Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima mtatii huu mwaka

View attachment 1709225

IMG_20210222_192205_013.JPG
 
hiv mnaonaje tukimpotezea maana yy anaendeshwa na chuki
Huyo mbn tulishampotezea wote Watz mpk Wakenya, mana huwa reasoning za chuki, anakuambia barabara za kufungua miji hazijengwi km kipindi cha JK wakati huo huo barabara za kufungua miji mara kibao zinawekwa humu, ana chuki na Magu mpk anaichukia nchi iliyomlea mpk anapata makalio ya kumuwezesha kufikiri usishangae mkuu jamaa huwa anatumia makalio kufikiri
 
maana huwezi kujibizana nae ukapata suluhu anaubishi wa kulogwa
 
kuna njia nyingi sana za kupiga pesa,,naweza nikafungua kiwanda cha kofia nchini kwako na tukakubaliana kuwa silipi kodi wala chochote ndani ya miaka 50 kisha nitakukabidhi kiwanda kiwe chini yako...

ppp ni mkopo uliochangamka ,kwa sababu mwisho wa siku wa siku wananchi ndiyo wanaolipa huo mshiko...
Bado hujajibu swali
Partnership ni mkopowe unazunguka zunguka tu hapa
 
Ushagundua kuwa huyo jamaa amefurahi just because he is going to Nairobi?
Anafuraha sana mazee wakati wengine tunatinga kimya kimya na bila mtu hapa kujua..
Wao huona kila siku nipo mombasa tu, juzi wiki ya pili hii sijui mombasa inakaaje..
 
Anajua kila ward na MCA wao. Hawa watanzania wanajua women representatives wote from one county to the other. Watakuambia kitu imefanyika Garissa even before wewe mwenyewe ujue.
Nakwambia hata mikutano iliyofanyika leo kenya wanaijua, hawa majamaa wapuuzi kabisa
 
Hawezi jua kwanini JPM amewekeza kwenye umeme namna hii kama najua chemistry coating inahusu mambo ya electrolysis na hutumia umeme mwingi!
Bonge la deal kwa tanesco, huu mradi peripheral economic effects zake zimefavor sana Tanzania kuliko Uganda

Coating plant ya 1,444 kilometers pipeline sio kitu kidogo, umeme mwingi utahitajika hapo
 
Bonge la deal kwa tanesco, huu mradi peripheral economic effects zake zimefavor sana Tanzania kuliko Uganda

Coating plant ya 1,444 kilometers pipeline sio kitu kidogo, umeme mwingi utahitajika hapo
Hivi ni vitu wapuuzi wa Humu ndani wa kutoka Kenya hawawezi jua!
CC: Tony254

BTW kuna project ya pipeline nyingine kwenda Zambia on drawing board
FB396865-F66C-410F-57C2425974B38814.png

Ukiacha TAZAMA
slide4-n.jpg

EAC-Pipeline-Network-Authors-illustration-with-data-from-Abdallah-2017-Google.png
 
Back
Top Bottom