Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Es5NrQ7XAAIS_wt

Naona Wasukuma wa kahama wameipokea Tanzania ya viwanda kwa moyo mmoja

Juzi tena Jossam wa huko huko kahama kafungua kiwanda kikubwa cha maziwa karagwe, miaka miwili nyuma jiwe kafungua zaidi ya viwanda 5 hapo hapo kahama na vyote vya Wasukuma, naona pesa ya dhahabu inafanya kazi

Nani aliwapa haya maarifa? Zamani matajiri walikuwa ni wenye maduka ya jumla na lodge tu, naona hiyo mentality inaanza kubadilika kwa kasi
 
Hii mentality nzuri sna ya viwanda
 
Ila huyu Rais saa nyingine anakuwa mpumbavu wa mwisho, ina maana hizo hospitali binafsi sio za watanzania au hazitibu watanzania? Huyu vipi?
 
Ila huyu Rais saa nyingine anakuwa mpumbavu wa mwisho, ina maana hizo hospitali binafsi sio za watanzania au hazitibu watanzania? Huyu vipi?

Hapa sijakubaliana na Magufuli kabisa. Hii Ndio exact quote aliyotoa.
8E0B8673-644B-49C3-A4DF-453989B080A6.jpeg

Sio vyema kumtukana Rais ila inabidi kumkosoa kwa heshima. Lakini nakubaliana na wewe. Ina maana serikali inathamini uzalendo wa mtu mmoja kuliko afya ya wananchi kwa ujumla? Kwani Huyo Daktari akihamia hospitali binafsi hatibu Watanzania? Na Kwani mkopo wake hatalipa? Na bado katishia Kufuta license ya Daktari na hospitali aliyohamia. Kwakweli Magufuli wakati mwingine huzungumza mambo yasiyoeleweka kabisa. Sijui kama Ana mshauri wa kumuongoza kwenye mambo ya kauli za kuongea hadharani. Ni Sawa tu na Bashite. Neno lolote linalokuja kichwani analitamka.
 
dhibiti kauli zako katika maandishi,kwa uhuru wako na jf yetu pia.

acha wafatiliwe,kama hawana tatizo zaidi ya maslahi wataachwa bila kuguswa.
Huo ndio udikteta uchwara, kama mtu kasoma kwa akili zake mwenyewe, kwa gharama zake mwenyewe, analipa mkopo wa bodi na riba, anahudumia watanzania, hospitali inalipa kodi na imepata leseni kutoka serikalini, kwanini ufikirie kumfutia daktari usajili na kufunga hospitali kisa tu muajiriwa katokea hospitali ya serikali? Hii si sawa kabisa
 
nimekutahadhalisha wewe na kauli zako.

kama una hoka kuhusu aliyoyaongea zijenge,sio kutukana nk.
 
Hapa sijakubaliana na Magufuli kabisa. Hii Ndio exact quote aliyotoa.
View attachment 1689794
Sio vyema kumtukana Rais ila inabidi kumkosoa kwa heshima. Ina maana serikali inathamini uzalendo wa mtu mmoja kuliko afya ya wananchi kwa ujumla? Kwani Huyo Daktari akihamia hospitali binafsi hatibu Watanzania? Na Kwani mkopo wake hatalipa? Kwakweli Magufuli wakati mwingine huzungumza mambo yasiyoeleweka kabisa. Sijui kama Ana mshauri wa kumuongoza kwenye mambo ya kauli za kuongea hadharani. Ni Sawa tu na Bashite. Neno lolote linalokuja kichwani analitamka.
Yeye anasema eti hela yetu umekula kisha umeenda kuajiriwa kwengine, ina maana huyo Dr hakatwi mkopo na bodi? Yeye mwenyewe anamtukana Dr kwamba kaiba hela ya serikali anaosema ni yake katoa wapi hiyo hela ya kusomesha wataalamu?
 
Back
Top Bottom