ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Walizusha wameumbuka mpango huyo hapo dodoma 🤣🤣👇👇👇
Sasa umekiri kwamba hayupo kenya asante sana 😀😀😀😀😀Mzee wenu ni mgonjwa. Ni kweli hayuko Kenya lakini anaugua. Kama hangekuwa mgonjwa angekuwa amejitokeza sasa hivi. Namuombea apone haraka ili arudi kuchapa kazi.