Tafadhali Wazanzibari ( hasa kutoka Pemba ) bila Kuwasahau wa Unguja GENTAMYCINE nauliza je, ni kweli kwa sasa mna hii Amani ya Kudumu ambayo Kutwa namsikia Rais wenu Dk. Hussein Ali Mwinyi anaihubiri Redioni na Runingani?
Kazi yangu Kubwa ni kuso ma tu Maoni yenu hapa kwani kwa ninavyowajua...
Serikali ya Zanzibar kupitia Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) imemzuia Mfanyabiashara Maryam Shaaban kutoendelea kuuza bidhaa za Lump Sugar maarufu ‘vipipi’ inayodaiwa kutumiwa na Wanawake kujiweka sehemu za siri ili kupata mvuto na kubana maumbile yao.
Pia soma...
ZANZIBAR
CHAMA cha waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kimesema kuna haja ya taasisi husika za mabadiliko ya sheria kuweka kipaumbele kufanyiwa marekebisho yanayoendana na matakwa ya wadau katika sheria za habari Zanzibar ili zitoe mazingira ya uwepo wa uhuru wa vyombo...
Sakata la mgogoro wa kimkataba wa utoaji huduma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume umeiweka matatani Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) baada ya mwekezaji katika uwanja huo kufungua maombi mahakamani akiomba ridhaa ya kuishtaki.
Mwekezaji huyo kampuni ya Transworld...
Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar.
Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini. Hali hii inawaathiri sana Waislamu wa Tanganyika, nitaeleza.
a) Kutokana na kwamba kule Zanzibar...
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.
Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo.
Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar.
Amesema...
Nimelala nimeota wazanzibari wameanza kudai kujitenga baada ya Mama kuondoka madarakani na Mzee Smile amegeuziwa kibao na wadanganyika kuwa yeye ndiye ameifikisha Tanzagiza hapa ilipofikia ( nchi muflisi) aliyesuka mipango ya Mama lao kuingia kwenye usukani.
Nimeota Chama cha Mapinduzi (CCM )...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya mitaala ili kuwawezesha vijana wa pande zote mbili kupata ujuzi na stadi zitakazowasaidia kujiari...
Leo tunaadhimisha miaka 59 mapinduzi ya zanzibar nimekumbuka maneno ya Rais Samia Suluhu aliyosema akiwa anahutubia katika kuhitimisha Matembezi ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar alisema kuwa "Mapinduzi ya...
Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu
1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika,
Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo.
Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi...
Kama kuna Mtu ambae aliwahi Lala mahala au mfanya kazi ambae ana experience na hiyo kazi naomba atoe muongozo kuhusu Usafiri, gharama za vinywaji pamoja na chakula.
Kama kuna Manager/ Accountant au yeyote ambae alishawahi kuwa kwenye Management ntafurahi sana akiweza kutoa some highlights...
Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
Nitakuwepo hapa Zanzibar kwa majukumu unguja na pemba kwa wiki kadhaa. Nimegundua wengi wa wakazi wa hapa walienda uwanja wa Mkapa Dar es salaam kwa ajili ya ibada ya vuka na chako.
Ni dhahiri watu wengi hapa wanaihitaji sana huduma yako hivyo fanya hima uweze kuja na kuujaza uwanja wa amani...
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT;
”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.