Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Kuvipata na penyewe usidhani ni easy kihivyo! Hii quality ya kiatu tulizoea kuvipata kwa 200k+ saivi ni 80k usifikiri utavipata easy in bulkHio iko affordable. Ikija Kenya bora ni pure leather nitainunua. Jitumeni kibiashara mzilete huku mpige pesa ndefu. Hata hamna competition maana Kenya sidhani kama tunaunda vitu kama hivyo.
Japo kiwanda kina capacity ya jozi million 1.5 lakini demand ni kubwa mno


