The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Hakuna kulemba na wezi wa CAG👇
I'd you really want to know an economy that is rising, don't look at the big cities that have to be developed but concentrate on the interiors which were neglected and see there progress for example in Kenya we have LODWAR located in the poorest county in Kenya and was inaccessible till recently see the before and after transformation.... Incase you guys were wondering where our internal money goes we take loans for our national projects here is a sample..
BEFORE DEVELOPMENT
View attachment 2215810View attachment 2215811View attachment 2215812
As you can see there was no roads or any amenities but since devolution there is a notable improvement though not the best but it's mind blowing
AFTER DEVELOPMENT
View attachment 2215814View attachment 2215815View attachment 2215816View attachment 2215817
(Pictures squared from the below tweet)
Here is Kenha being proud of it knowing
"Road infrastructure development is the backbone of economic development. Weldone continental free trade area enhancement"
The poorest neglected county is now attracting investors
![]()
Lodwar rising into an investment destination for real estate, hotels
The discovery of oil has been a boon for the people of Lodwar. The town, long associated with hunger and famine, is The discovery of oil has been a boon for the people of Lodwar. The town, long associated with hunger and famine, is turning into an investment destination for real estate and...www.google.com
Some of notable investments made in the former dead county
1.Desert Rose kenyaView attachment 2215828View attachment 2215829View attachment 2215830
2.Eliye Springs ResortView attachment 2215878
View attachment 2215890View attachment 2215892View attachment 2215893
3.2.Ceamo Prestige HotelView attachment 2215895
So when I was saying improving the quality of all the 47 counties is also an expensive venture actually one of the most expensive project just that can't really be equated as one lumpsome some time back this what I ment... If the money was pumped into one mega project am sure we could also be building wonderful projects with internal money, but I wount prefer all the money to be pushed into one shiny project while the counties remain under developed so I support the finding of all the counties that a century later all major towns in the counties will be towns to rekon with
Wewe mafiii baba yako kauza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombeKwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate
Unaweza kua na uchungu halafu huna maarifa😊😊😊😊Mjambiani mpumbavu ni mafiii huyu rais bora jeshi limuondoe hana uchungu na hii nchi
Huku ndiko mnakokimbilia kujificha baada ya kupigwa za chembe, mbona sisi hatusemi kwamba shida yenu ni kutojua Kiswahili wakati lugha inayotumia hapa ni Kiswahili ambacho kinawapiga chenga?,Shida yako kawaida huwa Kiingereza.![]()
World class city? Uache ujingA tafadhaliNairobi is a world class city ndugu! comparing it with those villages you call Mtaa is actually an insult that should be handled with care
Wewe mafiii baba yako kauza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombe
UONGOZI UNAPIMWA KWENYE AKILI YA MATUMIZI ZAIDI KULIKO MAKUSANYO ...... Kuna makundi manne
1) Serikali kukusanya mapato vizuri na kuyatumia vibaya
2) Serikali kukusanya mapato vibaya na kuyatumia vizuri
3)Serikali kukusanya mapato vibaya na kuyatumia vibaya
4) Serikali kukusanya mapato vizuri na kuyatumia vizuri
SASA UMEYAONA HAYO MAKUNDI MANNE SASA NIKIKUULIZA KATI YA HAYO MAKUNDI NI KUNDI GANI BAYA KULIKO YOTE NA LIPI LINALOFATA NAJUA WEWE ZUZU UWEZI KUJUA sasa acha nikuonyeshe ni lipi ni bovu zaidi .....kundi NO 1 ndiyo baya zaidi na linafuatiwa na kundi NO 3 baada linafuata kundi NO 2 kisha ndiyo linakuja kundi bora kabisa kundi NO 4


kwanza siongei na vichaa,poleKati ya Marais 4 Kenya, watatu (3) wametoka kabila Moja, Kati ya hao watatu, wawili wametoka familia moja.Huku ndiko mnakokimbilia kujificha baada ya kupigwa za chembe, mbona sisi hatusemi kwamba shida yenu ni kutojua Kiswahili wakati lugha inayotumia hapa ni Kiswahili ambacho kinawapiga chenga?,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tz chama kilekile mambo yaleyaleKati ya Marais 4 Kenya, watatu (3) wametoka kabila Moja, Kati ya hao watatu, wawili wametoka familia moja.
Kati ya Marais sits(6) Tanzania, wote wametoka kabila tofauti, hakuna hata aliyetoka kwenye familia ya viongozi waliopita.
Punguzeni ukabila, Dunia inawashangaa na kuwacheka
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Leo nimekubaliana na wewe 100 kwa 100 ..Good point na good reasoning..Sema mfumo wetu wa kupatia watu uraia ni wa hatari ......tatizo serikali ya ccm ni mafiii hao raia tayari wanaweza kujiingiza kwenye siasa mara tu baada ya kupatiwa uraia tena wengine unaweza wakuta tayari walisha jiingiza kwenye siasa za nchi yetu kabla ya hata kuwa na uraia hasa kwa kupitia chama cha ccm , ndiyo maana tunashangaa Nchi imekosa uzalendo serikalini na kisiasa kumbe kuna raia wa michongo mafisadi wanao nufaika na ufisadi na kuufadhili kwa kuunda mifumo kabisa na kuwa system kamili ya kifisadi , nikama mradi wa bandari ya bagamoyo umeshupaliwa kama nini ..wakati inajulikana wazi kuwa bandari kumilikiwa na wageni ni kuharibu ulinzi wa taifa na mipaka yaka " jwtz" ni zaidi ya viwanja vya ndege vya kibinafsi vilivyokuwa ninatumika kutorosha madini yetu yenye thamani kubwa na kuyapeleka kenya , kwa ndege zao hao mafisadi wawekezaji.
Sasa kama tunashindwa kudhibiti rasilimali zetu kutoroshwa kipindi ichi ambapo nipaka na bandari zipo chini ya serikali itakuwaje kipindi watu wa nje watamiliki mpaka wa bandari kuingiza na kutoa vitu tz ?.....KWENYE SWALA LA URAIA INATAKIWA TUWE NA URAIA WA AINA 3 AU ZAIDI NA UWE NA LEVEL 3 ili kuweka mipaka tofauti baina ya uraia na majukumu ,mfano
1) hao raia waliopewa uraia hapo walitakiwa uraia wao usiusiane na uongozi wa kiserikali pamoja na mambo ya kisiasa mpaka kizazi cha 3 yaani wasiruhusiwe
a) Kupiga kura
b) kuwa wana siasa
c) kuwa wanachama wa vyama vya siasa
d) kuwa kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama kama polisi ,jwtz nk
2) Aina nyingine ya uraia ni uraia wa mtanzania kuchukua uraia pacha wa nchi ya pili hawa ilitakiwa wawe na uraia maalumu wa kutojiusisha na siasa isipokuwa wawe na uhuru wa kupiga kura na wasi ruhusiwe kuwa na vyeo vya juu vya kiserikali ili kulinda usalama wa taifa hii itasaidia kuleta pesa na maendeleo kwa watz walio chukua uraia wa nchi nyingine tofauti na sasa ambapo wanalazimika kupoteza uraia wao wa tz na kushindwa kuisaidia tz kimaendeleo vizuri au kufanya maendeleo kwa upana hapa nchini,
Hivyo inabidi tusipambanue swala la uraia katika fungu moja ni kosa kubwa.kama sasa hivi serikali ya tz inachelewesha kuwatambua watz walio chukua uraia wa nchi zingine na kusababisha usumbufu na hasara kwa taifa.
ata ipate likes 16.! kenya bado inaivua bongo panty..
ahero interchange under construction at the moment
View attachment 2215973
Ila hiki kipara sio mchezo Mkuu. Kisije muua mkulima wetu tukakosa sukamaweek. Kwahiyo umajifanya unajua sana mambo ya Tz while huku ndani mnajifanya hamfuatilii mambo ya TanzaniaWewe ni fala sana. What kind of a person are you? Mtanzania hata hajui what's going on in their country.
For your information, that complex is owned by Chinese and managed by a Kenyan by the name Maina Njuguna.


.Acha upuuzi nakupa za ndani it is owned by Somalian President under the guise of a Somalian business man period.
Iitwe Mwanza sangara au sato Park.Ningependa hili jina la kikoloni libadilishwe.
Achana nae huyo ni empty tinYupo wapi huyo managing director?
World class city gani ambayo mjini huoni hata catenary cables along a railway line wala organised public transportNairobi is a world class city ndugu! comparing it with those villages you call Mtaa is actually an insult that should be handled with care



🤣🤣🤣🤣🤣Aisee nataman next journey ningekua na kampani ya ndugu zangu wa humu JF tuwe tunapokezana,tatizo unajikutaga upo busy🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inaonekana Shebby anaijua sana Nairobi na nimwendaji wa mara kwa mara sema anastaha tu!!!😂😂.Labda battle ingekuwa ishaisha kitambo tu.🤣