Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeiangalia hii video makala nzuri sana
Hawa Wachina ni watu wanajitambua sana. ..
Iyo town waliojenga apo Angola ni kali sana hapa tz wakifanya ivyo dunia nzima itajua
Hiyo hata sio town, hio ni city maana ilicost zaidi ya $3 billion kuijenga halafu ni kubwa ajabu. Bei yake ni sawia na ya SGR ya Kenya. Itabeba watu 500,000 ikijaa na tayari iko 85% occupied.

Kwa sababu ya wivu wa media za wazungu akina CNN na BBC, wakati mradi ulipokamilika halafu watu wakachelewa kuihamia, media hizi zikaanza kusema kwamba hii ni ghost city. Sasa Waafrika wameanza kujaza hio city, imebidi media hizo zifunge midomo yao michafu.
Soma hapa propaganda zao, walipokuwa wanadhani hii city haitawahi kujaa.

Huu ndio biggest complete real estate project in Africa. Egypt nao wanajenga city mpya ila haijakamilika. Afrika inaendelea na ni vizuri kutazama maendeleo yanayofanyika katika kanda zingine za Afrika, sio kukwama kwenye battle ya KE vs TZ. Dunia ni kubwa
 
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
Ako wapi?? 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
 
Na bado tutawaibisha

N it's obviously mnamchukia so enough with the hypocrisy Twitter says it all on dem comments but wanasema more haters more progress let that sink in
Leo ndio nmejua kwamba ww ni mbongo mwenzangu Mana hii Id yako nilikuwa naifananisha na ya huyu Mkunya Timo25.
Hatumchuki ndio maana ako uku kenya anatibiwa..your country is trending because you have become a laughing stock to the world after your president declared that TZ is covid-19 free...this is what we call ignorance..mumetuaibisha kama wafrica
 
Hiyo hata sio town, hio ni city maana ilicost zaidi ya $3 billion kuijenga halafu ni kubwa ajabu. Bei yake ni sawia na ya SGR ya Kenya. Itabeba watu 500,000 ikijaa na tayari iko 85% occupied.

Kwa sababu ya wivu wa media za wazungu akina CNN na BBC, wakati mradi ulipokamilika halafu watu wakachelewa kuihamia, media hizi zikaanza kusema kwamba hii ni ghost city. Sasa Waafrika wameanza kujaza hio city, imebidi media hizo zifunge midomo yao michafu.
Soma hapa propaganda zao, walipokuwa wanadhani hii city haitawahi kujaa.

Huu ndio biggest complete real estate project in Africa. Egypt nao wanajenga city mpya ila haijakamilika. Afrika inaendelea na ni vizuri kutazama maendeleo yanayofanyika katika kanda zingine za Afrika, sio kukwama kwenye battle ya KE vs TZ. Dunia ni kubwa
Bonge moja la Mradi kaka siumesikia wanasema ndio Beijing walivyopajenga...
Uliona izo kota za wanajeshi wa jeshi la wananchi Tz kabla hawajazijenga vizuri wanasema uko China waliishi hivyo miaka ya 1950-1960 kwa kweli inasikitisha sana...maanake watz wengi bado wanaishi kwenye standard ya wachina walioishi miaka 60 iliopita....

BTW Leo nimefurah sana kuiona iyo documentary...upande wa jeshi tz izo nyumba zimejengwa nchi nzima hawa wachina nawaheshimu sanaa
 
😅😅😅😅😅 sijui kwann wanamchukia magufuli wanahangaika na magufuli wakat uharo unawatoka

Leo ndio nmejua kwamba ww ni mbongo mwenzangu Mana hii Id yako nilikuwa naifananisha na ya huyu Mkunya Timo25.
Day one my brother.... day one.. I sometimes wish i could one day become a president of Tz n just make sure we are the best in the world sema sasa🤣🤣🤣 tungi, shafada ndo kama dozi... but damn only Lord knows how much I love my country na ninajua one day we gone be the best tukiendelea kupata vichwa kama JPM...
 
Godbless Lema aliyetorokea Kenya kabla ya kutorokea Canada ndio huyu hapa

Bonge moja la Mradi kaka siumesikia wanasema ndio Beijing walivyopajenga...
Uliona izo kota za wanajeshi wa jeshi la wananchi Tz kabla hawajazijenga vizuri wanasema uko China waliishi hivyo miaka ya 1950-1960 kwa kweli inasikitisha sana...maanake watz wengi bado wanaishi kwenye standard ya wachina walioishi miaka 60 iliopita....

BTW Leo nimefurah sana kuiona iyo documentary...upande wa jeshi tz izo nyumba zimejengwa nchi nzima hawa wachina nawaheshimu sanaa
Wachina ni hatari. Wazungu wanachukia jinsi Wachina wanabadilisha uchumi wa Afrika. Bila Wachina sijui Afrika tungekua wapi.
 
Back
Top Bottom