Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kw kupinga hujambo[emoji1787][emoji1787]
Kuna video mlileta hapa siku hyo, eti sijui mtaa gani umepanda bei kisa siku hzi hakuna vyuma vya 25k tsh nikuanza 30k..
Yani nilishangaa sana
ya kila sehemu room inakaa kwa bei yake huwezi ukakaa nnje ya mji halafu mtu akakupangisha kwa 30.

ukiona hivyo uko chaka ni mbali saana na mji kiasi cha kwamba unapata daladala nne nne kufika town
 
Linganisha hiyo quality na hii hapa[emoji846][emoji116][emoji116]
Nyuma ya moi avenue city centre [emoji846]maana Mimi nipo kwa ground sema mda wa kutosha ndo sina Ila tutaona nani msema kweli[emoji846]View attachment 1711329
20210224_174115.jpg
 
We Acha mkuu nlikuwa na Kaka mmoja tumeenda Kula ana roho ndogo Sana tuliairisha Kula ikabidi tuagize juice zetu[emoji846]
Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]
We km nairobi level yako ni kwenye slums kaba tu
 
ya kila sehemu room inakaa kwa bei yake huwezi ukakaa nnje ya mji halafu mtu akakupangisha kwa 30.

ukiona hivyo uko chaka ni mbali saana na mji kiasi cha kwamba unapata daladala nne nne kufika town
30k tsh huku utarudi nazo, ndio tunawaambia hapa kila siku kenya kuna urahisi wa kupata pesa kuliko tz
 
Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]
We km nairobi level yako ni kwenye slums kaba tu
Kwenda Kula mbona kitu cHa kawaida tu mpaka nipige mapicha ya fast food 🙄tulitaka Kula Kilimanjaro ya opposite jamia Ila basi tu🙂
 
Kwenda Kula mbona kitu cHa kawaida tu mpaka nipige mapicha ya fast food [emoji849]tulitaka Kula Kilimanjaro ya opposite jamia Ila basi tu[emoji846]
Mbona kutembea wapiga[emoji1787]
Ungelipiga picha utuonyeshe ulipoenda kula
 
Jamaa anachagua sehemu za kupiga picha[emoji1787][emoji1787]naona unaogopa sana kupiga picha kiume
Deal nikupiga picha sehemu mbaya Nairobi we ukija dar kama Una huo uwezo tafuta slum upige picha live🙂
 
Deal nikupiga picha sehemu mbaya Nairobi we ukija dar kama Una huo uwezo tafuta slum upige picha live[emoji846]
Bwahahaha!!unajitesa kw kutembea maskini[emoji1787][emoji1787]utatoka matege nenda kibera ukapige uje uwaliwaze wenzako manake kwngine mpka uchague sana
 
Tuonyeshe hapo mliposhindwa kula, au picha ndio umeshindwa kupiga pia[emoji1787][emoji1787]
We km nairobi level yako ni kwenye slums kaba tu
Jamaa alienda kwa vibanda vya country bus[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Huyo hana pesa ya kuafford hoteli za Nairobi[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom