Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Sioni cha kushangaza hapo. Ni wazungu haohao wanao-fund na ku-arm hao rebels and millitants. Faida wanayopata ni kubwa kuliko hata ingekuwa loss ya rais wao. Nchi kama Congo ni mashamba yao ya bibi.Some countries are so primitive.




