Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona
Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa'
Aidha amesema suala la mkopo ni la tangu muda mrefu na sio kwamba Tsh. Trilioni 70 zilikopwa na Rais Samia pekee