" This is Ndungai I know", neno hili amelisema anayejiita Askofu Gwajima kwenye kwenye press conference yake leo. wana JF mkisiliza kwa umakini press ya Gwaji Boy, mutagundua kuwa yeye na SPEAKER ( SPIKA) ni Team moja.
Alivyoanza Press yake alianza kwa kukubaliana na maneno ya spika na amekiri kwamba alimtumia SPIKA sms mara tu baada ya yeye kuongea tare 26/12/2021. This means alimpongeza sana spika kwa kitendo alichokifanya. Cha kushangaza alivyoona spika anaomba msamaha, huyu GWAJI BOY akamruka SPIKA hili ajipendekeze kwa rais. Huu ni unakfki mkubwa wa viongozi wetu wa dini. Leo hii kiongozi wa dini anakataa msamha? siyo kweli kuna kitu anakificha hili aonekane yeye anamtetea mama.

Na mbinu zakezote zimeshajulikana. SMS zake kwa SPIKA na watu wenginge zimeshanaswa na wana UVCCM. Aache kuwadanganya wa TZ. Ubunge wake ni wa wizi kila mtu anajua na Job Ndungai ndiye aliyemtetea sana bungeni. Gwajima na AYUBU ni Team moja.
 
Wewe ndugai kashabwaga manyanga huko
 
Wapinzani wanapaza sauti kuwa Ndugai hafai na aliwanyanyasa sana hivyo ag'oke. Je aking'oka watanufaika na nini?

Wanaccm nao wanataka ang'oke sasa aking'oka mtapata faida gani?

Siasa za chuki zimetamalaki taifa letu
Kawaulize CCM. PGO waijua weye kwanzaa?
 
" This is Ndungai I know", neno hili amelisema anayejiita Askofu Gwajima kwenye kwenye press conference yake leo. wana JF mkisiliza kwa umakini press ya Gwaji Boy, mutagundua kuwa yeye na SPEAKER ( SPIKA) ni Team moja.
Alivyoanza Press yake alianza kwa kukubaliana na maneno ya spika na amekiri kwamba alimtumia SPIKA sms mara tu baada ya yeye kuongea tare 26/12/2021. This means alimpongeza sana spika kwa kitendo alichokifanya. Cha kushangaza alivyoona spika anaomba msamaha, huyu GWAJI BOY akamruka SPIKA hili ajipendekeze kwa rais. Huu ni unakfki mkubwa wa viongozi wetu wa dini. Leo hii kiongozi wa dini anakataa msamha? siyo kweli kuna kitu anakificha hili aonekane yeye anamtetea mama.

Na mbinu zakezote zimeshajulikana. SMS zake kwa SPIKA na watu wenginge zimeshanaswa na wana UVCCM. Aache kuwadanganya wa TZ. Ubunge wake ni wa wizi kila mtu anajua na Job Ndungai ndiye aliyemtetea sana bungeni. Gwajima na AYUBU ni Team moja.
Anajikosha,mama ana kazi kubwa sana kuwajua wahujumu wake
 
Mungu ndo zaidi kweli kabisa

Ila ameweka tawala na viongozi duniani wanaoongoza kwa katiba

Kabla ya kumchezea sharubu Rais yeyote Soma Katiba ya nchi husika kwanza!

Ni ushauri tu
Mungu haweki viongozi wezi,madhalimu na waonevu...hiyo ni kazi ya shetani.

Dunia inaendeshwa na nguvu mbili tu...ya shetani na Mungu.

Shetani ana nguvu ya muda mfupi sana,Mungu ana nguvu isiyo na mwisho...chagua

Wapo viongozi wanatoka kwa Mungu na wapo wanaotoka kwa shetani,UTAWAJUA KWA MATENDO YAO!
Kiongozi alietokana na ushetani anachezewa tu na hana madhara kwa watu wa Mungu.
 
" This is Ndungai I know", neno hili amelisema anayejiita Askofu Gwajima kwenye kwenye press conference yake leo. wana JF mkisiliza kwa umakini press ya Gwaji Boy, mutagundua kuwa yeye na SPEAKER ( SPIKA) ni Team moja.
Alivyoanza Press yake alianza kwa kukubaliana na maneno ya spika na amekiri kwamba alimtumia SPIKA sms mara tu baada ya yeye kuongea tare 26/12/2021. This means alimpongeza sana spika kwa kitendo alichokifanya. Cha kushangaza alivyoona spika anaomba msamaha, huyu GWAJI BOY akamruka SPIKA hili ajipendekeze kwa rais. Huu ni unakfki mkubwa wa viongozi wetu wa dini. Leo hii kiongozi wa dini anakataa msamha? siyo kweli kuna kitu anakificha hili aonekane yeye anamtetea mama.

Na mbinu zakezote zimeshajulikana. SMS zake kwa SPIKA na watu wenginge zimeshanaswa na wana UVCCM. Aache kuwadanganya wa TZ. Ubunge wake ni wa wizi kila mtu anajua na Job Ndungai ndiye aliyemtetea sana bungeni. Gwajima na AYUBU ni Team moja.

Mnamkuza tu kumuita kiongozi wa dini
Viongozi wa dini hawana mipasho bali mafundisho tena kwa kufuata vitabu

Siamini watu kama hawa ni wanafiki wanaotafuta maisha kwa sadaka za masikini na wasiojitambua
 
Mbwa mwitu wote walikuwa wakimshambulia pundamilia lakini ghafla wamemgeukia mwenzao mmoja na kuanza kumshambulia......
 
Kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya miradi isiyo ya kimkakati (madawati nk. ) ni jambo lisilokubalika, tutawawajibisha wahusika 2025!
 
Back
Top Bottom