zanzibar

  1. F

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa biashara ya kufanya Zanzibar

    Wakuu nataka niwe na chukua Mali aidha kariakoo au bara mzigo gani unatoka nao uhakika ukivuka maji na Meli au vi boat?taratibu zake na changamoto zake ni zip?
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

    Akili za kuambiwa changanya na zako. Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa. Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu. Lakini kwa nini hakuwakumbuka...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

    Video hiyo hapo Update: 28/01/2024 https://www.instagram.com/p/C2kWfSMtkKS/?igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

    Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  7. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Changuu, Zanzibar: Sehemu nzuri ya kutalii na kubarizi

    Habari ya muda huu wakuu.. Leo nitatoa dodoso dogo linalozungumzia histori,na maelezo ya vivutio mbalimbali vinavyopatikana kisiwa kidogo kilivhopo maili 4 kutoka unguja. Kisiwa hiki kinaitwa Changuu au Prisona au kisiwa Cha Kobe. Kisiwa Cha prisona kilianza kujulikana hivyo, kuanzia mwanzoni...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jengo limeanguka Zanzibar, mtu mmoja ajeruhiwa, wengine 15 wameokolewa

    Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado hakuna taarifa rasmi juu ya chanzo cha tukio hilo na madhara yaliyojitokeza.Jengo la PBZ lililopo Forodhani limeanguka, inadaiwa kulikuwa na watu kadhaa ndani ya jengo hilo lakini bado...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

    Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa. Pia Soma: - Luhaga Mpina: Serikali inaingia Mikataba Mibovu na ya Siri...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwenye michezo Zanzibar liwe Taifa huru

    Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji. Sasa wanafeli wapi??Kumbuka Mimi mtanganyika wa huku ushirombo.
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Simba kupeleka kikosi cha kwanza Zanzibar katika mashindano yasiyopewa uzito bado imeshindwaa kutwaa ubingwa

    Pamoja na kupania na kukamia mno katika michuano ambayo timu zingine makini iliyachukulia kama sehemu ya kupima baadhi ya sajili zake huku zikipeleka vikosi B na kujàribu baadhi ya wachezaji wa u20 kwa ajili ya kutunza nguvu ya vikosi vya kwanza kwa mashindano makubwa na kuepuka majeraha kwa...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  13. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda Zanzibar kupiga mishe za vibarua

    Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikitafuta mishe yoyote ya kupiga hapa mjini bongo bila mafanikio yoyote yale, awali nilikuwa napiga mishe za saidia fundi. Ubaya wa hizi mishe hapa bongo ni utapata leo Kisha utakaa sana mpaka upate kazi nyingine. Angalau zile za kuweka Kambi mpaka miezi miwili huko...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mshikamano: Watanganyika Wajazana Zanzibar kushiriki Sherehe za Mapinduzi Matukufu

    . Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika . Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi, Kwanza nijiunge na Watanzania wenzangu, kumpongeza Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar, Dr, Husein Mwinyi, kwa Zanzibar kutimiza miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, huku waliopindua wakiyaenzi na kuyaita Mapinduzi Matukufu, huku waliopinduliwa wakisema Mapinduzi...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Voices From Within: Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said atafurahi zaidi kama atarudi Zanzibar. Rais Samia, Rais Mwinyi, sameheni, utabarikiwa sana!

    Wanabodi, Baada ya kuisoma hii story hapa chini, nimeisikia sauti ya ndani yangu, the voices from within ikiniambia huyu Sultan Jamshid bin Abdullah Al Said, ambaye alizaliwa tarehe 16 Septemba 1929 na kuwa Sultan wa Zanzibar baada ya kifo cha babake, Abdullah Bin Khalifa mwezi Julai 1963, sasa...
  17. Masiya

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kweli ni nchi!

    Leo kule uwamja wa amani ulipigwa kwanza mwimbo wa taifa wa Zanzibar ukafuatia ule wa Africa Mashariki. Katiba ya Zanzibar iko wazi, kwa nini huku Tanganyika tunajin'gata vidole?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba "out" za Zanzibar ni rahisi kuliko Bara?

    Kwa msiofahamu hapa Zanzibar bar hazijatapakaa mitaani kama huko bara. Vileo vinauzwa kwenye kambi za jeshi na kwenye mesi za polisi. Mitaani hutaona bia. Huku Zanzibar hakuna pahala wanaouza kitimoto. Na pia hakuna guest house. Sasa basi, wakati huko bara, asilimia kubwa ya appointments huwa...
  19. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar sherehe zipo. Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyia sherehe hakuna. Huu siyo upofushaji?

    Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru. Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar yanaendelea, sasa hufanyika kila baada ya miaka mitano

    Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi. Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala ili kupata viongozi waliopatikana kwa ridhaa ya wananchi. Bahati mbaya sana kikundi cha watu...
Back
Top Bottom