Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia ulete taarifa inayosema alipona Corona. Kuna taarifa inayosema aliugua corona. Sasa nipe taarifa inayosema alipona
We nae uwe unaficha hizi aibu ndogo ndogo, hyo video ni baada ya kupona, je mtu anayeumwa corona anaweza kupewa kibali cha kusalimiana na Rais kwa kupeana mkono?
 
Huyu rais wa Ghana ndiye anaelewa umuhimu wa kuindustrialize by adding value to cocoa and producing chocolate. Anasema wazi kwamba Ghana inapanga kuwacha kuexport cocoa to Switzerland na itaanza kuproduce chocolate wenyewe. Yaani kama tungekuwa na marais wengi wa Afrika wanaoelewa umuhimu wa kufanya value addition to our raw materials kama huyu jamaa basi tungekuwa mbali. Lakini achunge asipigwe risasi na kuuwawa. Wazungu hawapendi viongozi wa Kiafrika wanaopigania maslahi ya wananchi wao. Akina Patrice Lumumba waliangamizwa na beberu kwa kuwakaripia

 
Huyu rais wa Ghana ndiye anaelewa umuhimu wa kuindustrialize by adding value to cocoa and producing chocolate. Anasema wazi kwamba Ghana inapanga kuwacha kuexport cocoa to Switzerland na itaanza kuproduce chocolate wenyewe. Yaani kama tungekuwa na marais wengi wa Afrika wanaoelewa umuhimu wa kufanya value addition to our raw materials kama huyu jamaa basi tungekuwa mbali. Lakini achunge asipigwe risasi na kuuwawa. Wazungu hawapendi viongozi wa Kiafrika wanaopigania maslahi ya wananchi wao. Akina Patrice Lumumba waliangamizwa na beberu kwa kuwakaripia



hii si ndo sababu mnamchukia Magu, au unajitia upofu? kazuia malighafi kibao.. mfano nyama kwa viwanda vyenu vya nyama, kazuia parachichi, kazuia tanzanite, mchanga wa migodin etc
 
Ghana ni uchumi serious sana. Imekuwa na economic growth rate of 7% kila mwaka since 2017 kwa sababu ya huyu rais mchapa kazi. Ifahamike kuwa Ghana ina Gdp kubwa kushinda Tanzania ilhali wana watu 30 million (half the population of Tanzania.) Gni per capita ya Ghana ni double ya Tanzania. Hio ina maana kwamba Mghana mmoja anapata kipato kwa mwaka mara dufu ya Mbongo mmoja.
 
Unakuaga punguani and totally ignorant of stupid CCM moves, Hapa CCM ilifanya nini? Loan ya Covid!., hii hapa is just one of them, jiangalie kwanza

Tanzania: African Development Fund approves a Loan of $50.7m for Covid-19 crisis response budget support

19-Oct-2020

[https://www]

The Board of Directors of the African Development Fund (ADF) has approved a loan of UA 36 million ($50.7 million) to Tanzania, to finance the nation’s response to the COVID-19 pandemic.

The loan, from the African Development Bank Group’s COVID-19 Response Facility (CRF), will support the Government of Tanzania’s $109 million national COVID-19 response plan, which is jointly supported by the country’s other development partners...

The pandemic has put increased pressure on Tanzania’s health facilities, social protection systems and has dampened the country’s projected growth of over 6.2% – the average over the last five years, and which had made it the one of the best performers in Eastern Africa. Growth is now projected to decline from the pre-COVID projections of 6.4% to between 3.6% and 2.6%.

Commenting on the operation, Nnenna Nwabufo, the Acting Director-General of the Bank’s East Africa regional office, said it was part of a larger, more comprehensive support package for the Bank’s regional member countries, including Tanzania.

“The evolution of COVID-19 and changing containment measures remain dynamic and unpredictable; the medium and longer-term impacts of the crisis are yet to be fully understood. The African Development Bank Group is stepping up its coordination with governments, as well as with other development partners to adapt and strengthen its monitoring and response to the pandemic,” Nwabufo said.
Kuna nchi ambayo haijaathirika na corona kila nchi imeathirika na corona kiuchumi sasa leo nacheka kuskia kenya inaomba loan ya kudunga watu sindano alaf munasema nye nye nye munauchumi imara🤣🤣🤣🤣🤣 nyinyi tafuteni aliewaroga
 
Back
Top Bottom