Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

looks like kibera
kibera yupo on his own level [emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji23]
20210102_183640.jpg
 
acha ushamba.. hio ni AC.. au air purifier.. inatumia maji kucool the environment.. na magu siku zote anakaaga mwenyewe.. angalia hata matukio mengine ya msiba au tukio lolote ikulu
Tupe neno moja jomba acha maeneno mengi[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa usichoelewa hapo ni nini? hiyo road ni mkopo na watalipa wananchi, kwa tafsiri nyingine ni kwamba GoK haina uwezo wa kulipa yenyewe km yenyewe imewapa wananchi walipe kwa mwamvuli wa ppp.
Mkopo sio wa GOK. Hio ndio ilikuwa point yangu. GOK haina mzigo wa kulipa hio deni.
 
Miradi yote lazima ilipiwe na wananchi Kwa njia moja au nyingine...au tz hawalipi kodi...ama hawelewi hata kodi ni nini....kwa sababu kizungu huwapiga Chenga hawa jirani aisee...hupitwa na mengi saana
Ss nyie mnalipa mara mbili kwenye ppp na kodi.
 
acha ushamba.. hio ni AC.. au air purifier.. inatumia maji kucool the environment.. na magu siku zote anakaaga mwenyewe.. angalia hata matukio mengine ya msiba au tukio lolote ikulu
Comment zengine don't bother mkuu.
 
Back
Top Bottom