Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0127.jpg
 
Nioneshe evidence kwamba kuna serikali ilijenga reli hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kununua ndege nyingi kwa mkupuo zaidi ya serikali ya awamu ya tano hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga meli ukiacha ya mwalimu Nyerere.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kuitoa TZ kwenye aibu ya kuitwa LDC.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kuvunja rekodi ya mapato katika madini hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga bwawa la umeme ukiacha serikali ya Mwl. Nyerere.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga masoko mengi kuliko serikali ya awamu ya tano.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kukamilisha miradi mingi ya umeme na maji zaidi ya serikali ya awamu ya tano.

N.B: Ukimaliza kunionesha hizo evidence zen nioneshe developed country yeyote ambayo imeendelea bila kuvipa kipaumbele hivyo vitu au nioneshe article yoyote ya uchumi inayoenda inayoonesha kwamba Magu yuko wrong economically, usiponionesha basi wewe ni mpuuzi a.k.a mchumia tumbo.
Seems wewe ni mjinga suala sio kujenga suala ni tija ya unavyojenga na unajengaje?

Vingine hujui huo uchumi unojikosha nao
 
Mbona malkia hajawahi kuuwawa, kati ya Gaddafi na malkia wa Uingereza nani ametawala kwa muda mrefu? Hapo vipi unaona kuna demokrasia we mama?
Suala sio kutawala miaka mingi bali ni unatawalaje,usipoelewa hivi utapata tabu Sana na huyo mtu wenu
 
Kwahiyo serikali ifanye nini? Iache kujenga vichocheo vya uchumi iwe inakopa pesa kulipa mishahara km ilivyokuwa inafanya awamu iliyopita si ndiyo? Unajuwa wewe unachefua sn, una argue mambo bila kushirikisha ubongo yn umeweka mbele ubinafsi mpk Wakenya humu wanakushangaa reasoning zako zilivyo za kitoto.
Kama kukopa kulileta nafuu ya maisha kwa watu kuna shida gani?

Kukopa na kujenga miradi ya kipuuzi isiyo na tija wala kuchochea uchumi kuna maana gani?

Kuna serikali iliyokopa kama hii baada ya Nyerere? Na mnakopa kujenga ushuzi huko Chato mara stendi mara ndege mara madaraja ya kuvuka maziwa

Kwa hiyo hiyo ndio scale of preference yenu ,reasoning yenu iko based kwenye emotions na feelings kuliko kufanya economic thinking

We don't eat madaraja and such upuuzi tunataka ajikite kwenye welfare economics..

Afu na wewe mchumi feki kasome Behavioral economics ikusaidie kudhibiti mihemko wakati wa kujenga hoja za kiuchumi
 
Kama kukopa kulileta nafuu ya maisha kwa watu kuna shida gani?

Kukopa na kujenga miradi ya kipuuzi isiyo na tija wala kuchochea uchumi kuna maana gani?

Kuna serikali iliyokopa kama hii baada ya Nyerere? Na mnakopa kujenga ushuzi huko Chato mara stendi mara ndege mara madaraja ya kuvuka maziwa

Kwa hiyo hiyo ndio scale of preference yenu ,reasoning yenu iko based kwenye emotions na feelings kuliko kufanya economic thinking

We don't eat madaraja and such upuuzi tunataka ajikite kwenye welfare economics..

Afu na wewe mchumi feki kasome Behavioral economics ikusaidie kudhibiti mihemko wakati wa kujenga hoja za kiuchumi
Unapenda rap sana kijana huwezi kujenga hoja zako polepole unatumia nguvu sana
 
We nae uwe unaficha hizi aibu ndogo ndogo, hyo video ni baada ya kupona, je mtu anayeumwa corona anaweza kupewa kibali cha kusalimiana na Rais kwa kupeana mkono?
Ulitaka avae mask ya nini na mlishaaminishwa hamna corona?
 
Kuna siku niliandika hilo hapa. Bro Magu kawawekea masharti magumu ambayo lazima tu watasanda. Gesi tayari tunaanza kudrill visima vyetu viwili vilivyosalia. Hivyo walivyopewa bure either wakubali tuanze upya negotiation au hawaji kuchimba.
Wamewekewa conditions gan hao wachina mkuu japo kwa ufupi tu
 
Huyu mzee anatumia formula isiyo na jina some time mjamaa some time capitalist
Mitambo heavy duty ya publications

Vitabu vya shule sasa kuchapishwa na kiwanda cha serikali yenyewe bila kupitia utaratibu wa procurement and supply, Magu kaivalia njuga elimu ya Tanzania

Wale suppliers wa wizara ya elimu wataanza sasa kumchukia Magu na serikali yake, ndio watu kama choice variable hao

 
Ndio maana mnachukiwa,kuwa navyo huku vinaleta hasara ni vya faida gani? Awamu zilizopita hazikuhangaika na mamiradi ya kijinga ya kuleta hasara uliona kuna mtu alishindwa kusafiri?

Si ajabu bungeni kwenye kikao chenu za wanaccm mumeanza kugeukana refer ya Musukuma.

Wewe kwa akili yako fupi mastendi ya mabilioni za walipakodi yanawapa unafuu gani kwenye maisha? Hamna akili nyie mataga
Stress zinakusumbua wewe.
 
Back
Top Bottom