Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole kama umeumia [emoji23][emoji23][emoji23] Ila kuhusu kiswahili hujui kitu baba ,na kama unajua nyoosha kidole nikulize maswali ujibu , Google rukhsa
Naona umeanza kuweweseka sasa, jomba wala usijitatize manake mm sina mda na upuuzi
 
Mzee wenu ni mgonjwa. Ni kweli hayuko Kenya lakini anaugua. Kama hangekuwa mgonjwa angekuwa amejitokeza sasa hivi. Namuombea apone haraka ili arudi kuchapa kazi.
 
Back
Top Bottom