Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu km unadhani hii battle ni ya mzaha basi endelea kudhani hivyo ila ukweli ni kwamba Wakenya cvyo km unavyofikiria wewe, ni wako serious wana chuki na Tz, ni washenzi na wasiokuwa na utu kabisa, hukumbuki MP wao fulani cmjui jina alivyosema wafanyabishara wa Tanzania warudishwe kwao? Huoni chuki za wazi wazi wanazotupakazia? Hatuna urafiki wala undugu na wanafki hawa tangu enzi za Nyerere wameendelea kuwa wanafki dhidi ya TZ mpk leo.

Hakuna jirani anayeelewana naye, kama wewe unaweza kuungana nao ni sawa ila co Watz amini ninachokuambia.

So you mean we can't join with kenyan to challenging the western A
 
EwHDrlzXEAADnon
 
Kwenye twitter alikuwa na followers wengi kushinda rais yeyote Afrika nzima kabla ya yeye kutoroka. Hio ni fact yenye haipingiki. Wakenya wapo wengi sana kwenye twitter. Sijui ni kwa nini Wakenya wanapenda twitter. Watanzania mpo wengi instagram kwa sababu ya kutazama mapicha na mavideo. Twitter huwa inawashinda maana ni kiingereza kinachotumika sana kule. Na kiingereza huwa imewalemea sana.

kumbe mnaongea na jinga eti nikingereza tu kinacho tumika sema wabongo hatuko interested sana na mambo ya siasa twitter imejaa wanasiasa
 
Khee!!
View nyingi haimaanishi km ngoma yako au album eti imeuza sana kuliko ya mwenzio..

Tatizo domo anatumia nguvu nyingi kuliko maelezo ndio manake wale wamarekani wakaenda kumla hela za collabo alafu hawa post ngoma zao..
Kenya tumekubali mziki wetu upo chini lkn tz mnalazimisha kujiweka sehemu ambayo sio size yenu na hilo ndio tatizo huku mkisahau bila sisi kuwa support kimziki basi hamuendi popote

Kwamba mwenye njaa anampa chakula alie na chakula kama hutojari tafuta interview ya sauti soul walio fanya Wasafi tv nafikiri ilikuwani mwaka juzi au jana
2, mpaka leo bado mnapambana kupata uhuru kutoka kwenye ukoloni wa mbongo maandamano ya wasanii wenu hayaishi utasikia PLAY KENYAN
 
Twitter ni sehemu ya kufanya vitu vya ufahamu, insta ni umbea tu..
Hata jiwe analifahamu hilo, akitaka kutuma ujumbe atapost twitter tu wala sio insta
komora sikuizi ndio uko kinyume na ukweli kabisa, twitter ndio kuna mijadala ya umbea ilhali insta na youtube ndio mapichapicha ya mitoko ya maartists. Tangulini ukakuta mijadala insta au youtube, sasa huyo msanii twitter anapost mashairi au?
 
Kwa hali ilivyo sasa kweli naamini Africa tuna kazi kubwa mno kufikia pale developed countries walipo, yn unaona kabisa mtu anapigania maendeleo ya nchi lkn sisi waafrika tukiwemo baadhi yetu tunaolinda maslahi binafsi tunapinga kwa nguvu zote.

Kipi kibaya anachofanya Magufuli?
Anatumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya nchi mfano;

1. Anajenga hospitals.

2. Anajenga barabara quality.

3. Anajenga madaraja (sio vidaraja).

4. Anajenga mazingira ya kumnufaisha mwananchi fukara kwa kuruhusu hawkers kujifanyia biashara popote pasipo kubughudhiwa.

5. Anajenga reli ya kisasa (ilikuwa ni ndoto hasa kwa nchi yetu kuona raisi anaanzisha mradi wa reli)

6. Amewabana investors ktk biashara ya madini kuhakikisha kwamba nchi inapata mgawo wake sawa kwa sawa na investors.

7. Elimu bure kuanzia primary to secondary (japo ubora bado haukidhi viwango lkn amethubutu na ameweza).

8. Ame introduce mentality ya Afrika inaweza pasipo kutegemea misaada na inaonekana kufanya kazi.

9. Ameimarisha na anaimarisha sekta za nishati, madini, utalii, uvuvi, usafirishaji n.k.

10. Anapambana kuhakikisha pesa ya mwananchi haifujwi i.e no cartels, no looting, no embezzlementetc.

11. Amejenga na anajenga masoko, bus terminals etc all over the country.

12. Mapambano dhidi ya rushwa na manyanyaso kwa raia na mali zao (hakuna aliye mkubwa mbele ya sheria............etc, etc

Lakini bado anaonekana hafai licha ya kwamba wananchi wengi wanaelewa anachofanya ni nini, imebaki waafrika wachache wabinafsi na wanaotetea matumbo yao plus neighbors ambao kwa namna moja ama nyingine wamebanwa ktk maslahi ya nchi yao.

Nani asiyejua kwamba Kenya, some other neighbors and foreigners walikuwa wanapata fedha nyingi kupitia mali za Tz mfano utalii, madini, kilimo, uvuvi, usafirishaji, nishati na mali kadha wa kadha?

Leo shamba la bibi limepata mrithi na ndiyo maana unaona kelele mtindo mmoja tena ni kelele zinazofanana na zinazotoka kwa wale wale.

Ni kweli ana mapungufu yake kama binadamu na anaweza akawa kuna some amount of biasness anafanya ila yote hayo kwa kiwango kikubwa ni kwa ajili ya maslahi kwa taifa.

Mwengine anasema kabisa eti raisi wenu ameletwa kwetu kwa matibabu hivyo tunaweza kumfanya chochote, ss unajiuliza raisi co wenu umfanye kitu mby kakufanya nini? Unashindwa kupata jibu unabaki kumuangalia na kucheka tu

Watz tusirudi nyuma, km shida ni kweli tunazipata, hela imekuwa ngumu, wkt mwingine hata sisi vijana hasa graduates tuna wakati mgumu ktk suala zima la ajira, cz wengine walishazoea zile za "kamlete" but nowadays zipo kwa kiwango kdg sn ila mambo yatakuwa sawa na taifa linaenda in the right direction, hii ni transition period tu ktk kupata maendeleo ya kweli na sio yale ya kuletewa neti na kuambiwa uchumi umekuwa.

MA = Making

TA = Tanzania

GA = Great Again.
eti soon mambo yatakuwa utazeeka na kufukiwa ukisubiri hiyo soon just like waiting Jesus.

Kwamba kununua mandege yanayoleta hasara ndio kuleta maendeleo.

Kwamba kujenga reli ambazo zinajiendesha kwa hasara ndio soon yako?

Kwamba kuvuruga kilimo ndio soon unayoisubiria wewe?

Kwamba kukanyaga haki za wenye maoni tofauti na yake ndio kuleta maendeleo?

Ni lini kwa past phases uliona hayo unayoita maendeleo hayakufanyika? Sera mbovu za serikali zinafukarisha watu afu unaleta blaa blaa za kijinga hapa.

Sasa kama yuko vizuri kihivyo ungeiona Watzn wengi wange sympathize nae na kumtakia best wishes kama Marais waliopita
 
Kwaio point yako ulitaka tusiwe na ndege? Au electricfied train? The jealousy in you .. hiyo atakama sio yeye ange fanya in the future ange fanya mtu mwengine.. ilikua haikwepeki.... pumba za wakenya.. STFU. Dua za kuku hazi mfiki mwewe ata siku moja.. na situpo huku wait n see.. tuombe uhai
Ndio maana mnachukiwa,kuwa navyo huku vinaleta hasara ni vya faida gani? Awamu zilizopita hazikuhangaika na mamiradi ya kijinga ya kuleta hasara uliona kuna mtu alishindwa kusafiri?

Si ajabu bungeni kwenye kikao chenu za wanaccm mumeanza kugeukana refer ya Musukuma.

Wewe kwa akili yako fupi mastendi ya mabilioni za walipakodi yanawapa unafuu gani kwenye maisha? Hamna akili nyie mataga
 
Naona umeanza kukubali kimya kimya
Wakenya ndio tunaweza mpaisha yyte east africa wala sio magu tu, hata mseven twitter tukiamua ata trend mpka mambele na watamtangaza mpka kw vituo hikubwa vy ahabari duniania..

Achana na kenyan's on twitter kabisa wewe
So mmeshindwa kumtrendisha Uharo?
 
I'm just so disappointed with some of my fellow Tanzanians no lie... the hate trend on JPM on Twitter dammm.... kisa life gumu tu jeee ange tubania kabisa jee sindo ingekua vita...sijui wathani other countries its any better na ukiangalia na health crises ya saivi..it just shows how sometimes people can be selfish n self centered and not understanding JPM taking the risck wich the future Kids n grand kids of Tanzania will benefit n leave better compare to the one we hv right now....

patriotism nikitu muhimu sana ambacho naona education system ya Tz in tatakiwa include on Tz syllabus lasi hvyo kutoboa ita ngumu sana kama taifa... na mabeberu wanajua hii ndo our weakest link n they will always take advantage of it...

lakini Inshalah Mungu ata tusaidia tu na Tanzania will be one of the country's to be admired, strong and respected in the world na sio kwamba saivi is not recognized but it will even be better n even the best in God's name Amen...
Lazima ujiulize kwa nini awamu hii tuu?

Patriotism haijengwi kwa vitisho ila kwa fair ,ndio maana tunawaambia Gadafi alikuwa anagawa hadi mahari watu waoe lakini alikufa na hakuna anemsikitia hata kama watu wanapata shida kwa kuwa alikuwa anakandamiza wenzio na kujisifu,binadamu sio mbuzi kwamba utamfuga
 
eti soon mambo yatakuwa utazeeka na kufukiwa ukisubiri hiyo soon just like waiting Jesus.

Kwamba kununua mandege yanayoleta hasara ndio kuleta maendeleo.

Kwamba kujenga reli ambazo zinajiendesha kwa hasara ndio soon yako?

Kwamba kuvuruga kilimo ndio soon unayoisubiria wewe?

Kwamba kukanyaga haki za wenye maoni tofauti na yake ndio kuleta maendeleo?

Ni lini kwa past phases uliona hayo unayoita maendeleo hayakufanyika? Sera mbovu za serikali zinafukarisha watu afu unaleta blaa blaa za kijinga hapa.

Sasa kama yuko vizuri kihivyo ungeiona Watzn wengi wange sympathize nae na kumtakia best wishes kama Marais waliopita
Nioneshe evidence kwamba kuna serikali ilijenga reli hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kununua ndege nyingi kwa mkupuo zaidi ya serikali ya awamu ya tano hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga meli ukiacha ya mwalimu Nyerere.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kuitoa TZ kwenye aibu ya kuitwa LDC.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kuvunja rekodi ya mapato katika madini hapa Tz.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga bwawa la umeme ukiacha serikali ya Mwl. Nyerere.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kujenga masoko mengi kuliko serikali ya awamu ya tano.

Nioneshe evidence kwamba kuna serikali iliwahi kukamilisha miradi mingi ya umeme na maji zaidi ya serikali ya awamu ya tano.

N.B: Ukimaliza kunionesha hizo evidence zen nioneshe developed country yeyote ambayo imeendelea bila kuvipa kipaumbele hivyo vitu au nioneshe article yoyote ya uchumi inayoenda inayoonesha kwamba Magu yuko wrong economically, usiponionesha basi wewe ni mpuuzi a.k.a mchumia tumbo.
 
Lazima ujiulize kwa nini awamu hii tuu?

Patriotism haijengwi kwa vitisho ila kwa fair ,ndio maana tunawaambia Gadafi alikuwa anagawa hadi mahari watu waoe lakini alikufa na hakuna anemsikitia hata kama watu wanapata shida kwa kuwa alikuwa anakandamiza wenzio na kujisifu,binadamu sio mbuzi kwamba utamfuga
Mbona malkia hajawahi kuuwawa, kati ya Gaddafi na malkia wa Uingereza nani ametawala kwa muda mrefu? Hapo vipi unaona kuna demokrasia we mama?
 
Ndio maana mnachukiwa,kuwa navyo huku vinaleta hasara ni vya faida gani? Awamu zilizopita hazikuhangaika na mamiradi ya kijinga ya kuleta hasara uliona kuna mtu alishindwa kusafiri?

Si ajabu bungeni kwenye kikao chenu za wanaccm mumeanza kugeukana refer ya Musukuma.

Wewe kwa akili yako fupi mastendi ya mabilioni za walipakodi yanawapa unafuu gani kwenye maisha? Hamna akili nyie mataga
Kwahiyo serikali ifanye nini? Iache kujenga vichocheo vya uchumi iwe inakopa pesa kulipa mishahara km ilivyokuwa inafanya awamu iliyopita si ndiyo? Unajuwa wewe unachefua sn, una argue mambo bila kushirikisha ubongo yn umeweka mbele ubinafsi mpk Wakenya humu wanakushangaa reasoning zako zilivyo za kitoto.
 
Back
Top Bottom