Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Lamu kuna kisiwa LAPSSET ipo kisiwani na ndipo kuna Lamu town wapanda punda!
Huwezi fananisha bandari ya zanzibar na lamu

Zanzibar ni kisiwa, lamu haipo kisiwani

Screenshot_20220508-104327.png


Screenshot_20220508-104221.png


Screenshot_20220508-104153.png
 
Mlijenga lamu port ili kufanya 2 transhipments to zanzibar then breakeven? So far volumes of transhipments from lamu to zanzibar hata 5k tons hazifiki, leta ushahidi
Truth that Tanzanians hate to hear😂👇

 
Daaah!!! Corona ni ugonjwa mbaya sana.alikuwa anafikilia corora ni chadema😄
Sasa kama mmemsahau nini kumtaja taja humu kila siku? Kibaki pamoja na kuwafanyia mazuri kama msemavo hana mwezi tayari unyang'au wenu mmeshaunyesha lakini Magufuli ana mwaka bado mnamuimba daily, sasa jiulize impact yake kwenu ikoje?

YOU ADORE HIM.
 

Tembo mweupe! After pomp and fyre celebration only 11 ships in the whole year!
zanzibar has the best and many 5 and 4 star hotels in the whole of East and central Africa!

 
Rais Uhuru Kenyatta amezindua Nairobi Marathon inayofanyika sasa hivi.





Nairobi Expressway itafunguliwa ili wanariadha wakimbie kwenye expressway.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee nataman next journey ningekua na kampani ya ndugu zangu wa humu JF tuwe tunapokezana,tatizo unajikutaga upo busy🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaah mara nyingi unajikuta unaenda nchi za watu ukiwa na mission maalumu!!!Na kuna maeneo unapata curiosity kutoa simu yako au camera kupiga picha!!!Hujui nini kitafuata unaweza ukajikuta unaacha shughuli yako iliyokupeleka ukaanza kuangaishana na watu wa usalama ama vibaka. Especially nchi kama Kenya 😂.
 
Mastering a language is a measure of intelligence. Failing to master a language you've been taught is lack of intelligence.

Mtu asipofahamu lugha moja inamaanisha anafahamu lugha nyingine.
Tena, English is not a measure of intelligence.
Mchina hajui kingereza lakini anawapapasa anavyotaka.
Kushobokea kote kingereza kumbe ni asilimia 2 tu ndo mnajua. [emoji23][emoji23][emoji23]
Inachekesha.
 
Back
Top Bottom