Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukizipata nitag
Alishaweka tangu jana sema bundle ndo ulikuwa huna,
JamiiForums-1349839251.jpg
JamiiForums28197842.jpg
JamiiForums1659191587.jpg
JamiiForums-1103249657.jpg
JamiiForums-1789613122.jpg
JamiiForums-1610089750.jpg
JamiiForums-685633792.jpg
JamiiForums-173252573.jpg
JamiiForums-1728866650.jpg
JamiiForums-685633792.jpg
JamiiForums-2121547448.jpg
JamiiForums-587174354.jpg
JamiiForums314193579.jpg
JamiiForums639970275.jpg
JamiiForums1438499757.jpg
JamiiForums1151427973.jpg
JamiiForums1223643454.jpg
JamiiForums-1964015688.jpg
 
Na Mimi Nairobi naingia wiki hii kwa ajili ya mishe Mishe zangu ruksa ukifika tafuta slum upige picha🙂
Dar 90% ni slum................hamna mpangilia, hamna zonning. Huwezi pata high esnd neighborhoods kama Muthaiga, Kitusuru, Spring Valley ama Karen Dar. Upper middle class chache tu (Oyster bay, Masaki et al) kama tu Mombasa na hata haziwezi fikia Upper middle Class ya Nairobi kama Kilimani. Middle Class ilipangika ndio hamna kabisa wakati Nairobi ziko tele (South B, South C, Baraka, Southlands, Buru Buru, Donholm et al) Dar Hazipatikani. Dar is a hell of unplanned construction that would qualify as a slum in Nairobi ila hamuiti slum, mnaita Uswazi.
 
Unawajua hao Wakenya unaowabeza? It's interesting how you find your own logic stupid.
asilimia kubwa nishawapekua appearance zenu tu zinaonyesha ni life gani mnayoishi....

wachache wapo smart hawazidi watatu wengine 98% ya hao waliobakia ni chokoraa tu..
 
zikipatikana utapata comrad ,watu tupo bize na life masuala ya kupiga piga picha hutokea tu mtu anapopata time hata photographer wenyewe hawana huo mda mpaka wajisikie
Uko bize huwezi piga picha yet unashinda hapa ukitafuta picha za Kibera? Una akili wewe? Hivi hizi zimepigwa na tumbili? 🤣 🤣 🤣

1.jpg
 
Eh Bana eh...WATANZANIA mmejaa Kenya sana na tunawapenda na kuwakaribisha zaidi....Tafuteni riziki....kuna sababu hamwendi Rwanda na ug ...au kubaki home...ni kwa sababu kenya is a land of opportunities.... Karibuni Kenya ndungu zetu tunawapenda
Hapa dar wakenya pia wapo kibao...Wengine walishakaa huku kwa zaidi ya miaka kumi wanatafuta uraia maisha yaendelee. ..Tunategemeana

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Dar 90% ni slum................hamna mpangilia, hamna zonning. Huwezi pata high esnd neighborhoods kama Muthaiga, Kitusuru, Spring Valley ama Karen Dar. Upper middle class chache tu (Oyster bay, Masaki et al) kama tu Mombasa na hata haziwezi fikia Upper middle Class ya Nairobi kama Kilimani. Middle Class ilipangika ndio hamna kabisa wakati Nairobi ziko tele (South B, South C, Baraka, Southlands, Buru Buru, Donholm et al) Dar Hazipatikani. Dar is a hell of unplanned construction that would qualify as a slum in Nairobi ila hamuiti slum, mnaita Uswazi.
So wewe na mwenye technology nani mwenye akili 😃😃😃😃 yani dar iwe na slum 90% alaf mzungu afunge mitambo hewani asione dar ila aone ya dunia nzima, kapime mkojo mzeee
2630AE9E-013A-4683-9A17-875D0584E1E6.png
667023C9-C90C-4A4B-8A79-389946B00BA8.png
 
asilimia kubwa nishawapekua appearance zenu tu zinaonyesha ni life gani mnayoishi....

wachache wapo smart hawazidi watatu wengine 98% ya hao waliobakia ni chokoraa tu..
You mean you can use the word smart in a sentence? 🤣🤣
Haya basis, samahani sikujui, nionyeshe Bugatti yako basi.
 
Dar 90% ni slum................hamna mpangilia, hamna zonning. Huwezi pata high esnd neighborhoods kama Muthaiga, Kitusuru, Spring Valley ama Karen Dar. Upper middle class chache tu (Oyster bay, Masaki et al) kama tu Mombasa na hata haziwezi fikia Upper middle Class ya Nairobi kama Kilimani. Middle Class ilipangika ndio hamna kabisa wakati Nairobi ziko tele (South B, South C, Baraka, Southlands, Buru Buru, Donholm et al) Dar Hazipatikani. Dar is a hell of unplanned construction that would qualify as a slum in Nairobi ila hamuiti slum, mnaita Uswazi.
ulichokariri ni oysterbay na masaki.......

endeleeni kujua hivyo hivyo,,,,
 
Back
Top Bottom