zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa. Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k. Ni...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

    Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba. Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji. Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hawa wa Zanzibaris (Makua) wana uhusiano/utaifa na Zanzibar ?

    Durban’s Zanzibari Makua community struggles for identity written by Zahid Jadwat July 28, 2022...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu Zanzibar yakabidhiwa Vishkwambi 6,600

    WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600 Na Ipyana Mwaipaja, WyEST, DSM Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa ajili ya kugawa kwa walimu ili kuwapa motisha na...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Muungano unatutafuna! Iweje bara Umeme uwe shilingi 350 kwa unit wakati Zanzibar ni shilingi 130?

    Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa. Na wale wataosema Zanzibar ni wanyonyaji wanakosea, Tukumbuke kwamba Bara ndio inang'ang'ania sana huu muungano matokeo yake...
  7. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO wamepata wapi umeme wa kuiuzia Zanzibar Tshs 30 kwa unit?

    Nimemsikia waziri kutoka Zanzibar akisema kwamba Kuna kero moja kubwa imeondoshwa kwa tanesco wamekubali kuiuzia Zanzibar umeme Kwa shs 30 Kwa unit. Huu umeme wa bei hiyo umetoka wapi?
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Zanzibar itajitenga kisa …?

    Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni baada ya kuvuna bara bya kutokasha kutokana na awamu ambayo yaweza kuwa ya Bara kuhoji mzenji...
  9. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yang'aa utalii kimataifa

    Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar. Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Heroes insha'Allah World Cup 2026

    Kupanga ni kuchagua na tumeamua 2026 tunachukua ndoo! #football_economy#
  11. Thailand

    JamiiForums Tanzania Harakati ya kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Kifupi Zanzibar hawatupendi wa Tanganyika kwa kudhani wao ni waarabu koko wa oman (fikra za kimaskini) Sasa kuliko kuleteana shida huko mbele ya safari, naomba serikali ifikirie kuuvunja huu muungano kwa amani bila damu kumwagika. Haiwezekani kero za muungano zinatatuliwa tu zile zinazo wa...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

    Ikiwa wewe umezaliwa Tanganyika basi ukifika hapa kisiwani jiandae na kero zifuatazo. 1. Kudaiwa leseni ya udereva Zanzibar (hata kama unayo ya huko kwenu). 2. Kukosa Uhuru wa kutumia NYAMA PENDWA na kilevi hadharani. 3. Kukosa fursa ya kumiliki ARDHI. 4. Bullying "name calling" (kuitwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM Yalaani vikali kitendo cha baadhi ya vyama vya siasa kuanzisha viashiria vya uvunjifu wa amani na mpasuko Zanzibar

    CCM YALAANI VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA KUANZISHA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI NA MPASUKO ZANZIBAR CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kauli za baadhi ya wafuasi, wanachama na viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani Zanzibar kuanza kuhubiri mgawanyiko na kauli...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!! Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa. Kwa...
  15. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya Zanzibar yapoje?

    Wakuu , mchumba wangu wa zamani alioa zenji. Hakuachana hadi Leo. Rafiki zangu wameoa Zanzibar wote hadi naleo hawajaachana . Tujuzeni mapenzi ya Zanzibar yakoje? Yapojee? Maana sio wakutuchukuliwa waume kihivyo.
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ili kukuza utalii, Zanzibar Airlines haiepukiki

    Katika kuvutia watalii na wawekezaji, inafaa sasa tupate Zanzibar Airlines kama zilivyo Air Mauritius, Tahiti NUI Air na Fiji Airlines (Mauritius, Tahiti na Fiji ni visiwa kama kilivyo Zanzibar ila wapo mbali kimaendeleo kwa sababu ya utalii)...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata Guest Zanzibar kwa Tsh 50,000 kushuka chini?

    Ndugu zangu ninategemea kuja Zanzibar kipindi cha mwaka mpya, hivi naweza pata guest ama lodge za bei rahisi kweli kama elfu 50 kushuka chini?
  20. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na guest isiyo na jina

    Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani...
Back
Top Bottom