toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
š Naona nguzo za kuweka overpass hapoMbezi Luis Bus Terminal is [emoji91]View attachment 1711111
š Naona nguzo za kuweka overpass hapoMbezi Luis Bus Terminal is [emoji91]View attachment 1711111
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3]battle inaendelea musee mbona unataka kutukatishia uhondo ....wengine stress zetu tunamalizia humu kwa huu uzi ebu ebu wacha bhana ....hii batlle haina mwishow......Mwisho wa battle
Yes, Battle inaendelea kama ifuatavyo:[emoji3][emoji3][emoji3]battle inaendelea musee mbona unataka kutukatishia uhondo ....wengine stress zetu tunamalizia humu kwa huu uzi ebu ebu wacha bhana ....hii batlle haina mwishow......
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata mm nilikuwa najiuliza huyu mmjamaa kapotelea wapi.....maana kwenye hii battle msipokuwepo batlle hainogi kabisa ....sisi wengine mashabiki wenu humu .....tunasoma coment ......stress zote za mchana kutwa zinaishia humu tunafurahia ....so tuna waombea uzima msikose kuwepo humu.......maana hata mi binafsi sifurahishwi na wakenya aisee wanajiona wa matawiiii.....yaani hamna kam wao aisee[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Karibu sana kiongozi, c unajuwa tena wakati tulionao huu kuuliziana muhimu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KHEEEEEEEE.....kwani haya MABUGATI yanapatikana hapa bongoland .....au hapa ni KIBERA SLUMS au......tonny 254....teagass....komora....mko apii aisee hapa ni wapi huko kwenyuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]mkuje hapaawakulungwa..... hii gari inaitwaje? View attachment 1708377View attachment 1708378View attachment 1708379View attachment 1708380
Kabisa mkuu asijiangaishe kumjibu.....Comment zengine don't bother mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]wivu itamuua huyo mkiberasasa concept cars zinafanya nini bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hii maana ake nini The best 007@
We muheshimu rais wako bhana hilo kosa dogo halikupi ruksa kumtukana kiongozi wako[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Ila huyu Rais saa nyingine anakuwa mpumbavu wa mwisho, ina maana hizo hospitali binafsi sio za watanzania au hazitibu watanzania? Huyu vipi?
Mwambie aende jukwaa la siasa kule atakutana na wapuuzi wenzake....asituchafulie huu uzi aiseedhibiti kauli zako katika maandishi,kwa uhuru wako na jf yetu pia.
acha wafatiliwe,kama hawana tatizo zaidi ya maslahi wataachwa bila kuguswa.
Mkuu uwe na ustaarabu aisee hata kama una chuki za kisiasa ebu jaribu kumpa heshima mwanadamu anaeongoza watu milioni 60 .....MUNGU mwenyewe anamuheshimu huyo mtu....hebu jitahidi na wewe basi aisee kaka....Sawa mkuu sababu ugali wa uraiani bado nautaka, nisamehe mkuu
Em na wewe tulia hapo mombasa hujui ya huku bongo yetu ......jamaa anamtukana rais wetu mpendwa aisee[emoji41][emoji41][emoji41]Udikteta uchwara, acha kumtishia mwenzako kisa kasema ukwel..
Mwani mkopo halipi au kasoma bure, watanzania bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakupongeza mkuu umejiheshimu na nnaamini utamheshim kiongozi wako kama vile watoto wako na mkeo wanavokuheshim baba yao hapo ndaniEtieeh? Basi poa
Umeishiwa poziii ...umekiwa mdogooo kama piriton[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Anyway, hayanihusu ngoja niwaachie muyamue wenyewe..
Jamaa wanakutishia nkm wapo ikulu ukicheki si ajabu wengine wapo Buza ni wakulima wa mihogo..
Kabisaa mkuu haka kacomora hakajielewuyo dk angekua na hela angesoma private na hio pesa ya serkal angepewa mwingine mwenye uhitaji
1)hata ukimwita dikteta uchwara hakukupunguzii shida zako wala za mumeo
2)yeye ndo kashikilia hatma ya maisha yako pamoja na ustawi wa ukoo wenu na vizazi vyenu
3) there's nothing u can do and kama kweli we kidume tumia id yako otherwise we ni muoga aka mbwa koko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unasound ni kama uko period na huna pesa ya always
Very good. Ila kuna kitu kinanikera kuhusu watendaji wetu wanaosimamia na kupokea miradi kama hii. Finishing ya miradi mingi huwa very poor. Hivi kwa mfano, inakuwaje stendi kali kama hii ina madimbwi ya maji? Hilo ni jengo ambalo chini kuna floors mbili, why lituamishe maji.
Hizo BRT lanes hapo katikati ya daraja la level three zinasubiri execution ya BRT phase V ambayo itaanza soon. Tayari ishapata financing kutoka Ufaransa kwa mujibu wa Waziri Kabudi.Hii ni three level interchange huwezi ipata kenya nzima na siku ukipata tag me [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1711230View attachment 1711231