Sawa tu maana Ndugai alifukuza wabunge wengi Bungeni wakaacha kuwakilisha wananchi wao, kwa makosa madogo tu.

Andacho mtu ndicho atakachovuna.
Alifanya mambo sana kinyume cha taratibu sana......hadi akajisahau akajiona Mungu mtu....
 
Kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya miradi isiyo ya kimkakati (madawati nk. ) ni jambo lisilokubalika, tutawawajibisha wahusika 2025!

Kashavuka nusu ya JPM ndani ya miezi 9 ndugu yangu…Baraba anaachiwa huru na mwana wa mwenyezi anatiwa katika mikono ya wenye dhambi…hii nchi ngumu sana..

Spika ghafla kawa victim kuitetea nchi yake kutoka kwenye gia ya mikopo …can’t dig it
 
" This is Ndungai I know", neno hili amelisema anayejiita Askofu Gwajima kwenye kwenye press conference yake leo. wana JF mkisiliza kwa umakini press ya Gwaji Boy, mutagundua kuwa yeye na SPEAKER ( SPIKA) ni Team moja.
Alivyoanza Press yake alianza kwa kukubaliana na maneno ya spika na amekiri kwamba alimtumia SPIKA sms mara tu baada ya yeye kuongea tare 26/12/2021. This means alimpongeza sana spika kwa kitendo alichokifanya. Cha kushangaza alivyoona spika anaomba msamaha, huyu GWAJI BOY akamruka SPIKA hili ajipendekeze kwa rais. Huu ni unakfki mkubwa wa viongozi wetu wa dini. Leo hii kiongozi wa dini anakataa msamha? siyo kweli kuna kitu anakificha hili aonekane yeye anamtetea mama.

Na mbinu zakezote zimeshajulikana. SMS zake kwa SPIKA na watu wenginge zimeshanaswa na wana UVCCM. Aache kuwadanganya wa TZ. Ubunge wake ni wa wizi kila mtu anajua na Job Ndungai ndiye aliyemtetea sana bungeni. Gwajima na AYUBU ni Team moja.
Kwa clip hio sijaona unafiki wa Gwajima Wala kujipendekeza kwa mama, amekasirishwa na kitendo Cha spika kuomba msamaha, alichosema mwanzoni spika angeshikilia msimamo, na huo ndio msimamo wa gwajima.
 
Back
Top Bottom