Nlichogundua maoni yetu wameyakalia kimya

Ila wale wapenda browser wanakenua meno

Maana imewakuna kweli

Wanashangilia tu

Sisi tukae kimya tu
Wakiamua sawa wasipoamua sawa
Hao jamaa wanashangilia nini wakati hamna kilichobadilika ni kama upo na browser?.

Hii app waiache hata kama hawataki kuifanyia marekebisho poa tu hamna noma.
 
Mbona me nimelog in ila bado sioni option ya ku install?
Kwenye browser ukishafungua hilo file la JF na ukisha-log in lifunge kabisa hilo file (siyo urudi nyuma kwa home button funga file yaani litoe kabisa kwenye list ya mafile uliyotumia) kisha rudi tena kwenye browser search JF click kisha hivyo vijimistari hapo kushoto juu itakuja kama picha inavyosema hapo chini kama haijawa hivyo usitoke kaa hapo kwa sekunde kama 7/10 isipokuja rudi nyuma kwa home button kisha click tena hapo kwenye vijimistari subiri kidogo mara mbili mara tatu fanya kama una-disturb hilo file option ya ku-downloud itakuja,nachelea kusema hii app bado haijawa stable ila nadhani wahusika watalofanyia kazi.

Mf;hapa mimi nime-uninstall na nimei-dowload tena.
 
Maxence Melo hii Reply ya jamaa nashauri weka juu kabisa jamaa ameweka Solution ya changamoto inayowakuta wenugi....Wengi wanaweka Shortctut ya platform anayopenda kwenye Browser kwa maelezo ya jamaa itawasaidia.
 
Hivyo vibutton vya kubaki na home vipo Google play store, download
Nimefanikiwa mkuu ubarikiwe sana, huwezi amini nishapeleka hadi kwafundi akasema inabidi ibadilishwe cjui kioo nagharama ilikua kubwa kidogo nikaamua kuacha tu japo hili tatizo lilikua linanikera sana
 
Nimefanikiwa mkuu ubarikiwe sana, huwezi amini nishapeleka hadi kwafundi akasema inabidi ibadilishwe cjui kioo nagharama ilikua kubwa kidogo nikaamua kuacha tu japo hili tatizo lilikua linanikera sana
Changamoto uliyobakinayo kwenyee kuiuza
 
Changamoto uliyobakinayo kwenyee kuiuza
Hii button ilikua kikwazo sana ktk kuiuza hii sumu ila nashukuru leo nimepata ufumbuzi mana mnunuzi nitamuambia back button imekufa lkn sio shida mana kuna hii yakudanlod naipo vzr tu
 
Hapana, ingawa nadhani unaamini wewe ni Guru ila kwenye hili naomba nikurekebishe. Hii sio Browser shortcut, hii ni Progressive Web App. Asante
IT is not my profession ,but ukiacha kwamba PWA's zinafungua windows zake zenyewe bila kutegemea browser kipi kingine cha utofauti? hadi zitofautiane na Browser shortcuts? Enlight me
 
Hii app bado ina changamoto mkuu licha ya kufanya maboresho.

Ni mda sasa kila nikitaka ku view attachments app hai support, badala yake yanatokea majukwaa ya Jamii Forum.

Naombeni mtafute solution ya tatizo hili kwani sisi ni JF users lakini tunakua limited kupata baadhi ya huduma.

Naomba kuwasilisha

@Maxence Melo
 
Kwani hizo Screenshot ulizoweka hapo si JF APP
 
Binafsi nimeamua kugoma kutumia mfumo mpya nibaki na App yangu ya zamani. Ndo yaleyale nlikuwa nalalamika juzi kuhusu App nikaeleza kuwa sipendelei kutumia browser, sasa iweje huu mfumo mpya ni kama browser tu halafu niukubali. Hii mambo ya page inakera sana, labda mkiifanya browser ifanane na App hapo sawa.
 
Nimefanikiwa kupakua hii JF App mpya, nimeipenda na ipo vizuri sana. Hii nimeifananisha na baadhi ya Apps kama Videoder, Mobdro n.k ambazo nimezipakua nje ya Play Store(Downloading from unknown source)

Ufanisi wa JF App mpya upo vizuri sana kwa mtazamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…