Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

NAIROBI HOSPITAL vs . MUHIMBILI, kwanini viongozi wengi wa Tanzania wanakimbiziwa Nairob hospital ilhali WAKENYA hawaendi kutibiwa MUHIMBILI?
 
Bonge moja la Mradi kaka siumesikia wanasema ndio Beijing walivyopajenga...
Uliona izo kota za wanajeshi wa jeshi la wananchi Tz kabla hawajazijenga vizuri wanasema uko China waliishi hivyo miaka ya 1950-1960 kwa kweli inasikitisha sana...maanake watz wengi bado wanaishi kwenye standard ya wachina walioishi miaka 60 iliopita....

BTW Leo nimefurah sana kuiona iyo documentary...upande wa jeshi tz izo nyumba zimejengwa nchi nzima hawa wachina nawaheshimu sanaa
Nikupe tu kwa haraka baadhi ya miradi ambazo zimejengwa na makampuni ya kichina kwa kutumia mikopo kutoka China Exim Bank.
1. Kenya Sgr phase 1 and 2 (600 km)
2. Lagos Ibadan Sgr project (156 km)
3. Abuja Kaduna Sgr project (186 km)
4. Abuja light rail project
5. Guinea Sgr project.
6. Ethiopia-Djibouti Sgr project (759 km)
7. Addis Ababa light rail project
8. Hata reli yenu kuelekea zambia kwa jina la Tazara wao ndio walijenga ila sio Sgr ni cape gauge (1860 km)
9. Angola Benguela railway project. (1,344 km)
Hizi ni miradi za railways pekee zilizojengwa na China hapa Afrika. Zote zimejengwa in the last 20 years isipokuwa Tazara. China imejenga zaidi ya 5,000 Km ya reli hapa Africa kwa pesa yake yaani kwa mkopo ila Tazara ilikuwa kama zawadi.
 
hiki ndo imenifanya niwaze hivyo .. boom kesho anaonekana

One thing i can say about Lissu he is digging he's own grave n he doesn't care any more... anajua anachokifanya kita mcost kama tarifa anazo toa sio kweli but still... na ninahisi watanzania wanaompa hizi tarifa ndo wana mseti kabisa kwenye trap... he just lacks wisdom at this point...
 
Nikupe tu kwa haraka baadhi ya miradi ambazo zimejengwa na makampuni ya kichina kwa kutumia mikopo kutoka China Exim Bank.
1. Kenya Sgr phase 1 and 2 (600 km)
2. Lagos Ibadan Sgr project (156 km)
3. Abuja Kaduna Sgr project (186 km)
4. Abuja light rail project
5. Guinea Sgr project.
6. Ethiopia-Djibouti Sgr project (759 km)
7. Addis Ababa light rail project
8. Hata reli yenu kuelekea zambia kwa jina la Tazara wao ndio walijenga ila sio Sgr ni cape gauge (1860 km)
9. Angola Benguela railway project. (1,344 km)
Hizi ni miradi za railways pekee zilizojengwa na China hapa Afrika. Zote zimejengwa in the last 20 years isipokuwa Tazara. China imejenga zaidi ya 5,000 Km ya reli hapa Africa kwa pesa yake yaani kwa mkopo ila Tazara ilikuwa kama zawadi.
unajua tazara ilkua zawadi sababu ya nini?
 
NAIROBI HOSPITAL vs . MUHIMBILI, kwanini viongozi wengi wa Tanzania wanakimbiziwa Nairob hospital ilhali WAKENYA hawaendi kutibiwa MUHIMBILI?
hilo swala mbona kwa sasa halipo tena???

unakumbuka kipindi cha nyuma ilikuwa hivi kwenye shule pia?mgonjwa akishindikana haoa tz basi ni india ama ulaya hiyo.

utawala huu umefanya makubwa sana kwenye upande wa hospital.
 
Back
Top Bottom