Aah unakujua mathare...aisee mi sijui hospitali ya wazimu huko tz yaitwaaje...hii yamaanisha nchi zilizo stawi zinajulikana zaidi....We sio bure kachekiwe akili kidogo pale mathare hospital 🙂
Aah unakujua mathare...aisee mi sijui hospitali ya wazimu huko tz yaitwaaje...hii yamaanisha nchi zilizo stawi zinajulikana zaidi....We sio bure kachekiwe akili kidogo pale mathare hospital 🙂
ndo maana hawajapewa lot3! wana vifaa vichache ambavyo viko kipande cha Dar-Morogoro upande wa Morogoro na Morogoro-Dodoma-Makutuporambeya city spurs amelijibu hili vzr kwmb huenda gharama alizotarajia mturuki ni tofauti na alizokutana nazo, au anahofia gharama zitakuwa kubwa.
Wajinga sn hawa watuUtetezi wako nauelewa. Kwa kweli hamna option nyingine na kimsingi you are way too up to back down kwenye ufisadi. Ila mkuu umenichekesha hapo kwenye hiyo statement ya mwisho.. Mambo ya Kenya kuwa first world we "ulisikia wapi!"
![]()





Kuna moja inaitwa buza kwa mama bonge general mental hospital 🙂huaga iko open kwa public 24hrs🙂alafu nyingine inaitwa viwanja vya fisi district hospital hapo huduma zao ziko poa tu,unaweza agiza dawa pia online 🙂Aah unakujua mathare...aisee mi sijui hospitali ya wazimu huko tz yaitwaaje...hii yamaanisha nchi zilizo stawi zinajulikana zaidi....
Duh, aiseee! Noma sana. Kweli mwanzo mgumu. Acha tujifunze.Hapa tuvumilie tu kwakweli, mana speed yake ni ndogo mno, hapa ni pale ukonga nilichukua picha jana, sidhani kama april tutapanda hizo trainView attachment 1709669View attachment 1709670View attachment 1709671View attachment 1709672
SarcasmUmeongea point kabisahata Sisi Tanzania ningemshaauri Rais wetu JPM nae achukue advise kutoka Uhuru muigai Kenyatta hiyo system ya kukopa iko poa manze chali yetu
![]()






Una fikra za kitumwa sanaYaani tunacho maanisha ni kama jamaa fukara anayeishi uswahilini sijui wapi...apate pesa kidogo tu halafu aende akanunue TV 80" inches akaiweke Kwa kijunba cha mabati...hivyo ndio mnaonekana yaanani ni ukalulu tu stendi hizo
Lijamaa linajifanya tahira tunaenda naye kwa mwendo huo huo🙂Sarcasm![]()
Miundombinu siku zote ndio chanzo cha ustawi wa uchumi. Hizo bus stand kitu cha kwanza zitapunguza msongamano wa magari mjini maana utakuta kwamba zamani mabasi yalikuwa na mazoea ya kupark kando kando mwa barabara hivi kupunguza nafasi ya magari mengine kupita. Halafu pia mabasi kupark ndani ya mji kunaleta msongamano ndani ya mji au hata ajali mjini maana yanaendeshwa kijeuri. Hii bus stand nadhani ipo nje kidogo mwa CBD kwa hivyo itahamisha msongamano hadi huko nje ya CBD. CBD haistahili kuwa na stage ya mabasi au daladala. Hata Kenya tuna mpango huo wa kuhamisha stage ya daladala kutoka CBD hadi nje nje mwa mji.
Hapa tuvumilie tu kwakweli, mana speed yake ni ndogo mno, hapa ni pale ukonga nilichukua picha jana, sidhani kama april tutapanda hizo trainView attachment 1709669View attachment 1709670View attachment 1709671View attachment 1709672









julio hamna kitu kabisa wasimuhusishe kwenye team hata moja hana uwezo kabisaThe leadership at TFF has screwed us over for too long. Hatuna local kocha wakufundisha timu yeyete Tanzania.
Hiyo timu iko chini ya Mjinga mmoja wakuitwa Jamuhuri Kiwehlo "Julio" - the fool had never even once won a Chicken Cup!
Only Taifa Stars will soon be doing so great after the arrival of the danish coach with vast experience, Kim Poulsen. Under him, you will begin to see Taifa Stars playing an eye catching brand of attacking football.




Hili ni jengo la NSSF la zamani sana pale Banda la ngozi Nyerere Road, Zamani zilikua Ofisi za Quality Group.Hii ni mall?