimetawaliwa na chama kimoja na zimepiga hatua kubwa za maendeleo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom