mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
mkuu,katika hilo wapo washauri na wasimamizi katika kusimamia agizo au kauli hiyo.Hapa sijakubaliana na Magufuli kabisa. Hii Ndio exact quote aliyotoa.
View attachment 1689794
Sio vyema kumtukana Rais ila inabidi kumkosoa kwa heshima. Lakini nakubaliana na wewe. Ina maana serikali inathamini uzalendo wa mtu mmoja kuliko afya ya wananchi kwa ujumla? Kwani Huyo Daktari akihamia hospitali binafsi hatibu Watanzania? Na Kwani mkopo wake hatalipa? Na bado katishia Kufuta license ya Daktari na hospitali aliyohamia. Kwakweli Magufuli wakati mwingine huzungumza mambo yasiyoeleweka kabisa. Sijui kama Ana mshauri wa kumuongoza kwenye mambo ya kauli za kuongea hadharani. Ni Sawa tu na Bashite. Neno lolote linalokuja kichwani analitamka.
ina maana kubwa sana kuliko kosa mnaloliona nyinyi kwa picha ya nje.ndio maana anasema wafatiliwe,sijui kama unakumbuka ya vipimo vya covid na mapapai.