zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania JOB Vacancy Zanzibar / Nafasi ya Kazi Zanzibar

    MARKETING OFFICER JOB VACANCY – ZANZIBAR OFFICE ECOACT Tanzania Limited is an Award winning social enterprise established to address the challenges of post-consumer plastic waste, ocean plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change, we recycle and transform ocean...
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Wanu Hafidh Ashinda Tuzo ya Mwanamke Mahiri Zanzibar

    MTOTO WA RAIS SAMIA, WANU HAFIDH ASHINDA TUZO YA MWANAMKE MAHIRI ZANZIBAR Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative ambae pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Wanu Hafidh Ameir amenyakua tuzo ya mwanamke mahiri katika kipengele cha mtendaji bora wa taasisi kwa mwaka katika kuchochea...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar

    Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Independence day 10 December

    Hii siku wana CCM na washirika wao wanaikwepa sana. Happy Independence Day !!!
  5. JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  6. JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania iliyotokea KIA kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha, libadilishwe!

    WAHUSIKA WASOME UJUMBE HUU HARAKA! Ndege ya air Tanzania iliyotokea Kilimanjaro International Airport kupitia Zanzibar asubuhi tarehe 7/12/2023 tairi la nyuma limekwisha libadilishwe!
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu ufisadi unaoendelea huko Zanzibar

  8. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC)

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ali Said, na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili. Kwa pamoja walisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Shirika la Nyumba La Zanzibar (ZHC) yenye lengo la kuwawezesha Wafanyakazi na...
  9. JamiiForums Tanzania Various Posts at Revolutionary Government of Zanzibar

    The Revolutionary Government of Zanzibar has signed an agreement with the Government of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland to work together in fighting corruption and serious organised crime through the implementation of the Building Sustainable Anti-Corruption Action in...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna cha sijui 'Bakabaka Day' wala nini, ukweli ni kwamba tumeitwa Zanzibar na Waganga wetu ili tukaroge kwa Kufuru na Mwarabu afe 2/12/2023

    Na milichokisahau tu ni kwamba kiuchawi na kwa dua hamuwaweza waarabu hivyo mnapoteza mno muda wenu Pia labda niwasaidieni tu kwa kuwaambia kuwa kama ni kufanya michezo michafu (ya nje ya uwanja) hao waarabu ndiyo walimu hivyo hamtowaweza Na msisahau kuwa hata mliowafunga kwa mtindo wa tigo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Zanzibar ofa hii hapa

    Habari wakuu,! Nauza kitanda cha mbao cha sita kwa sita, kipo vizuri, nimehamishwa kikazi, ni kizito mno nimeona nikiuze tu. Kwa atakae hitaji anicheki, bei laki 4 tu mpk laki 3 na 80. Nipo zanzibar mtoni jeshini. Ni kitanda tu bila godoro. Pia nauza honda aina ya klick iko vzr, jino moja tu...
  12. JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

    Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aizawadia Timu ya Taifa (Zanzibar) ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys) Shilingi Milioni 50

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Wachezaji na Viongozi wa Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 15 (Karume Boys), Ikulu Tunguu visiwani Zanzibar leo tarehe 25 Novemba, 2023 ameizawadia timu hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga

    Ni sehemu pekee Tz ukiacha DSM unakutana na shoga mtaani hana wasiwasi. Kiukeli nimesikitika sana,haiwezekani Mji wa maadili km huu unaharibiwa,vijana wa kizanzibari wanaharibika,wanajiuza kwenye mahotel kwa wazungu na waarabu. Mbaya zaidi watu wengi wenyeji wanajua na wanachukulia kawaida...
  15. JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar Calls for a halt of Abuse of Children through Social Media

    Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA - ZNZ) urges the community to refrain from recording children and posting on the social media networks after they have been subjected to humiliating acts. By doing so, is to aggravate the problem and is humiliating them even more. Following...
  16. JamiiForums Tanzania Historia ya Zanzibar Kama Inavyoelezwa na Joseph Mihangwa

    Gazeti la Jamhuri la Jumanne 21 - 27 November, 2023 lina makala: ''Zanzibar Ndani ya Muungano Haishikiki - (14). Baada ya kusoma niliingia Maktaba na nikakuta hayo yafuatayo niliyoandika miaka mingi nyuma (2016): ''Katika mambo yaliyosaidia sana kuiweka vyema historia ya Zanzibar ni vitabu...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Amshukuru Dkt. Mwinyi kwa Kombe la CECAFA U15 Kutua Zanzibar

    WAZIRI TABIA MWITA AMSHUKURU DKT. MWINYI KWA KOMBE LA CECAFA U15 KUTUA ZANZIBAR Mabingwa wa CECAFA U15, Karume Boys wametua nyumbani Zanzibar wakitokea nchini Uganda na ubingwa wao walioupata kwenye michuano ya CECAFA U15 Boys Championship. Karume Boys wamepokelewa na Makamu wa Pili wa Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Hali ya miundombinu baadhi ya majengo Hospitali ya Mnazi Mmoja, Unguja, Zanzibar

    Awali niliona uzi humu JF kuhusu Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja, Zanzibar, sikuamini kama ni kweli, lakini juzi(Novemba 13, 2023) nilifika hospitalini hapo ukweli ni kuwa hali ya miundombinu katika baadhi ya maeneo si nzuri. Nilishindwa kupiga picha lakini miundombinu mingi haipo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
  20. JamiiForums Tanzania 46% ya Wanawake wa Zanzibar ni Wanene Kupita Kiasi, Tanzania Bara ni 36%

    Imekuwa jambo la kawaida kukutana na makundi ya wanawake wa rika mbalimbali pembezoni mwa barabara wakifanya mazoezi. Wapo wanaokwenda kwenye klabu za mazoezi, lengo likiwa ni kujiweka fiti na kulinda afya ya mwili dhidi ya maradhi hasa yasiyoambukiza ambayo yamekuwa tishio kubwa kwa sasa. Hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…