Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

. Na hii ndio ilikua nyumba ya kwanza Dee kujenga 2014-2015 panaitwa madale state house kwasasa anaishi mama dangote ,nyumba ni full package ina bar,gym na swimming pool .take a look achana na hiyo sura ya mama Dee ,we chakufanya washa kideo ..ama nenee komora096
 
. Angalia lifestyle yake wakati walipokua quarantine .sio duka la viatu ni kabati lake tu nguo , komora096 n guess what diamond sio saiz yenu kabisa kaeni mbali sana
 
. Kwa matangazo tu pekeake akiwa kama balizi wa kampuni mbali mbli Dee analipwa 222m tz sh = 10,496,895.12 k sh kwa mwezi . Hapo hajataja hela ya kuuza mziki wake,hajataja hela ya shows,wala hajataha hela za investment zake (zoom extra,wasafi.com, wasafi tv, wasafi fm, cheka tu) alaf eti anafake 😂😂😂 komora096 Mimi ni WCB baby ukinikata damu yangu diamond mtupu .naijua WCB kinaganaga
 
Kwamba munaomba loan ya kudunga wakenya sindano Mungu awape walau akili yakujikuna mumeisha wakenya
Unakuaga punguani and totally ignorant of stupid CCM moves, Hapa CCM ilifanya nini? Loan ya Covid!., hii hapa is just one of them, jiangalie kwanza

Tanzania: African Development Fund approves a Loan of $50.7m for Covid-19 crisis response budget support

19-Oct-2020

[https://www]

The Board of Directors of the African Development Fund (ADF) has approved a loan of UA 36 million ($50.7 million) to Tanzania, to finance the nation’s response to the COVID-19 pandemic.

The loan, from the African Development Bank Group’s COVID-19 Response Facility (CRF), will support the Government of Tanzania’s $109 million national COVID-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners...

The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems and has dampened the country’s projected growth of over 6.2% – the average over the last five years, and which had made it the one of the best performers in Eastern Africa. Growth is now projected to decline from the pre-COVID projections of 6.4% to between 3.6% and 2.6%.

Commenting on the operation, Nnenna Nwabufo, the Acting Director-General of the Bank’s East Africa regional office, said it was part of a larger, more comprehensive support package for the Bank’s regional member countries, including Tanzania.

“The evolution of COVID-19 and changing containment measures remain dynamic and unpredictable; the medium and longer-term impacts of the crisis are yet to be fully understood. The African Development Bank Group is stepping up its coordination with governments, as well as with other development partners to adapt and strengthen its monitoring and response to the pandemic,” Nwabufo said.
 
Nikisema Wakenya akili zenu fupi mnalia, we umeona hapo hiyo heading wameiwekea bracket '.....' je unaelewa maana ya bracket ktk uandishi?
Hii ( ) ndio alama ya brackets , hii '...' inaitwa single quotation marks . So you may know. Akili ndefu inafaa kufahamu vitu simple pia.
 
Brighter future kwa useless dremliner na sgr? Hizo projects za upigaji zitaendeshwa kwa fedha ya ruzuku ,ndo brighter future hiyo au unachekesha
Acha kuleta chuki kisa tu unamshangilia yule supporter wa mashog,..unaongea ujinga km umezaliwa jana hiyo SGR inakumiza sana unatamani km isinge kuwepo au izo ndege? Mjinga hana hiyana, chuki zako ni zakitot snaaa
 
eti soon mambo yatakuwa utazeeka na kufukiwa ukisubiri hiyo soon just like waiting Jesus.

Kwamba kununua mandege yanayoleta hasara ndio kuleta maendeleo.

Kwamba kujenga reli ambazo zinajiendesha kwa hasara ndio soon yako?

Kwamba kuvuruga kilimo ndio soon unayoisubiria wewe?

Kwamba kukanyaga haki za wenye maoni tofauti na yake ndio kuleta maendeleo?

Ni lini kwa past phases uliona hayo unayoita maendeleo hayakufanyika? Sera mbovu za serikali zinafukarisha watu afu unaleta blaa blaa za kijinga hapa.

Sasa kama yuko vizuri kihivyo ungeiona Watzn wengi wange sympathize nae na kumtakia best wishes kama Marais waliopita
Peleka iyo akila sober, kwa chuki zako umekuwa kilaza sana hongera umefanikiw kuingia nexr level y ujinga na mpe salam na yule wamashog
 
Ndio maana mnachukiwa,kuwa navyo huku vinaleta hasara ni vya faida gani? Awamu zilizopita hazikuhangaika na mamiradi ya kijinga ya kuleta hasara uliona kuna mtu alishindwa kusafiri?

Si ajabu bungeni kwenye kikao chenu za wanaccm mumeanza kugeukana refer ya Musukuma.

Wewe kwa akili yako fupi mastendi ya mabilioni za walipakodi yanawapa unafuu gani kwenye maisha? Hamna akili nyie mataga
I dont mean disrespect kwani ulisha wai hata kupata concept ya uchumi?
 
Alipokwenda kuonana na rais alikua kitandani😁😁😁 yani atoke zanzibar mpaka chato alaf unaimbie hakupona

Nimekuambia ulete taarifa inayosema alipona Corona. Kuna taarifa inayosema aliugua corona. Sasa nipe taarifa inayosema alipona
 
Kunyoroshwa kuko pale pale tu hata mfanyaje!!Tuko bize kujenga misingi imara ya nchi yetu, Inshallah!!! Endeleeni na habari zenu za kimbea mbea!!!Sisi tunasukuma game changing projects!! Tutakutana mbele ya safari!! Serikali hii hai-entertain non-sense...ni vyema kbs walivyoamua kunyamaza kutojibu chochote mnahangaika nyie kwa mambo ambayo hayawasaidii kwa lolote. Grow up!!!
Pole kwa maumivu 😂
 
Pesa zenu za kutoka GDP account ya tz huaga mnawekaga katika benki gani
Young lady What do you mean pesa Kutoka GDP?
Makusanyo ya Kodi yanaenda Treasury..na ndio yanatupa jeuri ya kufanya mamiradi makubwa ya Maendeleo na kuongoza ukanda huu wote na pia kusubsdize pembejeo za Kilimo ili huko Kenya pia mpate chakula kwa bei poa
 
Insta kw tz basi ujue ni umbea wala hakuna lingine..
Kisha amesahau km vitu vya kutoka twitter ndio hu trend sana hata kuliko insta na upuuzi mwngine wowote ule..

Bado watapinga, lkn yale mapapai yalimfanya ajulikane manake sio pumba zile..then wasisahau walenya ndio wali hype sana ndio mpka ile issue ikachanja mbuga
Instagram ndio mtandao wenye watumiaji wengi zaidi duniani. Hata mimi sipo huko but that's the truth.
 
Back
Top Bottom