Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe mnafuata politics za Kenya...the only politicians I know from Tz are Tundu Lissu and Samia Suluhu na yule jamaa wa "ooliskia wapi" the only party i know is CCM... kindly send a YouTube link to one of your tv stations so that I can watch prime time news hata for once. Find out what you guys are up to...
aki kweli IamLee 😅😅 sio wewe pekeyako. hivi, kumbe tuko wengi yani. pia mm sijui kitu kuhusu siasa za kibongolala
 
Ila jamaa wa lot 5 wanatakiwa kushikiwa viboko juzi Majaliwa analalamika CCECC wameondoa wafanyakazi JPM bridge na kupeleka SGR! Kwangu mimi lawama zangu ni kwa Prof. Mbarawa maana kampuni iki-violate mkataba inapaswa iwe penalized!

Ccm ni maviii
 
Mradi wowote ambao unakua financed by gov delays ni kawaida, Magu mbona hadi anatwaliwa hakumaliza Sgr dar moro? Wewe unaposikia serikali imetenga 800b kwaajili ya bwawa hapo ukute mkandarasi anahitaji hata 2trill amalize kazi sema kapu hilohilo ndio linatakiwa lilipe salary..lijenge barabara kulipa wazabuni wengine nk...tuliopo huku serikalini tunaelewa vizuri haya mambo
Kovidi ya kwanza ilichangia, ilikuwa inatisha sana. Pia jpm alikuwa na jitihada kufanya miradi imalizike alitumia nguvu zote na kuifuatilia kwa bidii tofauti na huyu mpumbavu tuliyenaye sasa na serikali yake uchwara ya kujaza vyoo tu
 
Yaah mara nyingi unajikuta unaenda nchi za watu ukiwa na mission maalumu!!!Na kuna maeneo unapata curiosity kutoa simu yako au camera kupiga picha!!!Hujui nini kitafuata unaweza ukajikuta unaacha shughuli yako iliyokupeleka ukaanza kuangaishana na watu wa usalama ama vibaka. Especially nchi kama Kenya .
Ndio ukweli wenyewe huo. Sehemu nyingine unakuta haziruhusiwi kupiga picha, au unafanyiwa uzandiki na hivi wajue wewe ni mgeni utazibguliw kweli kweli.
 
Sasa nchi kama Nigeria bei ya mafuta inapanda kwa kisingizio kipi? Si Dangote ka-launch the largest oil refinery in the whole world!?






MY TAKE
Vitu kama hivi vinafanya ni-doubt Nigeria's GDP figure!
Hawa na Wakenya huwa hawana tofauti yoyote kujisifiwa tu kwa GDP wakati uhalisia wa maisha yao upo hovyo kwa ground.
 
Sasa kama wanaweza mbona unashadadia taratibu za manunuzi kutofuatwa? Wapi kunakuwa na ulinzi zaidi? palipo na ufuatwaji wa taratibu, kanuni na sheria au palipo na uvunjwaji wa taratibu, kanuni na sheria?
Hakuna taratibu zozote za manunuzi zilizokiukwa. Tanzania procurement laws zinaruhusu procurement za aina tatu. 1. Single source procurement where you choose only one supplier 2. Closed procurement where you select only a few suppliers walete bids zao 3. Open procurement hii ndio kila mtu anaweza akaleta bid sasa inategemea na mahitaji husika na strong justification za kuchagua any of those procurement systems above.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Usimamizi ndio kila kitu duniani, Wajapan wanasimamia waajiri wao hadi muda wanaotumia kwenda chooni kujisaidia, kazi ni usimamizi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Usimamizi pekee hautoshi bali reputation ya hiyo kampuni husika na regulator wake ni muhimu pia. Hata ukiwekwa wewe usimamie na jamaa wanavyojua kupenyeza rupia utashindwa tuu kusimamia vizuri.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ukija bongo we si ndo utapagawa kabisa wewe, Bongo kuna mabinti wewe si uswahilini si ushuani!! halafu ni varieties tofauti tofauti kali kinyama!, Ukija mbongo ntakuchukua tukakae kdg pale makumbusho stage wkt wa peak hours! Then nakupeleka Arusha mjini au sijui nikupeleke Tabora kwa wanyamwezi, au Znz, Tanga au kwa Kilimanjaro kwa wachaga?!Mchaga akikubali udongo ni tukio dunia nzima..
Usisahau kumwambia umakondeni, Wamanyema Kigoma na Wahaya mkoani Kagera, atapagawa huyu jamaa.Tanzania tuna kila kitu. The blessed Land.
 
Your president borrows helicopters from Kenya during the campaigns. So keep quiet.
If our president owns a helicopter we will definitely take him or her to task ndio atueleze kwa mshahara wake amewezaje kununua helicopter sisi Watanzania sio watu wa kuchezewachezewa kirahisi na wanasiasa kama nyie.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom