Weeeeh! Sijawahi kuisikia hii....
Warumi alishafariki mkuu uzi upo humu JF
Screenshot_20230923-221442.png
 
wewe acha uongo, eti tumepiga kelele sana 😳!!!

wewe na nani mlikua mnapiga kelele? na wap huko?
Nani atakaa kusikiliza makelele Yako?
Badilika wewe, una malalamiko, una maoni, dukuduku au tashwishwi wasilisha panapohusika kistaarabu.
Achana na makelele, hizo ni fujo hayupo wa kuskiza .
Aise hii ndiyo jf
 
Urais katika nchi zenye mfumo wa Jamhuri kama ilivyo Tanzania, Ufaransa, Kenya, China, Afrika ya Kusini, Uganda na nchi nyingine nyingi sana: Ni alama ya Taifa, ni alama ya Mamlaka ya Juu ya Nchi. Kwa hapa kwetu Tz, Ni mkuu wa nchi. Ni Amiri Jeshi Mkuu, Ni mkuu wa serikali. Ndio mfalme/Malkia wa nchi.
Unaweza kufanya lolote linaruhusiwa na Katiba ya Jamhuri na sheria za nchi.
Kwanini Rais ajitetee anapofanya mabadiliko?
Mwenye mamlaka ya Juu hapaswi kujitetea wala kuonyesha majuto yake.
Asubiri, akistaafu, aandike kitabu na kuonyesha majuto na kujitetea.
 
Pale tumepigwa za kichwa nyingi sana Kila siku hua najisemea, na vitu kama hivyo vina onesha ni kiasi hawa fahamu vizuri watu anao wachagua, ndio maana anateua asubuhi jioni abatilisha uteuzi wake, imekua tabia yake
 
Urais katika nchi zenye mfumo wa Jamhuri kama ilivyo Tanzania, Ufaransa, Kenya, China, Afrika ya Kusini, Uganda na nchi nyingine nyingi sana: Ni alama ya Taifa, ni alama ya Mamlaka ya Juu ya Nchi. Kwa hapa kwetu Tz, Ni mkuu wa nchi. Ni Amiri Jeshi Mkuu, Ni mkuu wa serikali. Ndio mfalme/Malkia wa nchi.
Unaweza kufanya lolote linaruhusiwa na Katiba ya Jamhuri na sheria za nchi.
Kwanini Rais ajitetee anapofanya mabadiliko?
Mwenye mamlaka ya Juu hapaswi kujitetea wala kuonyesha majuto yake.
Asubiri, akistaafu, aandike kitabu na kuonyesha majuto na kujitetea.
Anajua kuna mahala kwenyebteuzi zake hakuwa sahihi. Sasa matokeo ndo yanamsuta
 
Urais katika nchi zenye mfumo wa Jamhuri kama ilivyo Tanzania, Ufaransa, Kenya, China, Afrika ya Kusini, Uganda na nchi nyingine nyingi sana: Ni alama ya Taifa, ni alama ya Mamlaka ya Juu ya Nchi. Kwa hapa kwetu Tz, Ni mkuu wa nchi. Ni Amiri Jeshi Mkuu, Ni mkuu wa serikali. Ndio mfalme/Malkia wa nchi.
Unaweza kufanya lolote linaruhusiwa na Katiba ya Jamhuri na sheria za nchi.
Kwanini Rais ajitetee anapofanya mabadiliko?
Mwenye mamlaka ya Juu hapaswi kujitetea wala kuonyesha majuto yake.
Asubiri, akistaafu, aandike kitabu na kuonyesha majuto na kujitetea.
Mkuu wa nchi anaingizwa uchochoro wa mateja halafu badala ya kuchukua hatua kwa kudanganywa ankuja hadharani kujitetea na kuwatetea waliomdanganya!!

Ajiulize kwanini mfu anamsumbua sana?
1695799215029.png
 
Excuses, ndiyo gundi inayomgandisha mtu katika confort zone yake. Huwezi kupiga hatua yoyote kimaendekeo, huwezi kubadili kitu chochote katika maisha yako kama ukichangua kusalia 'in your confort zone' Na njia rahisi ya kusalia humo ni ku make excuses.

Rais wetu ni muumini wa excuses. Sana sio kidogo. Nilimuona kipindi kile watu wanalalamikia kupanda kwa gharana za maisha zilizosababishwa na mfumuko wa bei kutokana na kupanda kwa bei za mafuta, RAIS akasimama jukwaani akaanza kutoa excuses. Mara corona, mara vita vya ukrain. Kwahyo baada ya kuambia raia hivo, she is confortable. Tutaishi hivi hivi mpaka i dont know when. She cant evern crack her mind tunatokaje hapa. Hali hiyo ikatuburuza.

Leo tupo kwenye mgao mkibwa wa umeme. Juzi nimemuona akitoa excuses tena. Ooh, tunarekebisha mitambo, oooh mabadiliko ya tabia ya nchi etc.. halafu katoa miezi sita asisikie kelele za umeme. Ndo keshamaliza hivo. And guess what, she is gonna go to sleep asubirie six months aulizie tena mmefikia wapi? The confort zone. Our president likes it in there.

Kuna haya maswali nadhani kila mwenye akili atakuwa kajiuliza ile siku madame anatoa excuses zake.
1. Ile mitambo inayofanyiwa ukarabati, yeye personally ameiona au analetewa tuu report mezani na hao anaowateua? Maana hii habari ya ukarabati tumeanza kuisikia mwanzo tuu mtoto wa makamba alivyo kabidhiwa ile wizara hadi leo.
2. Hii miezi sita aliyotoa, imetokana na uono wake juu ya hali halisi ilivyo kule Tanesco au ni hawa hawa wateule wamemletea mapendekezo hayo?
Na swali jingine binafsi najiuliza kila wakati. Hivi Mh. Kalemani alilikosea nini Taifa hili akapokwa ile wizara? Mbona he was going perfectly tu?

Kuna tuhuna zinasambaa mtandaoni. Kwamba mwezi March, mtoto wa makamba na maharage waliagiza Mtera maji yafunguliwe. Wawili hawa walitupilia mbali mawazo ya wataalamu kuhusu jinsi uamuzi huo ungeliingiza taifa katika upungufu mkubwa wa umeme. Kwamba kitendo hicho ndicho kimeliingiza taifa katika huu mgao wa umeme.

Inawezekana tuhuma hizi ni za kweli au la. lakini binafsi siwezi kuzipuuza kwa sababu kwanza Hayati JPM aliwahi kuli adress jambo hili publically kabisa. Huu mchezo wa kufungulia maji mtera ili nchi ikose umeme watu wauze majenereta. Pili mgao si huu hapa tunao? Je, kuwaondoa Huyo mtoto wa makamba na maharage pale nishati hakuwezi kuwa kunahusishwa kwa vyovyote na tuhuma hii?? Ikiwa hivo ndivyo, kwanini Rais anaanza kutoa excuses, kwanini asitoboe tuu ukweli na kutoa kalipio kali ikiwa ni pamoja na kuwatumbua moja kwa moja wahusika?

Rais anapaka paka rangi. Anamwambia mkurungenzi mteule wa Tanesco. ooh, maharage siju nini na nini, sijamtoa pale kwa sababu ya shida ya umeme, aikuwa anaenda vizuri, ukaendelee alipoishia. Seriously? Huyu Rais wetu anafanya Teuzi for fun! Yaani mtu pahala anafanya vizuri unaamua tu kumuondoa yani... she cant be serious. Yaani alikuwa ni kama anajikomba kwa maharage simchukie? Rais gani huyu?

Rais unapaswa kusema pale nimeona madhaifu 1,2,3. Nimemwondoa huyu sababu kashindwa ku deliver. Nakupa wewe hii kazi. Ndani ya mwezi nataka nione matokeo. Kama utaona huwezi nawewe uondoke. Finishi. Halafu uone watu watakavyo chakarika usiku na mchana ku meet target.

Nasema hivi. Rais akiamua kufanya kazi na watu kikazi, tatizo la umeme litakwisha ndani ya muda mfupi sana. Wala siomiezi 6 waliyompanga. Hata hilo bwawa la nyerere linalosemwa kila siku lipo 92%, haziongezeki tangu mwaka umeanza litakamilika na tutapata umeme wa uhakika. Ila kama ndo hizi teuzi za kirafiki, kishemeji anawachekea chekea wateule wake, miezi 6 itaisha na inchi itazidi kuwa gizani. Bwawa la nyerere litasalia kuwa 92% milele yote.

Mh. Rais, wewe umekalia kiti kikubwa sana katika taifa hili. Hupaswi kuwa mtu wa excuses. Ondoka kwenye confort zone. Fanya kazi fuatilia mambo. Hao watu unao waamini ndio wanakupotosha. Katika taifa hili umeme ni hitaji la msingi kwasasa. Taifa lenye ukosefumkubwa wa ajira, kila mtu anajaribu kufanya chochote kujipatia riziki. Katika harakati hizi umeme umekua ni nishati mhimu kuendesha miradi mingi ya watu. Hatuhitaji umeme kwaajili ya kuchaji simu tu. TUNA MIRADI INAHITAJI UMEME KUINGIZA PESA. NYINYI WATU MBONA HAMUELEWIII??....Aggggghhh😡
 
Mimi nikiwa Rais, hiyo Maharage mabovu na Lile jamaa lenye upara nitaamrisha yanyongee na kutupwa kwenye Bwawa la Mtera walilofumgulia, wakalie na mamba huko...
 
Yuko Doha teuzi zinaendelea kwa jina la Ikulu. Ikulu imehamia Doha. Ushauri uko Doha!
Naona TANAPA na Ngorongoro zinavurugwa kwa kasi sana! Makamishna wanageuzwa kuwa wakuu wa Wilaya. Naamini kabisa ni ushauri wa Waarabu.

Naiona 'fakti' mama wa Kambo ni tatizo! Familia ya wa-TZ inavurugwa kwa kasi sana. Yaonekana bado anahangikia Bandari na wanyama wetu. TEC wametafutwa wanunuliwe, na ilisikika karibia bei yao inapatikana.

Neno langu la mwisho ni kwamba, mzazi mwenye akili kijijini, hata kama ana njaa, hawezi kusifiwa kwa kuuza mtoto wake. Kila mtu atasema ni juha!
 
Back
Top Bottom