Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipi hiyo iliyofunika,mbona huitaji ? unabwabwaja tuu.2015 tayari Wajapan walikuwa site Tazara na Ubungo,Wakorea walikuwa kwenye mobilization ya salander bridge na pesa zilikuwepo alizo mobilize JK

Tumiradi tembo mweupe twa Magu ni stori na kujisifia bila ku deliver,huyu alishadhibiti freedom of press and opposition ili wasifukue madudu ila bado ni mtu wa kulia lia since day one..tuonesheni reli basi.

Miaka 10 ya JK aliifungua nchi kwa barabara za lami sasa miaka 5 ya Magu hadi leo hii kigoma na kanda ya magharibi ni kuogelea kwenye matope tuu,imagine eti ndani ya 5yrs wamejenga less than 4500km of paved afu ndio wana jimwambafy,hadi Mkapa alianza kumchana huyo mtu wanu.

Choice Variable kabisa
 
Tatizo la Mkwere ni kupenda sifa sana.
Kuna ile slogan yake kwamba nchi za africa haziwezi bila misaada. Nilikuwa siupendi huu basi tu.
Miradi aliyofanya Magufuli for 5yrs pamoja na kwamba haijakamilika mingine but ishafunika ile aliyofanya kikwete for 10yrs.
Hawezi furahia hilo plus tax makusanyo yamedouble.
Kwa wastaafu pekee walio hai Magu anaweza wasikiliza ni Mwinyi na Pinda.
Am interested na pale umeandika eti tax "ime double"! Yaani hiyo tax yenyu kidogo ni double from previous govts? Basi Tz iko na mwendo mrefu sana, for its size and population hiyo bado sana! Keep on moving up for EAC growth.
 
IMG_5580.jpg
 
I have been aware of it for a long time.
You didn't know this?., This is one of the reasons among others Kenya is the biggest non resource economy in the whole of Africa. Coming 6th biggest GDP, and third in Sub Saharan Africa. #UchumiWaKwenyeMakaratasi kwa wale wenye wivu
 
Huyu Kikwete ni Rais wa hovyo kupata tokea. Yeye humuongelea mbovu Magufuli kidiplomasia na ndio kiongozi or mwanachama wa Group la kina Mwandosya na Balozi Hamis Khagasheki.

Group hili, linaratibu matukio mengi sana ya kimtandao.

Neno " kuji Mwambafy" ndani ya Chuo Kikuu Dar es salaam na madongo mengi ya dhidi ya Magufuli kwenye msiba wa Mkapa aliongea in Mtwara.

Magufuli anachukiwa sana na wengi including fellow presidents kwakua, amefanya na anafanya walioyosema impossible kwa raia, hivyo kufanikisha kwake mambo mengi kuna waumbua uongozi wao.

Ndio kisa cha chuki ba wivu.

Sasa kwa mbulula usiyejua A-B, ukiona barakoa unatafsiri kivyako.
Hatujafika huku mzee kila mwananchi ana haki ya msingi ya kujilinda dhidi ya maradhi na pia ana haki ya Msingi ya kutojilinda na maradhi! Sioni tatizo kwa JK kuvaa barakoa na sidhani kama yeoyote yule anapaswa kushambuliwa! Tuwe na staha!
 
Ni kweli mkuu uko sahihi kabisa wabongo nchi Yao imetulia Sana hawana hata mpango wowote ule na ujenzi Kenya inajenga Sana mpaka Raha 🙂 Daresalaam ni oyster bay na masaki tu🙂
Hoja kwisha huyu, anatia huruma sasa
 
Hili gari huwezi kuliendeshea kwenye barabara za Africa maana hatuna expressways halafu barabara zetu zimeundwa kwa kutumia bumps kibao ili kupunguza speed. Barabara zetu zimeundwa kupunguza speed na pia zinataka magari yenye ground clearance kubwa ili kuweza kuvuka bumps. Hili gari hata haliwezi kuvuka bumps
Zipo nyingi bongo ambazo huwezi kuziendesha kwa barabara za Africa
tapatalk_1602353888851.jpg
tapatalk_1602353770819.jpg
tapatalk_1604908196480.jpg
tapatalk_1604908206200.jpg
 

Attachments

  • tapatalk_1602353888851.jpg
    tapatalk_1602353888851.jpg
    79 KB · Views: 7
Back
Top Bottom