tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nani anamuhakikishia nani?Wakati mnawahahakikishia km kwenu hakuna corona hamkulijua hilo watakatifu
Nani anamuhakikishia nani?Wakati mnawahahakikishia km kwenu hakuna corona hamkulijua hilo watakatifu
What an ugly building am not impressed at all. Poor colours, design. 4/10
TumeshashindaTumia akili, this is the second wave of Corona inflection, we shall defeat the same way we defeated the first one. Tanzania is not a failed state.
Yani nitoke huku nije kupanda hio nimpe mchina pesa ya bure wakat nina three level interchange iko hapa 😅😅😅Ulisema waja lini kupanda the best road in Africa🤣🤣🤣
Uhehehehehehhehehe ndio maana nikakwambia mzungu hawezi kua mjinga kukuliko wewe😀😀😀 aone slum za dunia nzima asione za darSasa hapo unaona unafuu gani?
Kama unajua hakuna mradi unsojengwa na Rais basi waelimishe wapumbavu wenzio hapo juu kwanza ndio uje kunililiatumia akili cha kwanza kupitia mapovu yako yasiyo na tija huwezi kupata msaada humu,pia hakuna mradi unaojengwa na raisi tokea nyerere,mwinyi,mkapa,kikwete hata magufuli miradi yote ni pesa kutoka kwa walipa kodi ambao ni watanzania hivyo hakuna cha nani sijui alifanya hivi sijui yule kafanya ivi,,hao wote tajwa wanaweza kushindana kwenye usimamizi tu wa miradi ya nchi na si kinginecho,,,.
hao viongozi wote wanafuata ilani ya chama chao
FULL STOP
pia kuhusu kujipendelea binadamu yeyote yule duniani hilo pungufu analo hata wewe inawezekana ukapata pesa na ukashindwa kuwatumia wazazi wako lakini chaajabu ukamtumia demu wako ambaye hata hana faida na wewe zaidi ya kukuchanulia nakukupiga mizinga ila cha kufurahisha na cha kukuuliza ,je huko unakosema kapindisha sijui barabara kwake kwani atakuwa anapita peke yake milele..?...
kwani tanzania nzima imejengwa huko pekee...?..
Mtateseka Sana nyie na jiwe wenuhatuwezi teseka baada ya kutoka yeye kama wewe unavyohaha ulimi nje baada ya JK kutoka, sababu sisi sio chawa kama nyinyi, sisi ni wazalendo.wapenda maendeleo.
sisi na yeye tuko kwa ajiri ya tanzania sio, matumbo yetu kama wewe kiazi kibovu.
mara tena boss wake kawa marehem![]()
Hujaelewa alichofanya manispaa ya jiji la Dar ilikuwa haina eneo la utendaji/usimamizi/kimamlaka sasa kaivunja na manispaa ya Ilala inakuwa ya Jiji na wilaya at a go!rais Magufuli huku kashafanya yake Ilala ndo imekuwa jiji, hivyo temeke,kinondoni nk... ni kama mkoani tu.
now Nairobi mashindane na Mwana,Arusha,mbeya na Dodoma
Hakuna siku tulikana wala kukataa uwepo wa corona kwetu. Nyinyi mliaminishwa hamna corona na mkulu huku kirusi ikiendelea kuua watu hadi ikabidi muibandike jina mpya "changamoto ya kupumua" just to continue living in denial!Kwani cha ajabu nn?kenya hamna ugonjwa?
Wengine mko humu mnajiita wazalendo na miradi yenu ya stand na machingaKipindi cha JK watu hawakua wanafiki kama sasa hv, kujipendekeza kumezidi
Kwa hiyo mzungu akisema umfumue dadako utafanya 🤣 🤣Uhehehehehehhehehe ndio maana nikakwambia mzungu hawezi kua mjinga kukuliko wewe😀😀😀 aone slum za dunia nzima asione za dar
Ulitaka upande bure, baki na umaskini wako kwenu.Yani nitoke huku nije kupanda hio nimpe mchina pesa ya bure wakat nina three level interchange iko hapa 😅😅😅
Tukisema nchi imeshikwa na wageni wanalia 🤣🤣🤣🤣🤣