Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndioo sema kuna picha zingine Noma kupiga hata simu yangu inaweza kuchanganyikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa uchafu[emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo nalijua Ila wewe kuniita nguruwe sio ustaarabu msela wangu naomba tuheshimiane tupo na tofauti zetu lakin hakuna siku nimekurushia tusi jirani [emoji846]
kapanic,,halafu hakunaga kuheshimiana baina ya mkenya na mtz,,,,,,
akikupa tusi nawe unampa zaidi ya tusi au kumkejeri tu,we endelea kutwanga mapicha huyo anadhani kuwa ni mara yako ya kwanza kufika nairobi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anafikiria nairobi ni mji wa kuishi na peni mbili na sumni, hapo lazima atobokwe ndio ajikute yupo nairobi kweli..
Yale yale tunayosema wanabaki kuiponda nairobi halafu wakifika inawashinda kumudu gharama zake
unamuongelea mtu ambaye hata humjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

wazee wa kujifurahisha bhana,mnaishia kujiquote wenyewe kwa wenyewe kwa kumdiscuss mtu ambaye hamjui maisha yake mnapoteza mda wenu
 
I need any brave Tanzanian to show us their National Library and School Library. This is Kenya National Library in Upperhill.

View attachment 1711325View attachment 1711316View attachment 1711323View attachment 1711324

Soma hiyo
a596d06a57a31607478721123d17fd15.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3]battle inaendelea musee mbona unataka kutukatishia uhondo ....wengine stress zetu tunamalizia humu kwa huu uzi ebu ebu wacha bhana ....hii batlle haina mwishow......
Dar si inakua nearly manispaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KHEEEEEEEE.....kwani haya MABUGATI yanapatikana hapa bongoland .....au hapa ni KIBERA SLUMS au......tonny 254....teagass....komora....mko apii aisee hapa ni wapi huko kwenyuuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]mkuje hapaa
hiyo waliipita kimya kimya wakaishia kutoa mapovu tu....[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom