zanzibar

  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  3. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ikulu Zanzibar: Madaktari Bingwa kutoka China Wawasili Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
  6. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar na ndizi za mjane!

    Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala. Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  9. USSR

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

    Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nauliza 2025 Magufuli atagombea Urais kupitia Chama Gani?

    Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake. Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli. Sasa...
  11. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

    Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua. Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.? Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
  12. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Shule za Zanzibar zina changamoto gani?

    Habari wana Jukwaa! Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu. Zanzibar imekuwa sio kipenzi cha wanafunzi kutoka bara kwenda Tanzania visiwani kupata...
  13. Leak

    JamiiForums Tanzania kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

    Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Bububu Sec. Shule makini Zanzibar

    Wadau wenye kutaka kujifunza maadili na elimu makini karibuni Bububu Secondary School.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viti bandari ya Unguja vibovu, mazingira pia machafu, mamlaka hamuoni hiki kinachoendelea?

    Nimekuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Zanzibar mara kwa mara, kuna hili jambo limekuw alikinikera naona leo nilitolee povu, ni kuhusu baadhi ya viti vinavyotumiwa na abiria kusubiri muda wa kuanza safari. Hali ni mbaya, viti kadhaa vimeharibika na mamlaka zipo kimya tu, sometimes pia maeneo...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Ukatili wa Kijinsia yaripotiwa kuongezeka Visiwani Zanzibar

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimeripotiwa kuendelea kuongezeka visiwani hapa ambapo Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali inaonesha matukio hayo yakiongezeka kutoka matukio 1,222 mwaka 2021 hadi matukio 1,360 mwaka 2022, ongezeko ambalo ni la matukio 138. Takwimu hizi zilitolewa hapo Januari...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ILO imeandaa Jukwaa kwa Wadau Kujadili uboreshaji wa Changamoto na Uhamaji wa Kutafuta Fursa katika Nchi za Afrika Mashariki

    Mkutano huu wa siku mbili unafanyika Zanzibar kwa muda wa siku mbili, Januari 24 na 25, 2023 ambapo lengo kuu ni majadiliano ya Wadau mbalimbali kuhusu mazingira ambayo wanakutana nayo wanaotafuta ajira kutoka sehemu moja kwenda kwingine, hasa wakilengwa zaidi vijana. Wanaoratibu mjadala huu ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania niliyemuamini nimemsikia na kuamini kumbe naye 'ameshalambishwa' Asali ya Zanzibar

    Kuanzia sasa GENTAMYCINE sitowaamini Watu ( Waswahili ) wengine wowote zaidi ya Wazazi wangu. Kwa Unafiki ulioko na Watu ( Waswahili ) Kutojiamini na Kukubali Kuumia kwa Watanzania wa baadae ndiyo mje muwatoe Mambuzi walioizoea Asali Tamu ya Tanzania ambayo kwa sasa Inafyonzwa sana kutokea...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
Back
Top Bottom