Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa wewe ndio huna akili kuliko wote humu. Are you not aware that Palm Village Mikocheni is one of the projects developed by Ivory Tower real estate? The owner of Ivory Tower is a Chinese with Njuguna being of real estate services.
Unadhani hizo zote sijui? Focus na sehemu niliyoweka msitari rangi nyekundu.
Kwa hiyo huyo Maina sio managing director tena! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unapenda kuongeza chumvi kishamba hivi?
 
Unadhani hizo zote sijui? Focus na sehemu niliyoweka msitari rangi nyekundu.
Kwa hiyo huyo Maina sio managing director tena! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona unapenda kuongeza chumvi kishamba hivi?
Wewe kingereza kimekupiga chenga bana, kojoa tu ulale juu venye utaendelea kuargue ndio utakuwa unajiaibisha😂😂🤣
 
Ni kawaida ya mkunya kukimbilia kwenye kichaka cha kingereza pale anapokamatika akiwa anapotosha na kudanganya.
Do you know why nimekuambia kingereza kimekupiga chenga? Kama yeye sio managing director then why is he talking about the project and how they are managing the rental and purchases?

Screenshot_20220508-000934_1.jpg
 
Do you know why nimekuambia kingereza kimekupiga chenga? Kama yeye sio managing director then why is he talking about the project and how they are managing the rental and purchases?

View attachment 2215982

Humu utadanganya wakunya wenzako ila sio Watanzania.
Eti managing director!
Tofauti yako na kondoo ni harufu tu.
Kwa hiyo mtu akiisemea kampumi automatically anakuwa managing director according to you! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kibaki ndio tumemsahau,who that f**l anyway [emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa kama mmemsahau nini kumtaja taja humu kila siku? Kibaki pamoja na kuwafanyia mazuri kama msemavo hana mwezi tayari unyang'au wenu mmeshaunyesha lakini Magufuli ana mwaka bado mnamuimba daily, sasa jiulize impact yake kwenu ikoje?

YOU ADORE HIM.
 
Kwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate
Iyo data ya makusanyo inakuambia nini?
 
Mkuu, watu wanacholalamika ni kupanda kwa gharama za maisha, kudhohofika kwa huduma za jamii(Umeme na zingine), kupunguza kwa nidhamu za kazi maofisini, kuongezeka kwa gharama za matumizi ya serikali(safari za viongozi, seminars, na mikutano).

Kuongezeka kwa Makusanyo ya mapato ni jambo zuri Sana, lakini lazima kuendane na kupunguza mzigo kwa wananchi(Kutoa Kodi na kuweka ruzuku ili kupunguza Bei ya mafuta kwa Sasa), au kupunguza kukopa zaidi, Sasa Kama tunakusanya zaidi, lakini bidhaa na gharama za maisha(Bei za bidhaa) nazo zinaongezeka zaidi, mikopo pia inaongezeka zaidi, wananchi wanasababu gani ya kufurahia ongezeko Hilo la Makusanyo?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Fact.
 
It goes both ways what do you mean? 😄

Yaani mkenya kamuoa mtanzania badala mwanamke ndio abadili uraia, mwanaume ndio kabadili, huyu lazima tumchunguze sababu wakenya wanatafuta uraia wetu kwa udi na uvumba
Shida yako kawaida huwa Kiingereza.🚮🚮
 
Kenya mtuonyeshe ni raia wangapi wa Tanzania waliopewa uraia wa Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
Don YF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sema mfumo wetu wa kupatia watu uraia ni wa hatari ......tatizo serikali ya ccm ni mafiii hao raia tayari wanaweza kujiingiza kwenye siasa mara tu baada ya kupatiwa uraia tena wengine unaweza wakuta tayari walisha jiingiza kwenye siasa za nchi yetu kabla ya hata kuwa na uraia hasa kwa kupitia chama cha ccm , ndiyo maana tunashangaa Nchi imekosa uzalendo serikalini na kisiasa kumbe kuna raia wa michongo mafisadi wanao nufaika na ufisadi na kuufadhili kwa kuunda mifumo kabisa na kuwa system kamili ya kifisadi , nikama mradi wa bandari ya bagamoyo umeshupaliwa kama nini ..wakati inajulikana wazi kuwa bandari kumilikiwa na wageni ni kuharibu ulinzi wa taifa na mipaka yaka " jwtz" ni zaidi ya viwanja vya ndege vya kibinafsi vilivyokuwa ninatumika kutorosha madini yetu yenye thamani kubwa na kuyapeleka kenya , kwa ndege zao hao mafisadi wawekezaji.
Sasa kama tunashindwa kudhibiti rasilimali zetu kutoroshwa kipindi ichi ambapo mipaka na bandari zipo chini ya serikali itakuwaje kipindi watu wa nje watamiliki mpaka wa bandari kuingiza na kutoa vitu tz ?.....KWENYE SWALA LA URAIA INATAKIWA TUWE NA URAIA WA AINA 3 AU ZAIDI NA UWE NA LEVEL 3 ili kuweka mipaka tofauti baina ya uraia na majukumu ,mfano
1) hao raia waliopewa uraia hapo walitakiwa uraia wao usiusiane na uongozi wa kiserikali pamoja na mambo ya kisiasa mpaka kizazi cha 3.
Yaani wasiruhusiwe
a) Kupiga kura
b) kuwa wana siasa
c) kuwa wanachama wa vyama vya siasa
d) kuwa kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama kama polisi ,jwtz nk

2) Aina nyingine ya uraia ni uraia wa mtanzania kuchukua uraia pacha wa nchi ya pili hawa ilitakiwa wawe na uraia maalumu wa kutojiusisha na siasa isipokuwa wawe na uhuru wa kupiga kura na wasi ruhusiwe kuwa na vyeo vya juu vya kiserikali ili kulinda usalama wa taifa hii itasaidia kuleta pesa na maendeleo kwa watz walio chukua uraia wa nchi nyingine tofauti na sasa ambapo wanalazimika kupoteza uraia wao wa tz na kushindwa kuisaidia tz kimaendeleo vizuri au kufanya maendeleo kwa upana hapa nchini,
Hivyo inabidi tusipambanue swala la uraia katika fungu moja ni kosa kubwa.kama sasa hivi serikali ya tz inachelewesha kuwatambua watz walio chukua uraia wa nchi zingine na kusababisha usumbufu na hasara kwa taifa.
 
Hiyo article aliyo screenshot ndo hii hapa na hamjagundua tu kwanini kaleta habari nusunusu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Managing director is a Kenyan! [emoji848][emoji848][emoji848]
Head of real estate services!
View attachment 2215969
😄😄😄😄 Nilishaona nilikua namleta taratibu nione anapoishia
 
Mbona mnakula albino?
Kula albino tz ilikuwa biashara ya kiongozi mmoja mkubwa hapa tz na team yake ya wanasiasa anajulikana kama mzee wa msoga ila baada ya mzalendo JPM kuchukua nchi hiyo biasdara ikakoma.
 
Back
Top Bottom