Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona

Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'

Aidha amesema suala la mkopo ni la tangu muda mrefu na sio kwamba Tsh. Trilioni 70 zilikopwa na Rais Samia pekee

Huyu MATAGA GWAJIMA Tulijua kuwa lazima aitishe vyombo vya Habari,maana Ndugai amemkosakosa kumfumuza bungeni.
 
Ogopa Mungu sio mwanadam.

Bongo kuna laana kwa baadhi ya wajinga wa kuabudu wanadam wenzao...

Ata ww unaweza kuwa amiri jeshi mkuu,sasa sijui utajiogopa ukijitazama kwenye kioo?
Rejea maneno ya Nyerere juu ya Katiba tuliyonayo na nguvu ya Rais wa JMT anayopata kutokana na Katiba
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Yeye Ndugai ni mmoja wa waasisi wa siasa za chuki na visasi. Hii ni karma kwake na wenzie wote
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Wapuuz nyie,simlisema Samia Hana jeuri ya kumfanya Ndugai ajiuzuru,

Tayari kashajiuzulu huko mwenzenu
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Anadharau Sana atokeeeeee
Hatumtakiiii stupid
Hawez kumdharau mama na sisi tupo
 
Gwajima alifurahi na kumuandikia Ndugai "This is the Ndugai I know"
Baada ya "nimekosa mimi, nimekosa sana............." huyo huyo anasema ajiuzulu.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Kaitisha press kukiri kumtumia message Ndugai baada ya kumnanga Samia alafu kamruka na kumtaka ajiuzuru

Naona sasa kashatoa jibu mkuu, kwamba yeye Gwajima ni mtu asiyependa uongo...kwamba Ndugai kamgeuka kwa kitendo chake cha kuomba msamaha

Walikuwa wanatumiana message za kupongezana na Ndugai! Kaona Amiri Jeshi Mkuu amecharuka, kaitisha press kumkana Ndugai
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Binafsi ccm SIO rafiki zangu akiwemo Ndungai, ila sioni mantiki yoyote, kujiuzulu, sioni mantiki yoyote badilisha Baraza la mawaziri

Tatizo nilinalo SSH amekizoea kiti, na kimekua Kitam, asipokua makini na sikiliza wapambe na wanafiki yatamtokea puani, lazima binadam na Kama kiongozi jifunza kuwa na pumzi ya kuimili vitu
 
Naona tayari gwajima kasikika
Screenshot_2022-01-06-17-01-25-040_com.twitter.android.jpg
 
Rejea maneno ya Nyerere juu ya Katiba tuliyonayo na nguvu ya Rais wa JMT anayopata kutokana na Katiba
Katiba ni kitabu cha karatasi tu kilichoandikwa na wanadam kwa makubaliano yao.

Mwenye nguvu halisi ni Mungu,
Magu yuko wapi? Au hii ni katiba nyingine?

Abudu na kuogopa Mungu pekee,wanadamu na katiba zao wanapita na kusahaulika
 
Mungu ndo zaidi kweli kabisa

Ila ameweka tawala na viongozi duniani wanaoongoza kwa katiba

Kabla ya kumchezea sharubu Rais yeyote Soma Katiba ya nchi husika kwanza!

Ni ushauri tu
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Tatizo mlimuona Samia Kama Samia kumbe ni Samia Rais wa JMT

Shauri zenu!
 
Kesho atamtukana Samia pia, kifo cha Magufuli (RIP) hakiwafundishi hawa wanaoitwa Viongozi chochote kile, wanarudia mambo yale yale, waliomtukuza Magu alipofariki walimkana na kumtukana haya naye anajiona Mungu mtu leo hii lkn hajui hao akina Gwajima wanaotumika watakuja kumtukana pia kesho akiondoka.

Kwa nini msifanye kazi, tatueni matatizo ya watu inalipa zaidi huko mbele ya safari na watu watawapigania badala ya Majungu, Fitina na Wizi.

Low IQ people!

Ila Rais ndio amekubali mipasho iendelee maana aliposema nawashukuru kwa kuwajibu wale

Ila angesema tuyaache sasa hiyo ingekuwa ni Amri

Hatutaki mapambio sasa kila mmoja kuita waandishi wa habari na kuchambana

Dini zinatufundindisha tofauti na wao wanajua pia
Tunajua kinachoendelea ila basi ifike tamati na kufanya mambo kikubwa

Wa kuondoka/ kuondolewa waende na tugange yajayo
Hatunaga dogo duu
 
Sidhani kama kulikuwa haja Kwa gwajima kuitisha press conference, lakin may be analipa kisasi
Iv spika anaweza kuitwa kamati ya maadili?
 
Back
Top Bottom