7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,065
Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, accept that and move on.Heehee...............sasa golf course ndio haipo Nairobi ama unajaribu kusema nini?![]()
![]()
Wale nurses kushindwa kufaulu ule mtihani wa Kiingereza ndipo nilipoanza kupata mashaka sana na uwezo wa Kiingereza chao.Naonaga Misemo mingi huku “Tanzanian cannot teach me English” yet wanakanyagana kama kondoo kwenye zizi. Angalia yule aliyekua anaongea quality ya English yake halafu ina madudu kibao, hata kama ni typo (ambayo ilionekana eneo moja) bado hatoboi kwa ile Grammar.
Tuonyeshe expressway ya Dar es Salaam.Hakuna infrastructure yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa, accept that and move on.
Kuna mmoja aliniuliza nifanye nini ili nipate uraia wa tz? Nikamwambia aende Kwa myenye kiti/katibu atampa way forward![]()


kuna mwingine alitumia link ya kazi apply , alivyofuatilia akajua makao makuu ya hiyo kampuni itakuwa Arusha na Nairobi, kwa post anayotakiwa kuomba anatakiwa akaishi Nairobi. Hakujisumbua hata kuomba hiyo nafasi aliishia kusema siwezi kuishi na Wakenya na kufanya nao kazi kwao.Shida iko wapi, cjui kingereza najua kiswahili nini mbaya!! Ww unayejua kingereza na bado upo failed state unaganga njaa. Unajua kingereza na hujawahi kutoka nje ya hyo failed state haya tuambie kingereza kimekusaidia nn?I'm not bragging, I'm simply stating facts. The comprehension and written English of some of you is plainly pathetic.![]()
Hii hapa na ww nioneshe electrifitried SGRTuonyeshe expressway ya Dar es Salaam.

Nyie mmekosa nini acheni kumlaumu Mungu mafuta mmepewa mmeshayafanyia nini mpaka leo ili kuinua hali zenu za maisha? Bahari na viumbe vyake mmepewa mmefanyia nini? Mapori ya utalii mmepewa mmefanyia nini? Isiwe rahisi tuu kulaumu wenzenu hawafanyi kitu juu ya utajiri wao wakati na nyie mmekalia wenu pia.Mambo ambayo Mwenyezi Mungu kwa busara yake aliwapa nyinyi na sisi tukakosa. Aliyekupa kiti ndiye aliyenipa kumbi. Haya mambo yote ambayo nitayataja nyie mnayo na sisi hatuna.
Nyie mna:
1.Gesi
2. Dhababu
3. Diamond (almasi)
4. Madini ya Chuma (iron ore)
5. Tanzanite
6. Lithium
7. Nickel
8. Cobalt
9. Silver
10. graphite
11. Uranium
12. Shamba kubwa yenye rutuba
13. Mnapokea mvua nchi nzima na hamna maeneo kame.
14. Mna watu wengi yaani mna nguvu kazi ya kutosha (watu 60 million na zaidi ya watu 20 million wana umri wa kufanya kazi).
15. Mnamiliki 49% ya Lake Victoria.
16. Mnamiliki asilimia kubwa ya Lake Tanganyika.
17. Urefu wa ufuo wa bahari wa Tanzania ni zaidi ya 800 km.
18. Mumezungukwa na majirani wanane mnaoweza kufanya nao biashara.
19. Mna amani hamjawahi kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Kenya tuna matatizo haya:
1. Hatuna madini kwa wingi isipokuwa soda ash na titanium.
2. Maeneo ya magharibi na kati ya Kenya ndio huwa yanapokea mvua ya kutosha. Maeneo ya Kaskazini hayapokei mvua yoyote hata tone. Mashariki inapokea mvua kidogo sana na hao watu huwa na shida ya ukame pia.
3. 25% ya ardhi ya Kenya ndio ina rutuba. 75% ya ardhi ya Kenya haina rutuba na mimea haimei vizuri kwenye ardhi hio au haimei kabisa.
4. Kenya ina watu 50 million wakati Tanzania ina watu 60 million. Kwa hivyo Tanzania ina nguvu kazi kubwa kushinda Kenya.
5. Kenya inamiliki 6% pekee ya Lake Victoria.
6. Kenya ina majirani watano pekee.
7. Ufuo wa bahari wa Kenya ni 500 kilometres pekee.
8. Kenya tuna amani lakini hatufikii amani ya Tanzania kwa maana sisi tumewahi kuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe mara kadhaa kwa mfano mwaka wa 1992 na 2007.
Lakini cha kushangaza ni kwamba licha ya matatizo ya Kenya, bado Kenya ina gdp, gni per capita na hdi kubwa kushinda Tanzania.
Mambo aliyoacha ameyasett kipindi hicho hadi sasa hivi yanareflect maisha yetu.Tukilumbana na kukosa muelekeo tunarudi tena kutaka kujua sera ya Baba wa Taifa inasemaje. Misingi imara aliyoiweka mzee wetu inatuongoza mpaka sasa hivi.Julius Nyerere ana umuhimu gani katika siasa za Tanganyika kwa sasa?
Mtu anaweza kudhani unasema uongo lakini ni vitu real mitaani huwa tunasema hivi.Sisi kitaani kwetu mtu ukimpiga kirungu hata cha jero kama hana huwa anasema "Dah kama Kenya mwanangu" hapo tunakuwa tushaelewa kwamba huyo mtu anamaanisha hana kitu yani yeye mwenyewe ana njaa kama Kenya.
Naona wakibisha kuwa wakenya wanafuatilia mambo mengi ya ndani Tz, Kisha baadae hao ndio wanaleta mambo yanayoendelea Kenya kwenye thread...kusema kweli kuna mambo mengi ya kenya huwa napata habari kuyahusu hapa jf kupitia kwa watanzania 😂aki kweli IamLee 😅😅 sio wewe pekeyako. hivi, kumbe tuko wengi yani. pia mm sijui kitu kuhusu siasa za kibongolala
Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya ila zaidi ya 75% ya Wakenya wanamjua mpk baba levo ikiwemo wewe pia.Naona wakibisha kuwa wakenya wanafuatilia mambo mengi ya ndani Kisha baadae hao ndio wanaleta mambo yanayoendelea Kenya kwenye thread...kusema kweli kuna mambo mengi ya kenya huwa napata habari kuyahusu hapa jf kupitia kwa watanzania![]()
Na huyo baba levo ni asilimia 0.2 pekee ya watz wanaoishi Dar na kwao Kigoma ndio wanamjua.Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya ila zaidi ya 75% ya Wakenya wanamjua mpk baba levo ikiwemo wewe pia.
Baba levo ni nani? Huwa naskia tu mkiongea kuwa alikuja Kenya akashangaa ila simfahamu.Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya ila zaidi ya 75% ya Wakenya wanamjua mpk baba levo ikiwemo wewe pia.
Ngoja nikutafutie comment yako ukishangilia baba levo kuja kenya, babayao255 fanya kazi yako tafadhaliBaba levo ni nani? Huwa naskia tu mkiongea kuwa alikuja Kenya akashangaa ila simfahamu.
Naomba unipe link ya TV station ambayo naweza kufuata habari za prime time...ile inayofahamika Tz








Tena hii ya Mwanza to Isaka isimamiwe vizuri kabisa kila siku ujenzi ni asilimia 4 zaidi ya mwaka sasa, ingekuwa amepewa Dar to Moro ingekuwaje maana zile sehemu ni korofi sana.Halafu kuna watu humu walikuwa wanataka hii kampuni ya kichina ipewe phase 3 citing procurement regulations hao ni waongaji wakubwa na kazi yao mwanza isaka isiposimamiwa closely tutapata end product kama ya Kenya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
wewe joto la jiwe hebu sikiza....unasema kenya hatuna chakula na ajira???? je waelewa unachosema kweli????? sisi kenya gdp yetu sahii ni almost 115 tumewashinda tz na almost 40 to 50 billion dollars...fikiria kw amakini.Hili ndio tatizo lenu, kila nchi ikifanya Mambo yake lazima mseme inashindana na Kenya, hivi mpo na shida gani?.
Tatizo lengine mlilonalo ni kuona kwamba kila kinachofanywa na nchi zingine sio sahihi ila Kenya ndio mpo sahihi, hii tabia ndiyo inayosababisha Kenya kuzozana na majirani wenu wote.
Hivi unadhani kila nchi mtazamo wake ni kuonyesha ipo na GDP kubwa wakati hakuna chakula, maji, usalama Wala ajira kwa raia wake?.
Uganda hawana tatizo la chakula, wao tatizo kubwa ni usalama kutokana na historia ya nchi Yao na machafuko huko DRC, kwahiyo kuwa na bajeti kubwa ya Ulinzi inaeleweka.
Kenya mpo na matatizo ya msingi Sana, hakuna chakula cha kutosha, crime rate ni kubwa Sana, ukame unasumbua, maji ya kunywa ni shida, lakini kwa ujinga wenu mnatenga bajeti kubwa kupambana na Alshababs ambao hawana bajeti yoyote na kuacha kushughulikia Mambo ya msingi, bado eti mnawakosoa Uganda kwa kisingizio cha GDP wakati hakuna mganda hata mmoja anayekufa kwa njaa Kama Kenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi na washauri wake, watu waliomzunguka yawezekena wanakitaka hicho kiti sijui kama watamshauri vizuri ili afanikishe miradi yake.Ni Rais wa JMT
Ubaya ni watu washamkariri nchi mmemshinda.. hata akifanya mema/mazuri..watu hawatayaona hayo mazuri.. wataona pale palipovurugika tu..
What i pray for ni aanzishe miradi yake yote before 2025..kama zile arenas mbili na miradi mingine na hii ya sasa kama SGR, JNHPP etc aikamilishe yote
Umeipata vizuri zaidi, hana tofauti na Nkamia. Huyu jamaa huwa simkubali kabisaBaada ya kukosa uteuzi licha ya kujipendekeza![]()